Search results

  1. M

    Papaa Msofe akabiliwa na kesi ya mauaji

    Nashangaa mpaka aue ndio akamatwe, tena mopaka polisi wajishauri kwa muda mrefu. Papaa msofe ni tapeli, labda nitumie neno mnyang'anyi kwani huwa anafanya waziwazi hasa kwenye viwanja maeneo ya mbezi beach, na hilo liko wazi kwa jeshi la polisi!! Amwadhulumu sana wasio nacho haki zao Mungu...
  2. M

    Orodha ya ahadi za Kikwete kwa wananchi 2010-2015

    Kigoma: Hospital kubwa ya rufaa na wakati zilizopo hata vitanda hamna!!!
  3. M

    Orodha ya ahadi za Kikwete kwa wananchi 2010-2015

    Atekeleze kwa fedha gani?? Tangu June 2009 mpaka 2010 hajwahi kutimiza malengo ya kukusanya kodi hata mwezi mmoja, data tunazo. Alikuwa wapi miaka mitano iliyopita, mbona hatukuona project yoyote ya maana aliyofanya, sana sana aliishia kuzindua miradi iliyoanzishwa awamu iliyopita. Huyu jamaa...
  4. M

    Orodha ya ahadi za Kikwete kwa wananchi 2010-2015

    Wadau hii ikoje, mbona huyu jamaa anatufanya watoto wadogo. Hizi ahadi anazotoa atazitekeleza au kwasabau anatuona sisi mazoba hatutauliza? Ona hizi: Mwanza: Serikali italipa madeni ya Nyanza yote, haya madeni yana maswali kibao, aliyeua Nyanza mpaka leo hajachukuliwa hatua, iweje leo...
  5. M

    Elections 2010 Friends of Dr.Slaa FOD kuhakikisha Slaa anaingia ikulu hatari tupu........

    Tunaomba mawasiliano, namba za simu, email n.k. Tuko wengi tunataka kumsapoti Dr. Slaa. Tumechoka mno na CCM hasa huyu mbabaishaji JK
  6. M

    News Alert: Masha awasalimia Keko..

    Jamaa inasemekana ni mshikaji mkubwa sana wa Yona na hakujua kama jamaa atafikishwa mahakamani ghafla. Kuna uwezekano akatumia influence yake kuwasaidia hata mbele ya sheria
Back
Top Bottom