Search results

  1. M

    Rais wetu

    JK kama kaoa si binti wa aliyekua waziri wa fedha kwani mama ana mabinti wawili na wote wameolewa na wako kwa waume zao. Hii ni nyepesi nyepesi tuu. JK ana right of up to 4 of them.
  2. M

    Wezi wa BoT wazuiwa kusafiri nje

    Jamani accounts za Import Support ni mikopo ambayo inakuwa na repayment schedule. Kama mkopaji anakiuka mpangilio wa malipo basi kwenye contract kutakuwa na clause ya hatua ya kuchuliwa. Kmfn. kuuza mali ya mkopaji kufilisi etc.Hii hufanyika kisheria kama kupitia court broker and so on.Hawa...
  3. M

    CCM Pambalama!

    KASANI wimbo huo ni kwa lugha ya kifipa. Nakumbuka uliimbwa wakati wa kutoa zawadi ya Trekta kwa best ujamaa village kwa kina majiyatanga.
  4. M

    Cabinet Baada Ya Lowassa: Waziri Mkuu Mpya Atakuwa Nani?

    MEMBE ni bomu lilelile la ufisadi. Mwandosya poa.
  5. M

    Familia za Mafisadi Zitekwe Nyara

    Kuteka watoto wa vigogo can be the only solution at this time. To attain fast changes( revolution) we need to do all that is within our uwezo to attain our goals.Kuchoma nyumba na magari yao inaweza kuwaamsha kuwa nchi ina wenyewe na siyo wao tuu. Tumekata tamaa na ujinga wa CHAMA CHA...
  6. M

    Majina Ya Viumbe Hai: wadudu, wanyama, ndege, mimea n.k.

    SWILA NI NYOKA MWEUSI na anatema mate(spitting cobra)KIFUTU NI NYOKA MFUPI NA MNENE ana rangi kama za chatu na ni mpole labda umkanyage ndiyo anauma. Ni kweli anaozesha muscles. Koboko ni kweli si wa kijani kabisa ila ni kati ya kijivu na kijani( Black mamba) black ina refer to the colour of its...
  7. M

    Majina Ya Viumbe Hai: wadudu, wanyama, ndege, mimea n.k.

    Ngao you are right kwa koboko si King Cobra ila ni Black mamba ambaye rangi yake si mweusi ila kijani hafifu ila ndani ya mdomo ndiyo mweusi.King cobra wapo wa Asia na wa Misri wote wana vimbisha mashavu.
  8. M

    BALOZI MWAMBULUKUTU: Hospitalised Following Attack & Robbery in SA!

    Sasa hayo ya South yatafika na hapa kwetu maana hali ya maisha chini ya msanii wetu yanazidi kuwa impossible.They have nothing to loose except their chains........
  9. M

    Tanzanian 2007 Person of the Year

    ZITTO, Huyu kijana amewafanya watz kuamka na kupanua upeo wa uelewa kwamfano jinsi nchi inavyoliwa na mafisadi. Amewafikia wengi kwa kipindi kifupi sana
  10. M

    Haja Ya Kuwepo Wawakilishi Wa Zanzibar Kwenye Balozi..

    Hawa wazenj ni walalamishi sana. Kwani hao mabalozi 5 hawatoshi kuwawakilisha? Maana ukichukulia population yao ni ndogo kwa ratio labda watakuwa over representing. Wanadekezwa sana.Wapige kitabu kwanza.
Back
Top Bottom