Search results

  1. somba kankara

    Huyu Anti ataweza kukaa ndani ya ndoa jamani?

    mkuki kwenda polini haujakosea,bubu na bubu story zao hunoga zaidi, msiangalie upande mmoja je mume kampataje?
  2. somba kankara

    Naomba ushauri;Mke wa mtu anataka nimpe mimba

    mumewe ana mtatizo ya uzazi sasa mimba atakuwa ameitoa wapi. Hauoni kuwa utakuwa umesababisha matatizo kuanzia kwa huyo mwanamke, wewe hadi huyo mtoto ambaye hana hatia maana huyo baba hatakubali kuishi na damu isiyo yake Harafu rafiki yangu sikuhizi wanstaili moja mtaingia chumbani then jamaa...
  3. somba kankara

    Catherine Magige kutinga ARUSHA leo

    jamaa ni kilaza cha zaidi ni wa ki**ke maana mwanaume harisi huwezi kukaa unafuatilia furani kapanda ndege leo nani kala nini huna kazi za kufanya ila sasa kunaumuhim wa kuprosses jukwaa la watu kama nyie maana mnakera tunataka kucheka sio kujua nani kala nini.
  4. somba kankara

    Mchumba wangu anatoka na baba yake mzazi, nifanyeje?

    tunajua kupenda ni upofu lakini si ulemavu so jamaa kuwa makini na hakuna jambo ambalo litakufanya ujute kama utakapo kosea kuchagua mke wa kuoa dem kashatoa mimba karibu ya tano kingine anatembea na babazake tayali laana hiyo unaweza ukazani wanao kumbe shemeji zako lakini ni sawa kuwa wanawake...
  5. somba kankara

    Chezea mjesh wewe

    uko sawa nimeipenda!!!
  6. somba kankara

    Akhaaaa babu! Mwanaume gani kila akifikia mshindo lazima ajambe!

    du!! umenikumbusha kuna jamaa kila akitaka kukitupa analia tena kwa mayowe makubwa sasa ikawa ukweni mkewake akambania kwa sababu ya kulia siku ya pili jamaa akawa kama mgonjwa mke ikabidi ampe kilicho tokea jamaa akaana polepole Siulisema ntalia mboona silii,Siylisema ntalia mbona ssliiii,mara...
  7. somba kankara

    Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

    hakuana ulembo wa namna hiyo mimi nikiona harafu nikaimba ukaitikia lazima tigo nipige MAMBO YA KUIGA SIO MAZURI FANYA JAMBO UKIJUA MAANA YAKE
  8. somba kankara

    Njemba!

    loading.......
  9. somba kankara

    Mtoto aishi na mama yake mzazi kinyumba miaka 10

    kijana hebu kaambali maana nitakupiga sasa hivi
  10. somba kankara

    Amefuamiwa SMS imemponza

    Mwambie nimekoma sitarudia kukusaliti mkewangu (UKIMWI UPO UTAAIANGAMIZA FAMILIA) tupo wangapi? na wangapi kati yao wameathilika kuwa makini tulia ulee watoto
  11. somba kankara

    Tanzia: KakaKiiza (JF Member) afiwa na Mkewe!

    Naomba nikutie nguvu ktk kipindi hiki kigum kaka kiiza MUNGU ndiye kiongozi wa kila jambo mtegemee yeye mwisho utayaona mapenzi yake Bwana alitoa na Bwana ametwaa na jina la bwana libalikiwe
  12. somba kankara

    Zifahamu aina nne za mapenzi

    Mimi binafsi nipo hapo PENZI LA UIGIZJI, penzi hili ni tamu sana na halina usumbufu kwangu, mnakutana hasubui, jioni kimeeleweka, asubuhi yake mbio kutafuta maisha huku mawazo yakiwa kwenye kazi badala ya kumuwaza mwanamke, penzi hili halina stress, na unapokuwa stress free anaweza kuyafanya...
  13. somba kankara

    Zifahamu aina nne za mapenzi

    pedesheee acha utani wewe
  14. somba kankara

    Zifahamu aina nne za mapenzi

    haya wana JM wewe umempendea nini huyo na kutokana na aina hizo wewe upo katika aina ipi na nini ufanye ili kulekebisha mapenzi yenu
  15. somba kankara

    Zifahamu aina nne za mapenzi

    Habari ya muda huu wana JM ninayo furaha kubwa kuwa nanyi ktk kubadilishana mawazo na kusaidiana pale tunapopata muda katika pitapita yangu nimekutana na hiki kitu hebu kiiangalie na ujiulize wewe upo ktk aina ipi kati ya hizo...
  16. somba kankara

    Uzuri wa mwanamke upo wapi? Ni upi?

    a na b yote c usizidishe fanya kwa kiasi utapendeza she dust her face as the wizard getting lady for the mid night dance her lips is like growing charcoal
  17. somba kankara

    Huyu ndio yule mwanafunzi alieandika mistari ya bongofleva kwenye mtihani wa form four 2011

    hakuna cha ujanja yaani miaka 4 umeipoteza na pesa pia harafu unakuja kuandika upuuzi eti kwa sababu hiyo we ni kilaza kwelikweli yaani hauna mfano
  18. somba kankara

    Pasco Unachoma!

    wazee wa zamani tulikuwa tukikchukia ili kuondoa mawazo unaandika yote yaliyokusababisha uchukie kisha unayafungia kwenye chupa unakwenda kutupa hasila zinakwisha Sasa wewe sijui nikuweke kundi gani
Back
Top Bottom