Search results

  1. O

    Mtela Mwampamba kuanika ukweli kuhusu Masalia na muasisi wa PM7 leo tar. 21-1-2013, EATV (Hot-Mix)

    Mpuuzi Mwampamba.huna la kutufanya tusikilize ushuzi wako.Naomba ukumbuke kilichokupa umaarufu ni chadema na hivyo nje ya chama huna influence yoyote."samaki hata kama ana nguvu kiasi gani ukimtoa kwenye maji anakuwa dhaifu hata mtoto anaweza kumdhibiti.wewe huwezi maarufu kuliko chama kaka...
  2. O

  3. O

    Mwanasiasa bora kijana 2012 Tanzania

    Zitto hawezi kuwa modal wangu kwa sababu hana mchango wowote katika kukijenga chama chake zaidi ya kukibomoa..Kura yangu nampa MNYIKA na LEMA.
  4. O

    Nape Nnauye: Upinzani unaweza kuingia ikulu

    Unauliza source?mbona aliri hilo hata alipokuwa anahojiwa kwenye mkasi juz kati?jamaa kesha kubali msemo wa wahenga"unaweza kudanganya kila siku lakini huwezi kumdanganya kila mtu kila siku".
  5. O

    Hongera CHADEMA kwa kuyashinda haya!mnatupa imani zaidi kuelekea 2015!

    Tuntemeke tumezoea uzushi wako.Naomba nikupe taarifa ya siri iliyozagaa mtaani eti na ww na masalia wote mtamalizwa kabla ya 2015.Kaongezee hiyo kwenye filamu unayokaribia kutoa.
  6. O

    Vigogo kumvua ubunge Shibuda

    Lipotezeen hilo dungayembe la kisiasa,limeshajimaliza kisiasa.
  7. O

    Kamanda mawazo kuongoza moto wa m4c igoma-mwanza 2/1/2013 .

    Wapi Heche,Munisi,Bananga,mMilya,silinde,nassary,lema,mnyika,j mrema,sugu,msigwa,wenje na vijana wengine kwenye chama?
  8. O

    Mh Lema ktk Operesheni tokomeza CCM kabisa ndani ya Manyire

    Fanya editing huo mwaka kamanda.
  9. O

    Mwigulu: CHADEMA hawatakwenda Ikulu 2015

    Mwigulu ana mafanikio gani kisiasa?amekua meneja kampen Igunga wakashinda kwa hila na sasa kila mtu anajua kilichofanywa na mahakama,jimbo liko waz na kamwe hawawez kurudi kwenye ulingo,wanaijua vizur cdm,pili akaja Arumeru na 5bil na propaganda kibao za washili(wazee wa kimila meru) wakaishia...
  10. O

  11. O

    Mwigulu Nchemba: Wabunge Saba wa CHADEMA Kuhamia CCM!

    Hiyo ndiyo mbinu Mwigulu aliyobuni ya kuita watu mkutanoni?mmefulia magamba!
  12. O

    Piga kura: Nani mwanasiasa bora kati ya ZITTO KABWE na MWIGULU NCHEMBA 2012!

    Mimi sio shabiki wa mwigulu lakin katika hii couple yeye anaonekana mwanasiasa anayefahamu anachofanya zaidi kuliko huyo kihiyo mwingine mnafiki na mbumbumbu wa siasa.HAELEWEKI ANACHOSIMAMIA!Fedha na madaraka ndio shetani aliyemmaliza ZZK.Nataka nimkumbushe kwamba kujenga umaarufu inakuchukua...
  13. O

  14. O

    CCM haina jinsi isipokuwa kumshambulia Dr. Slaa

    Tutafunga na kuomba kwa Mungu ikiwa mbinu zitaendelea juu ya rais wetu ajaye(Dr SLAA).Hao maadui zake watapambana na nguvu ya Mungu.Tulifanya kwa mwanamapinduzi Lema na leo haki imesimama."MENE MENE TEKELI NA PERESI"Mwenye masikio na asikie.
  15. O

    Kibanda: Naliona anguko la Zitto Kabwe!

    Wewe ulipataje uongozi mkubwa hivyo ndani ya chama maana umekaa kama dungaembe tu la mitandaon.Hivi na wewe unawadanganya watu una jasho lako katika chama?mimi ni kiongoz ndani ya chama lakin sikufaham.mpiganaji gani wewe?Endelea kung'ang'ana kumtetea ZZK labda unataka KUOLEWA who knows!
  16. O

    Simkumbuki Wakili mnafiki kuliko Marando

    Wewe Nape jivue gamba.JUZIJUZI Ulikuwa unazunguka nchi nzima ukiwatukana mapacha watatu ukidai umewapa siku 90 waondoke vinginevyo wangeondolewa,majuzi ulikuwa na Lowasa Arusha mkidai mnajenga chama sasa Nape kuna mwanasiasa mnafiki kama wewe?UNATIA AIBU, tulidhani ungeleta changamoto mpya na...
  17. O

    John Heche akiri CHADEMA imeandaa mkakati wa kumpeleka Dr. Slaa ikulu 2015... Shame!!!

    Kichefuchefu!Hamchoki?Mimi nawahakikishia hamtafanikiwa.Hiv lakin mbona mnajichosha kumsafisha huyu kilaza mpenda madaraka kama nini!Uenyekiti autake,kiongozi kambi ya upinzani ang'ang'ane,urais nao anautaka,hana nia ya utumishi bali ujiko tu.mbona ni naibu katibu mkuu,naibu wa kiongozi wa kambi...
  18. O

  19. O

Back
Top Bottom