Search results

  1. S

    Mtela Mwampamba aula, ateuliwa kuwa Katibu Tawala wa Wilaya ya Ubungo (DAS)

    DAS si political appointment bali ni ya utumishi wa umma.
  2. S

    Tetesi: Mkuu wa Wilaya Mpya wa Kisarawe ni "Mtoto" wa Rais Magufuli

    Rais anateua watu wenye sifa na anaowaamini. Je huyu hata kama ni mtoto wake wa kumzaa, hana sifa ya kuwa DC? Kama anamuamini kwa nini asimtume kazi?
  3. S

    Wabunge wa CCM wacharuka kuhusu serikali kutaka kukata mafao yao

    Wabunge wanakomaa wasikatwe kodi katika kiinua mgongo. Wanaitisha serikali na kuitaka kusitisha mpango huo, wajinga. Kama rais akiamua kusimamia alichokiusudia hakuna atakayethubutu kutopitisha bajeti miongono mwa wabunge wapenda maslahi kama hawa wa CCM. Ibara ya 90 (2) (b) ya katiba ya JMT...
  4. S

    Rais Magufuli amsimamisha kazi Mkurugenzi Muhimbili

    Labda kama mtu hapa tz ni foreigner ndio angeomba maelezo. Kufa kwa huduma za serikali ni hujuma. After all amesema atampangia majukumu mengine. Lile la kusimamia vifaa visife ameshindwa
  5. S

    Zitto Kabwe Adai kwa Kiapo Hana Majina ya Wenye Akaunti Uswisi - AG

    Tatizo sheria za bongo ukimtuhumu MTU mwizi unalazimika kuwaambia hadi wataalamu wa usalama na uchunguzi uthibitisho badala ya vyombo hivyo kuchunguza
  6. S

    Dr Ramadhani Kitwana Dau aula tena ISSA

    Je walioajiriwa wana sifa?
  7. S

    Kifo cha Dr. Mvungi: Madaktari wa Muhimbili na Afrika Kusini watofautiana

    Mauaji ya mwalimu Mvungi ni kielelezo cha jinai iliyopitiliza. Uchunguzi wa kina ni lazima ufanyike tena beyond recently police crime investigations and findings.
  8. S

    Kifaa cha CHADEMA chakamatwa na watu 6 waliomvamia Dr. Mvungi

    Mauaji ya mwalimu Mvungi ni kielelezo cha jinai iliyopitiliza. Uchunguzi wa kina ni lazima ufanyike tena beyond recently police crime investigations and findings.
  9. S

    Tetesi: Mabinti wanabakwa JKT

    Hivi hao madada wa tanzania kugawa kwao ni huko jkt tu? Mbona ya vyuoni hamyasemi? Gengeni na kwa machinga wanapotaka unafuu wa bidhaa? Kwenye siasa wanapotaka upendeleo? Msitie chumvi maneno kwa hila nyepesi, ubakaji haujawahi kuwa rahisi kwa kiwango hicho kinachozungumzwa sasa.
  10. S

    Tetesi: Mabinti wanabakwa JKT

    Sina utaalamu na mambo ya jeshi lakini mimi ni mwalimu kitaaluma na nafundisha sekondari. Nachelea kusema kuwa jambo hili linatiwa chumvi sana na nahisi kuna ukweli watu wanauyumbisha ili kutia doa nia nzuri ya serikali ya kujenga uzalendo kwa vijana wetu. Kifo hutokea popote, tumuombee...
  11. S

    Ccm, tanzania na changamoto za uchaguzi 2010

    CCM, TANZANIA NA CHANGAMOTO ZA UCHAGUZI MKUU 2010 Chama cha Mapinduzi hivi karibuni kimeunda kamati inayoongozwa na rais Mstaafu alhaji Mwinyi ili kuchuguza chanzo na baadaye kupendekeza njia sahihi ya kuondoa tofauti zilizozuka kati ya wabunge/wawakilishi na serikali ya chama hicho. Haja ya...
  12. S

    Ingekua wewe ungefanya nini kwenye mtego huu?

    Hiyo haikuwa bonge la mtihani, kama ungekuwa na utashi binafsi usingeduu na demu huyo. kuna kitu watu hawafahamu nacho ni; wanaume wanaodhani kuwa bado wanawatumia wasichana kama vyombo vya starehe wanajidanganya. ni wasichana ndo wanaowatumia wanaume kama vyombo vya starehe au vitega uchumi...
Back
Top Bottom