Search results

  1. hayaland

    Kipande cha sabuni chafikia Tshs 900

    sabuni ya jamaa nayo inaelekea huko.
  2. hayaland

    Kipande cha sabuni chafikia Tshs 900

    kiukweli maisha ni ghali mno.
  3. hayaland

    Kipande cha sabuni chafikia Tshs 900

    vita ya Ukraine na Urusi.
  4. hayaland

    Kipande cha sabuni chafikia Tshs 900

    hali sio kabisa.
  5. hayaland

    Kipande cha sabuni chafikia Tshs 900

    Tumezoea sio kawaida sabuni za kawaida zinazokatwa vipande kupanda bei, tumezoea kuwa mche wa sabuni ukipanda sana ni tshs 500/= lakini hadi sasa mche wa sabuni umepanda kutoka shs 2300/= ya mwezi March na kufikia tshs 4000/ kwa mwezi May. Kipande cha sabuni bei yake ilikuwa ni tshs 500/= na...
  6. hayaland

    Si Profesa Edward Hosea tu, Kanda ya Ziwa imejaa viongozi makini

    mie pamoja na HOSEAkutoka kanda ya ziwa bado simkubali maana anakuwa kimya sana.Sheria kibaozinavunjwa,katiba inasiginwa yeye kimya.Sasa umuhimu wake ni nini?
  7. hayaland

    Freeman Mbowe, Mnyika na Viongozi CHADEMA wakutana na Rais Samia na Viongozi wa CCM Ikulu ya Chamwino - Dodoma leo 20/5/2022

    mie kwa ujumla nakubaliana na siasa za mama Samia Suluhu Hassan,hatutaki siasa za uhadui bali umoja na mshikamano ili mambo yaende.Ongela sana mama
  8. hayaland

    Al-Barzakh: Haya ndio Maisha ya Kaburini baada ya kufa

    Pumbavu kabisa utadhani ulishakufa then ukafufuka. Ushirikina unakusumbua.
  9. hayaland

    Nchi zinazozalisha mafuta zaidi duniani 2022

    nchi inayoongoza kwa uzalishaji wa mafuta kwa wingi ni 1,Saudi Arabia 2.Marekani 3.Urusi
  10. hayaland

    China: Hatuna nia ya kukamata mradi wowote Afrika kwa sababu ya mkopo

    Hizo ni diplomatic language ila wachina hawafai kuchukua mikopo yao. TIWE MAKINI NA WACHINA HASA KATIKA MRADI WA BAGAMOYO
  11. hayaland

    Jokate Mwegelo ameipaisha Kisarawe, ni zaidi ya Mkuu wa Wilaya

    Kwa interest zako,watu wafanye kazi anasifiwa mkuu wa wilaya.ongeza juhudi za kuhongwa ili utoe sifa
  12. hayaland

    Ndugai awaponda wana Mwanza kwa kuezeka nyumba zao na Mabati ya kizamani, Masufuria

    Heri ya sikukuu ya wafanyakazi duniani(mei mosi) ndugu zangu watanzania. Nimeleta uzi huu kukosoa Kauli ya Spika wa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania ndugu Job Augustino Ngugai alipopewa nafasi ya kusalimia mbele ya mh Rais alisema anazungumza na watani wake na kusema;natamani mbadilishe...
  13. hayaland

    Akaunti za Benki za Mtandao wa Watetezi wa Haki Binadamu Tanzania (THRDC) zimefunguliwa baada ya kufungwa kwa takribani miezi 8

    Watetezi wa haki za binadamu leo wamepokea habari njema baada ya akaunti zao za fedha zilizokuwa zimefungwa kwa muda usiopungua miezi 8 kufunguliwa leo. Mamlaka zimesema kufungwa kwa akaunti hizo ni kitu cha kawaida pale wanapoona kuna haja ya kufanya hivyo panapokuwa na mashaka na akaunti...
  14. hayaland

    Magufuli na Kenyatta walimaliza migogoro haya mengine yanatoka wapi?

    Nakumbuka marais hawa wawili waliwahi kuzungumza kwa simu hata kabla ya uchaguzi wa mwaka jana 2020 .Rais Magufuli alisema amezungungumza na Rais mwenzake wa Kenya mh Kenyatta na kuweka mambo sawa na kumwagiza waziri wa mambo ya nje wa Tanzania na wa Kenya kukutana mara moja Ili kusawazisha...
  15. hayaland

    Hivi ni kweli Rais wa Uganda Kaguta Museveni alipongezwa na Magufuli peke yake?

    kuna taarifa zinadai Rais Museveni baa da kushinda na kuapishwa kuwa rais wa nchi hiyo kwa awamu ya tano mfululizo inadaiwa kuwa viongozi wote wa afrika na duniani kwa ujumla wamemsusa na ni rais wa Tanzania pekee ndo alimtumia salam na kumpongeza kwa ushindi? Kwani rais Museven amekosea wapi...
  16. hayaland

    DC Arusha, Kenani Kihongosi: Tutafundishana uzalendo mpaka tutaelewana vizuri

    Tuache mahakama zifanye kazi zake tunainbilia kazi za mahakama.Haki inapatika mahakamani na si kwa kiongozi
Back
Top Bottom