Search results

  1. E

    Kiwanja kinauzwa ( urefu 25 upana 30 ) Bei ( milion 4 )

    wewe futi au hatua? kama ni futi ni kidogo mno? labda kijengwe choo tu na bafu yake
  2. E

    Viwanja vinauzwa Goba mpakani

    cha m5 kipo?
  3. E

    Viwanja vinauzwa Goba mpakani

    natafuta goba kilichopimwa nijenge boksi langu la kuishi na wanaa, nina m5. ntapata?
  4. E

    Viwanja vinauzwa viko Mbezi Luis

    natafuta goba kilichopimwa nijenge boksi langu la kuishi, nina m5. ntapata?
  5. E

    Je, ni kweli Bush kanunua kiwanja Kigamboni?..

    mi nashangaa jambo, moja. kwani kuna ulazima gani wa yeye kununua eneo hilo ambalo watu tayari wanaishi, tz si kubwa tu, kwanini wasingempa maeneo mengine, kuliko kuhamisha watu then kuwapeleka mbali zaidi. hakuna mji unaojengwa, mji huwa unakuwa wenyewe taratibu. hizi haraka za serikali tu...
  6. E

    Viwanja vinauzwa Goba mpakani

    katokomea au kashauza
  7. E

    Kigamboni City itakuwa kam hivi jamani?

    let fools fool themselves, mtasubiri sana. Bajeti yenyewe imewashinda.....
  8. E

    Viwanja vinauzwa

    Huko kigamboni kote sindo kwa bush au? ebu toa namba nikutafute
  9. E

    Viwanja vinauzwa viko Mbezi Luis

    Maelezo hayajajitosheleza, vimepimwa? huduma za kijamii? umbali au unaweza ukatoa coordinates tu locate wenyewe?
  10. E

    Imedhihirika, Lowassa Mguu Mmoja CCM, Mwingine Chadema

    mhh! yaani lowassa ninayemjua mimi au ni mwingine? hatumuhitaji huku cdm! tena akaembali kabisa. na ikiwa viongozi watampokea, hata mm ntapoteza imani na chama.
  11. E

    Imedhihirika, Lowassa Mguu Mmoja CCM, Mwingine Chadema

    yaani lowassa akigombea urais ndio mazishi ya ccm yatakuwa yamewadia rasmi. tz ya sasa si ile ya juzi, sikuizi hata wapiga debe wanajua siasa tena wanafuatilia mbaya kabisa. likisomamishwa jiwe na lowassa, hata mimi ntachagua jiwe.
Back
Top Bottom