Search results

  1. M

    Katibu wa CHADEMA Same akiri kupoteza mitaa na vijiji 100

    Wakuu nimesoma huu uzi wa mkuu KIZUNGO leo nahisi ntalala usingizi wa majoka na ndoto mbaya tu! mimi ndiye katibu niliyemwachia kiti huyu dada sidra! Ni kweli nilichonga mihuri ya kata 18 pamoja na matawi 62 ya same magharibi, hiyo ni order ya Basil lema - katibu wa mkoa, aliniahidi kwamba...
  2. M

    Tazama picha uone jinsi wamarekani wanavyoomboleza kifo cha nelson mandela

    R.I.P Nelson Mandela! Mwambie Nyerere siku hizi tuna madini, gas na raslimali kibao ila zote wanafaidi wageni tunaambulia 3percent, elimu, afya nk vyote tunanunua! buriani nyota ya karne ya dunia
  3. M

    Kesi ya Babu Seya na wanae - Ukweli ni upi haswa?

    Mkijadili mjue kuna mungu! baba na watoto watatu wote wafanye upuuzi huo, basi tumwombe mungu ashushe kisasi kwa anayetesa watu hawa, kama walihusika mungu awaumbue japo ni ngumu, wote tuseme aamen tumkabidhi mungu, hii ni dhulma na mungu atalipa tu kwani ndiye hakimu pekee mwadilifu.
  4. M

    Marando ajaribu kete nyingine kwa Babu Seya

    God is great! aliyeandaa kiinimacho hiki akumbuke kuna mungu, iko siku atalipa ghali kwa dhulma hii ya waziwazi, mungu simamia waja wako, wote tuseme aamen.
  5. M

    Je, wajua kuwa zaidi ya watanzania wenzetu 10,799 wamefungwa/wamenyongwa nje ya nchi?!

    Nilimckia balozi anayehama China, Philip Marmo akihojiwa VOA, watz ambao wameshahukumiwa huko HONGKONG NA MACAU vifungo vya maisha ni zaidi ya mia. Zaidi ya hamsini walikamatiwa CHINA, hao hawana bahati mana wamehukumiwa kunyongwa wanasubiri siku tu; akiwemo mama mmoja anaemiliki maduka mawili...
  6. M

    Serious: Natafuta mwenza(mume)

    Atakaepata huyu masai kapata mke! nina vigezo vyote but ctk ckia kitu mke, ni heri uishi mpweke like jesus christ uwe safe
  7. M

    Mangula ndio amekwisha kabisa kisiasa?

    Rest in peace cccm
  8. M

    Niite CHIZI sina AKILI ila ukweli ni kwamba HAKUNA binadamu yeyote ALIYEFIKA MWEZINI

    Ww ni great ila tafuta mkanda wa prof DAVIS WATSON wa kampala, amechambua kila kitu kuhusu nasa na allien! wamarekani wamewahifadhi viumbe hawa huko darspace jimboni nevada, utaona mpaka picha ya master of allien, kumbuka usa ndo taifa la shetani (freemason) utapata namba ambazo ukitaka utajiri...
  9. M

    Madawa ya Kulevya: Hii inatisha Tz

    Rais mstaafu MWINYI alipigwa xray kiwanja cha ndege huko ughaibuni! ilimuuma akakemea sana dili hii ya vigogo wa cccm, wakamdharau matokeo ni hiyo idadi ya kutisha ya wabongo wanaosubiri kunyongwa kama sadam!
  10. M

    Tamko la JK lawaondosha Wanyarwanda Kagera! Waacha ng'ombe, mashamba na nyumba

    Hapa JK namsifu sana! tena tuliwalea sana, ak47 tz wameingiza wao, na kagame wao hana adabu alipomwambia rais wetu akipewa bandari ya dsm pekee analisha nchi nzima! kwanza anahatarisha uwepo wa EAC. wametuulia watu wengi kwa ujambazi na uharibifu mkubwa wa mazingira, hata tuliowapa uraia...
  11. M

    Madawa ya Kulevya: Hii inatisha Tz

    Nimemsikia marmo kwa masikio yangu akihojiwa VOA, mleta mada amesahau kdg ukiacha HONG KONG NA MACAU, watz zaidi ya hamsini waliokatwa CHINA, wamehukumiwa kunyongwa akiwemo mama mmoja anaemiliki maduka mawili ya nguo kinondoni, marmo hakumtaja jina. swali kama jk anawajua hawa vigogo wanaotuma...
  12. M

    Membe: Msije Dar wakati wa ziara ya Obama

    Nakumbuka waliwahi kudeki barabara toka KIA hadi ARUSHA, ilikuwa ujio wa BUSH akasepa na gold akatuachia net! Nchi y2 tusisafiri yani tusizalshe tufe njaa! Kwn OBM analeta hela kwa kila mtz? Au ni kwa wachache watakaosaini mikataba ya kutapeli GAS YETU NA URANIUM YETU? Membe iv nae anaotaga urais?
  13. M

    Makete: CHADEMA vitongoji 46 na CCM 1

    Hawa magamba mungu anewapa moyo mgumu kama wa farao zama za musa. Kila wafanyalo wanakosea 4rm vinywani til matendo! Cku zao zinahesabika
  14. M

    KIKWETE ASHITAKIWA KWA OBAMA na CPJ

    Subirini mikataba itakayosainiwa! GAS, URANIUM, GOLD ETC. vyote ni siri ya MSAFIRI KAFIRI (JK) na OBAMA. Tutaendelea kufaidi 3% yetu walalahoi na waandishi mkichonga midomo, wembe ni uleule simlisikia amri ya MIZENGWE? Eti utawala bora ni kigezo cha ujio wa OBAMA! watu kuuliwa kwa mabomu...
  15. M

    Uchaguzi mdogo wa madiwani katika kata za Arusha, wahairishwa.

    hata wakiahirisha mpaka tar mia! Tuna hasira nao na tume yao ya magamba! Watuletee hata mawe tuyachague kwa ticket ya cdm
  16. M

    CCM yakata tamaa ktk uchaguzi wa udiwani Arusha na kusema huyu Lema ni balaa amewapa nini hawa watu

    Hata nyerere angekua hai angeshavua gamba mana familia kubwa ya mwl. Iko cdm.
  17. M

    Spika Makinda,Ndugai out Bungeni

    Mfumo huu wa serikali tatu! Unapunguza nguvu kwa watanganyika kujadili katiba ya muungano, tuanze mjadala mpya wa katiba ya tanganyika iende na hii ya shirikisho, mana wanzanzibar wana katiba yao, bendera na wimbo wao wa taifa
  18. M

    RASIMU YA KATIBA MPYA; Haya ndio mapungufu, tuyaainishe

    Hilo halina shida mana vyombo vya usalama vitashirikiana, pungufu kuu! Tuletewe haraka mjadala wa katiba ya TANGANYIKA b4 2015
  19. M

    Kipengere gani umekipenda au hujakipenda katika rasimu ya katiba iliyozinduliwa leo!

    Nimependa hapa m bunge anapovurunda wapigakura wamfukuze ubunge. hapa wengi itabidi watoke dsm warudi kujenga majimboni mwao mana ht nyumba, walijengea dsm
  20. M

    Kwa nini Tume ya Uchaguzi haijatangaza Uchaguzi wa Kata ya Sombetini Arusha?

    Hawa wahusika wasidhani watakaa milele madarakani, katiba inabadilika tanganyika inarudi. watajb yote
Back
Top Bottom