Search results

  1. A

    Zitto kuaga wabunge wenzake leo - Machi 19, 2015

    onesha ushahid uwe mkweli. otherwise ni madhara ya tez dume yanaksumbua
  2. A

    Askofu Kilaini: Nitazirejesha fedha za Rugemalira

    mh? hapo pana walakin.......natumai waelewa maana ya acc binafsi. makanisa yoooote yana bank acc, hata miradi ya kanisa ina acc zake. tafakari kidooogo tu.....
  3. A

    Ni wakati muafaka sasa nchi ikaendeshwa kwa majimbo

    hii nayo mpya....rais wa COUNTY????? tezi dume augue mwngne, madhara yakupate wewe...shiiiiiiiidaaaa
  4. A

    Wabunge wa CCM waliowakaanga Mawaziri kwa kutegemea kuvaa viatu vyao waambulia Patupu

    eh siamini kma wewe ni Tanzania mzawa mwenye uchungu na nchi yako. au umeathirika na tezi Dume.
  5. A

    Angalizo Kwa UKAWA! Kuweni Makini Na Hili Tafadhali!

    weka facts ni kwana namna gani anabaniwa badala ya kubwabwaja, weka facts ni kwanamna gani waona slaa kapoteza mvuto na kwa vipimo vipi, hapo ndo tutakuelewa. kama waamini lipumba ni msomi basi amino pia yupo ktk nafasi nzuri zaidi kuliko wewe ya kuelewa iwapo anabaniwa au anamvuto kiasi gani.
  6. A

    Wosia aliouacha prof Muhongo mmeuelewa?

    kwamba heri kuwatajirisha wageni kuliko watanzania wenye gesi yao? nilizima watanzania washiriki kikamilifu kuanzia hatua ya kwanza ya uendelezaji wa miradi ya gesi hata kwa partnership na makampuni ya nje zaidi ya hapo yatakuwa Yale Yale ya madini. tujifunze jamani.
  7. A

    Kikwete unamuogopa Mwakyembe

    hv kuwa waziri wa serikali Hii maana yake ni umekuwa waziri wa jimbo lako?
  8. A

    Wasomi vyuo vikuu Dodoma watoa tamko kuunga mkono tamko la Jumuiya ya Wanazuoni

    WAJINGA??????? sappoz mh rais akaamua kufanya mabadiliko ktk baraza la mawaziri kutokana na impact ya eskro yeye utamuitaje? unalo mrembo. tafakari.
  9. A

    Wasomi vyuo vikuu Dodoma watoa tamko kuunga mkono tamko la Jumuiya ya Wanazuoni

    Fanya kautafiti kadogo tu tena kwakuangalia bajeti ya serikali tu. then uamue kama hao ni nyau kweli na wana ng'ata kiasi gani. tafakari.
  10. A

    Mtoto wa Mgimwa amenifikirisha sana

    kumbe ukimtaja marehemu huwa una mdisturb kaburini? duh hii ndio bongo bana
  11. A

    Mwandosya aitwa Dar kwa shughuli maalum

    rais ni taasisi kama jakaya hayupo yaiimanishi taasisi haipo.
  12. A

    Kosa la Rugemalira ni nini ?

    aliuza hisa kwa kampuni bandia. akalipwa fedha zisizomilikiwa na kampuni hiyo kisheria. otherwise hana makosa ktk kugawa hela aliyodhani niyake.
  13. A

    James Rugemalira ana biashara lukuki, akimpa mtu hela si lazima iwe ya ESCROW

    mfanyabiashara anagawa hela? duh? only in bongo....
  14. A

    Hivi itakuwaje Zitto akishinda kesi yake?

    hawez kufukuzwa? mbona kama wameshamfkuza tayar au nimekulew vbaya political prostitute?
  15. A

    Mbowe tena CHADEMA na tabia ya viongozi wa Afrika kung'ang'ania madaraka

    VP kuhusu ukomo wa ubunge ktk rasimu ya katiba ya ccm mmeamuaje? si wajua mh sita ni mbunge toka miaka ya sabini hivi ni kweli jimboni kwake hakuna wenye uwezo zaidi yake? tafakari
  16. A

    Familia ya Freeman Mbowe watangulie kupigwa risasi

    wafia chama taabu kweli. mpotayari kuua kuliko kuona mabadiliko yakitokea....waelekezeni askari we nu wawe makini kwenye kulenga.
  17. A

    Yule mwandishi alitumwa maana alikua akihoji utadhani wale tembo ni wa nchi yake!! Duh!

    mleta mada amekaa ki umbea na ushambenga zaidi. Mada ni nzuri ila imeelezwa kwa fikra za kijani na njano zaidi. hakuna uelewa wa mambo kiundani.
  18. A

    Hotuba ya Rais bungeni imenisababisha vidonda vya tumbo.

    haikuwa hotuba eti....wanasema wanaccm yalikuwa maoni Yake. ndo ujiulize iwapo tume bado inakusanya maoni?
  19. A

    Kuna nini kati ya Mkapa na Kikwete?

    yeye alishatoa maoni yake....name muda wakutoa maoni ulishapita. hakuonahaja ya kwenda kusikiliza maoni ya mwingine
Back
Top Bottom