Search results

  1. C

    Kuhusu Zitto Kabwe: CCM wamecheza game of mind kuelekea uchaguzi mkuu

    Watanzania tutaendelea kuangamia kama tutakubali kuongozwa na kuwaachia serikali watu ambao wanafanyiana chuki za kitoto na zisizokuwa na msingi...hawa watu ndo wataofanya nchi yetu iwe kwenye ramani ya alshabaab maana wanaonyesha dhahiri hawawezi kujiongoza kama chama na hawataweza kuongoza...
  2. C

    Kuhusu Zitto Kabwe: CCM wamecheza game of mind kuelekea uchaguzi mkuu

    Asubuhi niliangalia mahojiano clouds tv asubuhi leo na mwanasheria wa zitto kabwe na nnaona chadema wanachofanya ni chuki binafsi, na nia yao ni kumharibu zitto kabwe kisiasa kwani hata kama mtu amevunja sheria za chama haiwezekani mtu akaenda kutangaza kwenye mtandao kabla mlengwa mwenyewe...
  3. C

    Madaktari, Hivi hamjui kuandika vizuri au mnafanya makusudi?

    Niliwahi kusoma hii makala kipindi cha nyuma http://www.naturalnews.com/021472_prescriptions_prescribing_errors.html Watu 7000 hupoteza maisha kila mwaka kutokana miandiko mibovu ya madaktari wanayotumia kuandika prescription zetu za dawa na hivyo kusababisha makosa katika utoaji wa dawa na...
  4. C

    Kasi ya ushoga Tanzania: Tuwajibike wote

    Mimi naona hili tatizo la ushoga ni psychological problem na sio physical.., kuna watu wanaopata malezi mazuri kutoka kwa wazazi wote na bado wanaishia kulekule, hapa dawa ni serikali kueleza msimamo wake halisi juu ya ushoga na kama serikali hairuhusu hii kitu dawa ni kuweka sheria kali juu ya...
  5. C

    Natengeneza ndege na FM transmitter

    Usiogope kupotezwa...ni idea na uwezo kama wako ndio unaofanya nchi zipate heshima na maendeleo makubwa....ushauri wangu ni kutuliza kichwa endeleza ubunifu huohuo na jitahidi kuomba sponsorship na funding kwa watu waliowekeza kwenye technologia kama rostam aziz na ngowi....na pia ni vizuri...
  6. C

    Vichaa watoroka hospitali ya Mirembe! Wengine wakutwa nyuma ya hospitali wakizini

    Serikali yetu ya kibabe sana hapo badala solition iwe ni utawala wa hospitalI hiyo kulipa madeni ili waendelee na kazi zao...wao wanabadili kampuni ya ulinzi ili wawadhulum waliodai haki zao na pia kuwadhulum hiyo kampuni mpya...me naona kampuni zote za ulinzi zingegoma kupfanya kazi na...
  7. C

    Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

    Ni kwaajili ya usalama wangu me mwenyewe na si kama ulivyosema mkuu...
  8. C

    Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

    Hahaha hapana ni kwa ajili ya usalama tu
  9. C

    Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

    Ni kwaajili ya self defense baada ya kupata vitisho(vitisho vya maisha) aidha ninunue silaha kuokoa maisha yangu pindi itakapohitajika au nisubiri kuuwawa
  10. C

    Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

    Habari wadau ningependa kupata taarifa ya process zinazohitajika kununua bunduki (bastola) na pia kujua bei na sehemu zinapouzwa. Asante
  11. C

    Aliyesambaza picha za denti Muhimbili (Beatrice Aiko)

    Inavyoonekana alichepuka akapigwa picha kwa hiari eneo la tukio na bwana john akaamua kuzituma njia kuu ndipo tatizo lilipoanza
  12. C

    Aliyesambaza picha za denti Muhimbili (Beatrice Aiko)

    Imethibitishwa Kesi imeshafika mahakamani hivyo tuache sheria ichukue mkondo wake kulingana na ushaidi utakaotolewa
  13. C

    Aliyesambaza picha za denti Muhimbili (Beatrice Aiko)

    Takriban siku mbili zilizopita, kulikuwa na picha za uchi za mwanafunzi wa chuo cha Muhimbili aliyetambulishwa kama (Beatrice Aiko) zilizosambazwa katika mitandao ya kijamii. Baada ya baada ya kama siku moja ikasemekana picha hizo ziliwekwa na mpenzi wake wa zamani na baada ya hapo kiliwekwa...
  14. C

    anabolic steroids needed urgently

    mwenye anabolic steroids please pm me the price and contact.,this is seriously needed urgently
  15. C

    offer of the month

    ni ya kwangu mwenyewe but i just need the money niongezee ninunue ipad,no need to discriminsate
  16. C

    Smartphones on sale

    kma n900 laki2.5 poa
  17. C

    offer of the month

    jamani kuna iphone 3g 8 GB ipo kwnye state nzuri ila ina screen ina scratch kidogo ila hilo halina tatizo price ni 170,000 if intersted pm me mzigo upo dar,have a nice day ladies and gentlemen
Back
Top Bottom