Search results

  1. T

    Mafundi wazuri wa Nissan Duals

    mr. IST wako vizuri wao wanadili na Dualis na Xtrail tuu kila kitu wanacho...diagnosis ni bure
  2. T

    Car4Sale Tunauza magari ya aina mbalimbali

    Ninayo 13.5 mil ...
  3. T

    Kuna madhara gani kutumia Energy Drink?

    Si usome kwenye hiyo chupa ya mo kila kitu kimeandikwa hapo
  4. T

    Kuna madhara gani kutumia Energy Drink?

    Mo energy sio energy drink .... ile ni juice tuu(carbonated drink)
  5. T

    Natafuta gari la Uba/Bolt

    Bosi una gari nini tupate kazi
  6. T

    Wamiliki wa magari ya Uber/Bolt, tupeane mbinu za uendeshaji wa hii biashara

    Mimi natafuta mtu/kampuni inayotoa Uber/Bolt kwa mkataba.....labda ndani ya uzi huu ninaweza pata mwanga.
  7. T

    Kupaka rangi nyumba kunahitaji kibali. Nani wanatunga Sheria hizi?

    Wapi huko? Well mapato yanatafutwa kwa nguvu maana kibali si kina fee!
  8. T

    Maji ya chupa ya Kilimanjaro yameanza kupotea sokoni Dar

    Mbona Hill water nayo ni ya mchaga ...au wachaga wanabaguana wenyewe????
  9. T

    Napata wapi hizi racks za kuku na wanauzaje

    Nenda Mikocheni karibu na Hospitali ya Kairuki ..kuna duka kubwa tuu utazipata hapo.
  10. T

    Car4Sale Toyota Passo no D kwa 3.0 mil only

    piston ngapi hii passo?
  11. T

    Gharama kiasi gani kulisha kuku 500 wa nyama kwa Dar es Salaam mpaka kuuza?

    kufuga kuku 100 ni 500,000....hivyo 500,000 x 5 = 2,500,000 ....andaa 3,000,000 (500,000 ya dharura yeyote itakayotokea).
  12. T

    Bei ya kuku wa kienyeji imekuwa juu sana

    nikitaka ambao ni wa miezi 3 - 4 hivi ...unauzaje?
  13. T

    JATU ni Mr Kuku mwingine, ni swala la muda tu

    Sasa hivi wanapita masokoni/mitaani na mfuso wao(kama mashirika ya simu) ....wanapiga muziki na kuuza hisa kwa shs 5000. ...sijui kama wanaoshawishiwa wanalewa kitu wanachoshawishiwa kununua.
  14. T

    Wahuni waiba engine ya lori lililotumbukia Mto Wami

    Waokoaji walisema Dereva alikuwa amebanwa na seatbelt wakati wanaokoa maiti yake....hivyo ina maana cabin haikutoka wakati wa ajali.
  15. T

    Wazungu itawauma sana kushindwa fikra na Muafrika

    hehe waafrika tunapenda kweli kujifariji na kujidanya ...... badala ya kufanya kazi kwa bidii na maarifa
  16. T

    Ni hasara gani kubwa ulishawahi kuipata ikakurudisha nyuma?

    samahani kuku7000 wa kienyeji au broiler?
  17. T

    Ni kweli mpesa master card inanunua bidhaa mtandaoni?

    Nimeagiza mzigo aliexpress kwa voda mastercard,,,,, hakikisha umeweka fedha inayotakiwa katika card kabla ya kujaza hizo cvv etc etc......unaweka hela kupitia *150*00#
Back
Top Bottom