Search results

  1. MICHAEL JOHN

    Baada ya Mh Kikwete kusherehekea vifoo vya Mawaziri walio Bwagwa nje , Sasa Asubiri Chake 2015

    Sio hivyo tu ni ukweli usiopingika haya anayafanya si kwa mapenzi yake bali ni kutokana na hali tete inayosababishwa na upinzani.Ndani ya CCM wachafu ni wengi mno kinachofanyika mambo yanapoharibika ndipo kale kamchezo cha kutoangaliana usoni hufanyika, hata hawa hanaofia haka kamchezo...
  2. MICHAEL JOHN

    Baada ya Mh Kikwete kusherehekea vifoo vya Mawaziri walio Bwagwa nje , Sasa Asubiri Chake 2015

    Mi naona hayuko mbali anamaanisha mwisho wa CCM 2015.
  3. MICHAEL JOHN

    Baada ya Mh Kikwete kusherehekea vifoo vya Mawaziri walio Bwagwa nje , Sasa Asubiri Chake 2015

    Kaka Abdulahsaf unayoyaongea ni kweli kabisa suala la kuwapeleka Mahakamani Mawaziri kwa Kikwete ni SUMU,sumu ambayo si hawezi kuionja Mheshimiwa huyu bali karibu viongozi wote wa nchi hii.Shida inakuja hapa: Viongozi waliopo Serikalini wengi wao wameingia kutokana na urafiki miongoni mwao...
  4. MICHAEL JOHN

Back
Top Bottom