Search results

  1. M

    Nyerere: The Man, The Myth and the Legend

    My Freand who ever think NEGATIVE abt AZIMIO LA ARUSHA anatakiwa atueleze mabaya ya hilo azimio this was A VISSION OF THIS NATION azimio hata leo tunalihitaji and tunapo ongelea UJAMAA lazima Tutaje wazi na KUJITEGEMEA and we need that PRACTICALLY TODAY. Kwahilo Mwalimu was Right leo tumeona...
  2. M

    Dk. Nchimbi tulia! Mwosha huoshwa

    Kaka Fisadi mtoto kwa post hii nashukuru swali langu binafsi la muda mrefu nimepata jibu. Pia kaka naomba uwakumbushe kua NAPE hatuna tatizo nae ila hapa tuanchojadili je ni material kwa jumiya yetu? interms of MAADILI,VISSION,MISSION,ATTITUDE,kwa wanaomfahamu nape wanajua kua yeye ni kijana...
  3. M

    Sakata la Nape Nnauye na UVCCM

    Ndg zangu wana Jf kwanza ningependa kuonyesha msimamo wangu juu ya wagombea hao waliotajwa,pia napenda kuwatakia heri ya pasaka na kumkaribisha ndugu yangu FISADI MTOTO ambae kwa muda hatukumuona hapa. Narejea ktk hoja. Ndg yetu Ridhwani si vibaya kwa yeye kumuunga mkono rafiki yake kwa...
  4. M

    Ombi maalumu kwa Mheshimiwa Kikwete

    Mwafrika wa kike hongera kwa kuja Tz Mwezi Dec na kurudi ulipotoka hili nijambo zuri la kukupongeza kwani wengi hawafanyi hivo. Langu ni sahihisho ktk maombi yako umeuliza why serekali inayalipa makampuni ulotaja nachotaka kukurekebisha ni kua RICHMOND hailipwi na ni non existing co hata DK...
  5. M

    Dk. Nchimbi tulia! Mwosha huoshwa

    kaka umetumia kauli kali kua KUNA WATU WANA PESA ZA WIZI,ungetutajia wenye pesa za wizi tuwajue kama nchimbi anapinga hao wenye pesa za wizi ni jambo jema
  6. M

    Dk. Nchimbi tulia! Mwosha huoshwa

    wafuatao ndo wanotarajiwa kugombea mpaka sasa taendelea kuwataarifu wanapokuja new comers. 1;VAILET MZINDAKAYA 2;BENO MALISA 3;HUSEN MOHAMED 4;JERRY SLAA 5;NAPE NAWIYE 6;ZAINAB KAWAWA 7;EDWIN SANDA 8;EDWIN MTAKA Wana JF wenzangu hao ndio wanosemwa semwa...
  7. M

    Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

    NAONA KAMANDA UMEAMUA KUTUNGA SWALI NA KUJIBU MWENYEWE, KAMA UMESOMA VITABU VYOTE VYA MWAKIEMBE NA HITIMISHO LA MWAKIEMBE HAKUNA SEHEMU ANASEMA ANAMUHUSISHA ROSTAM AZIZ NA HASARA HIYO KWAHIYO USIPELEKE HOJA SEHEMU AMBAYO HAIPO. PILI KAMA MSOMAJI ALIYOYAJIBU YAKO WAZI HAKUNA HOJA AMBAYO...
  8. M

    Mtanzania anaweza Kutajirika

    Thanks For the Post. Pili ningetoa pole na hongera kwa wana Jf kwa yaliyotokea nilikua Gizani mpaka nilipomsikia mwanakijiji ktk BBC. Nini kifanyike. 1; Tunatakiwa kubadili mfumo wetu wa elimu from current system ambayo imeshindwa kumsaidia mtanzania wa kawaida. 2;Elimu iwe bure...
  9. M

    Uchaguzi wa Kiteto: Taarifa mbalimbali

    Mtu wa Pwani usishangae hilo bcs kuna siku Fisadi mtoto aliwahi kumwambia Mwafrika wa KIKE kua anamawazo ya KIJIMA bcs ktk Primitive society kila kitu tunahusisha na mkono wa mtu. Sasa hapa kuna vitu viwili wanataka tuamini kua sisi CCM tumemfanyia ktu mbaya jamaa ili wapate KURA ZA HURUMA na...
  10. M

    Mengi apewa tuzo ya Martin Luther King Jr.

    Mtanzania ya MENGI NI MENGI,na hatujamuonea ila MAREKANI wametuonea kwa kumpatia mtu kama huypo tuzo ya aina hiyo. Halafu jana alijisahau akatamka ZAWADI badala ya TUZO then akajirekebisha inanikumbusha Kibaki alivokosea kiapo HII YOTE nia kutuonyesha kua huyu jamaa hata yy anajua kua...
  11. M

    Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

    Kwi kwi kwi Kwakweli nisiposoma post zako kwa siku hua najikuta kuna entertainment nimekosa BINTI unaongozwa na Hasira ZAIDI kuliko Busara, Kuna mwalimu aliwahi kuniambia Primary school nilipokua nasoma hadithi KIBANGA,akaniambia THE HIGHEST LEVEL YA ELIMU NI HEKIMA.no matter ya Darasani...
  12. M

    Mengi apewa tuzo ya Martin Luther King Jr.

    Mwanakijiji,awali ya yote nikupongeze kwa ujasiri wa kuamua kutumia Rangi ya chama chetu sisi ccm. Pia nakupongeza kwa kutoa kauli nzuri na nzito na kwa hilo naamini mapinduzi ya kifikra yanayo endeshwa na ccm yanafanikiwa kumbe si muda mrefu WEMA WETU CCM MTAUKUBALI. MCHANGO KTK HILI...
  13. M

    Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

    Kaka Asubuhi ya leo imekua ya Faraja JF members wamesoma jina la kijiji chetu BUKENE i mean Tarafa yetu. Asante sana Fisadi Mtoto kwa hili. ANGALIZO. Niki angalia hoja inayo endelea hapa imekua zaidi ya kumtazama Rostam badala ya kua anaglia kilichokua kinajadiliwa na UTUMBO wa THIS...
  14. M

    Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

    Kazi ni ile ile DADA yangu,inaonyesha ni jinsi GANI Falsafa ya fisadi mtoto inathibitika,umeanza personalities,mipasho etc.Hapa bado hajaja mwenzio ASHA mniufanya umma huu ukabaliane na BABU ZETU kua kina DADA kazi yao ni kupiga na kulea watoto hujibu hoja umeanza VIOJA. FISADI MTOTO hongera...
  15. M

    Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

    MPAKA KIELEWEKE. Fisadi Mtoto anahoja na nadhani hoja yake imekita ktk falsafa ya Primitive society ambayo inaimani kua kila kifo kina mkono wa mtu,Kaka Fisadi ameonyesha uhalisia wa aina ya watu wa jamii hiyo. Nachota kusema. Ukweli wa Fisadi mtoto unaonekana ktk mawazo ya watu kama...
  16. M

    Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

    Hayo Ni Mawazo Mgando kama waandishi wenyewe waloandika wasicho jua
  17. M

    Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

    Ndg wana JF, I hope as days goes on tunaona aina ya waandishi tulio nao ktk nchii hii,na i think kama watu watakumbuka some days back niliwahi kuchangia ktk hoja abt kubenea nika sema alot of waandishi wetu they just write either speculation zao or agenda za mabosi wao or mawazo yao binafsi and...
  18. M

    JF: Rankings, Reputations na Maswali Mengineyo..

    mzee kabadilishe ranking yangu
  19. M

    Mume anakuletea mke mwenza ndoa Kikristo, Ungefanyaje?

    Huyu mama nampa HONGERA haya ni matokeo ya Imani za DINI ambazo haziruhusu UHURU wa Mtu na KUHESHIMU uhalisia wa BINADAMU, Kabla hatuja mshauri kuna maswali madogo ya kujiuliza hili ni tokeo la jambo Flani ambalo hatulijui sote inawezekana huyu jamaa anaetwa kicheche leo hapa kuna vitu...
  20. M

    JF: Rankings, Reputations na Maswali Mengineyo..

    mtaalam, Mbona me nawasiwasi na ranking financially bcs hatuna uthibitisho unless wana JF tufahamishwe coz itakua JF inaruhusu TAKRIMA kiaina.
Back
Top Bottom