Search results

  1. U

    Nimepata milioni 50, nifanyie biashara gani niwe milionea?

    nakushauri uwekeze kwenye Miti ya mbao ndani ya hiyo miaka kumi utavuna pesa nzuri sana,u nanunua Miti ya miaka mitatu au mitano
  2. U

    Natafuta kiwanja Morogoro

    name nane
  3. U

    Natafuta kiwanja Morogoro

    2milion
  4. U

    Natafuta kiwanja Morogoro

    Ndugu wanajamvi muishio morogoro natafuta Kiwanja cha makazi morogoro kwa mawasiliano zaidi 0752731391
  5. U

    Kamishna Andengenye akiwa ndani ya gwanda la Zimamoto

    kapanda na kuwa kamishina mkuu,yaani ni ngazi moja na IGP,CGP,CGM na kwa msaada zimamoto ni jeshi liloloundwa kwa muji wa sheria namba 14 ya mwaka 2007,hivyo kutambulika kama jeshi LA zimamoto na uokoaji ambalo linaongozwa na commissioner general of fire(CGF) xo vikosi vyote vilivyokuwa chini...
  6. U

    Ushauri: Tiba ya kikohozi na mafua

    Kikohozi kigumu kisichoisha
  7. U

    Ushauri: Tiba ya kikohozi na mafua

    Nimekuwa nikisumbuliwa na kikohozi kisicholainika kwa muda wa zaidi ya wiki moja nimepima TB Sina, ila hakiishi kinakuwa kigumu sana. Naombeni msaada kwa anayejua tiba asanteni.
  8. U

    Muda wa mafunzo ya Jeshi la zimamoto

    chuo cha kijeshi cha zimamoto na uokoajo mkoani tanga kiitwacho chogo kitaanza mwaka huu pia no miezi sits ila inaweza kuzidi na siyo kupungua
  9. U

    Sakata la Richmond: Dr. Mwakyembe amkaanga Lowassa, Kumburuza Mahakamani...

    huu ni unafiki Mkubwa sana sijui watanzania tumelaaniwa na nani,kwanini wasingemshitaki wakati akiwa ccm kama kweli ccm ni waadilifu?ukiiba ukiwa ccm ni safi ila ukitoka ccm ni kosa tuwe makini sana na hawa watu
  10. U

    PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa

    hizi picha zinatia hasira na machungu,Tafadhali hii thread itolewe
  11. U

    Elections 2015 Hongereni tena Segerea: Nina furaha tele na sijatetereka

    hongera sana umeonyesha uzalendo Mkubwa sana na pia ukomavu wa kisiasa ulio washinda ma Dr na prof,taifa linahitaji watu kama wewe,umenifunza jambo kubwa sana
  12. U

    Inasikitisha sana: Wananchi wako tayari kuing'oa CCM, Baadhi ya viongozi hawataki

    wanakera sana,tizama wamewashawishi RAIA wamekubali kufanya mabadiliko then wanafarakana huu Mimi nauona kama ni unafiki Mkubwa na wachumia tumbo pili ni kuwasaliti watu waliopoteza maisha yao na wengine kuwa vilema kwaajili yakuwaunga mkono ktk harakati za kuleta mabadiliko,ndugu tuachane na...
  13. U

    Inasikitisha sana: Wananchi wako tayari kuing'oa CCM, Baadhi ya viongozi hawataki

    wanakera sana,tizama wamewashawishi RAIA wamekubali kufanya mabadiliko then wanafarakana huu Mimi nauona kama ni unafiki Mkubwa na wachumia tumbo pili ni kuwasaliti watu waliopoteza maisha yao na wengine kuwa vilema kwaajili yakuwaunga mkono ktk harakati za kuleta mabadiliko,ndugu tuachane na...
  14. U

    Vijue vyeo, Majina na Alama za Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ)

    yote ni majeshi isipokuwa wamepangiwa majukumu tofauti,kuhusu suala la saluti wanapigiana according to seniority,ndivyo navyofahamu mm raia ila askari wa pande zote tajwa tupeni elimu
  15. U

    Kwa wale waliosoma masomo haya...

    toa namba yako ya simu
  16. U

    Nape: Puuzeni vitisho vya chadema.

    nimetokea kuichukia ccm ghafla na kuanzia leo najivua uanachama wa ccm na siyo mfuasi tena nimekereka na yanayoendelea arusha,japo siwezi sema nani anahusika au hata kumjua ila ccm tena kwangu noooo.
  17. U

    Majangaaaa!

    kaka jaribu kuyaweka mawazo yako hapo pindi mnapokuwa faragha
  18. U

    Nifanyeje?

    Ndugu wazima,mm ni muhitimu wa shahada mwaka 2012 napenda sana kujiunga na jeshi napenda kutoka moyoni na nipo tayari kupitia jkt ila umri wangu kwa sasa ni miaka 25 je mwakani watanikubalia kujiunga na jkt wakati umri utakuwa umesogea?anayejua anijuze pia nimesomea shahada ya mipango...
Back
Top Bottom