Search results

  1. Z

    Gwajima amtumia salamu CAG Prof Asad kufuatia ombi lake la kujengewa msikiti ofisini

    Kama anataka kuona chrismas na ya dunia mzima, basi aende nchi zote zile anazozifahamu zinazoishi kiislam, kama hatakuta hayo maua yamechanua mengi mengi.
  2. Z

    Gwajima amtumia salamu CAG Prof Asad kufuatia ombi lake la kujengewa msikiti ofisini

    Kama yeye ambaye sio 'FOOLISH na NONSENSE NYINGI' na amejibu hvyo, angekuwa hana hicho alichonacho si ingekuwa balaa na mikosi? Professor, hatari.
  3. Z

    Gwajima amtumia salamu CAG Prof Asad kufuatia ombi lake la kujengewa msikiti ofisini

    Naona umeyamaliza maneno yako yote hata yale ya akiba. kazi unayo
  4. Z

    Godwin Gwilimi:Prof Muhongo ni Muongo ,Mjinga na mwenye dharau!!

    Anaye mfahamu vizuri GG atupe wasifu wake nasi tupate kuyapima, sio vibaya hata kujua tabia yake kwenye maeneo aliyopita ikiwa pamoja na kwenye vyuo ambavyo amekuwa akifundisha. tabia ya mtu wakati mwingine si rahisi sana kuijua.
  5. Z

    Nimeitwa kwa ajilli ya interview Lagos Nigeria CHEVRON COMPANY

    Hapo nilipounderline na kubold ni mahali pazuri sana pa kuandika utapeli, International company haiwezi kuwa na email ya style hyo, hyo ni mtu, kama ni Kampuni tungeona doamin ya kampuni hyo, syo hotmail, yahoo, gmail huo ni uhuni wa kutupa kabisa. Jitenge na huo uhuni.
  6. Z

    Jinsi CCM Itakavyomtumia Zitto Kushinda Urais 2015

    Hapo mzee umemaliza, kule ccm kuna msemo ccm ina wenyewe, na Chadema pia ina wenyewe, Zito kuondoa kabisa ushabiki wa kijinga, kwenye underline pale, ni kweli mkuu, tuwaulize waliopo humo wametokea wapi, na ni kwa nini, wengi walikuwepo sasa hv wako wapi, na hawa waliokuja wengi wao baada ya...
  7. Z

    Kwanini Dr Ndalichako asijiuzuru?

    lengo lako ni nini? Kupata mapandikizi kila kona sio?
  8. Z

    US Ambassador to Libya has been killed

    Subiri inakuja
  9. Z

    Msiba wa Mwangosi: Rais Kikwete ametoa Rambirambi?

    Wakati wa Kanumba ilikuwa mwaka gani? au misiba mingine aliyohudhuria ilikuwa ni mwaka 2010 ambapo bado alikuwa anategemea kura, acha kukurupuka bana.
  10. Z

    White House denies Obama is snubbing Binyamin Netanyahu during US visit

    Hamjui mnachokisema, subirini mtakiona maana ni sharti mtakiona, haitawachukua mda mrefu.
  11. Z

    Hukumu ya Lissu - Jisomee mwenyewe

    Tatizo yule aliyeanza sio hyu aliyeonyesha mwendelezo, aliyeanza ndo alistahili hii.
  12. Z

    Hukumu ya Lissu - Jisomee mwenyewe

    Baada ya kupata 1 ya 7 akaenda wapi na akapata nini huko ni vyema kujua nasi wana jamvi ambao hatuji.
  13. Z

    Mwita Mwikabe Waitara: Mwanasiasa zao la UVCCM aliyemwacha shetani na mambo yake yote!

    Muulize Bahati Tweve kwa uzuri kabisa kama unamfahamu, Hyo alikuwa ni manachama mzuri sana wa NCCR-MAGEUZI, kuanzia akiwa Azania/Tambaza Sekondari, sasa kilimpeleka nini ccm, kilimtoa nini ccm, fursa zilikosekana maana ndo zilizompeleka, kwa sababu alikuwa ni mwanamageuzi akaangalia ni wapi...
  14. Z

    Mwita Mwikabe Waitara: Mwanasiasa zao la UVCCM aliyemwacha shetani na mambo yake yote!

    Wewe ulikuwa mmoja wa hawa wapinaji sio?? Mlikuwa mnapigania sasa, maana tuna maneno yasiyostahirika kwa wakati wake. Kwa mara ya kwanza pale chuo kikuu mwaka huo ktk utawala huo, vyumba viliuzwa kama jungu, habari kubwa ya uuzwaji wa vyuma haikuwa siri tena, watu waligawana vyumba wajuavyo, kwa...
  15. Z

    CDM imenipa ubunge A.Mashariki-Makongoro Nyerere

    Kama unakumbuka mwanzo wa lile neno kujivua gamba, basi hyu jamaa (Makongoro) aliwaambia live kabisa wale jamaa, yupo ccm lakini ni moja ya watu wachache huko, jamaa aliwaambia wewe, na yule ndo mnatuharibia chama, si muondoke, nazani ndo yeye alionyesha msimamo mkali ktk wenyeviti wa mkoa...
  16. Z

    Best paying company in tanzania

    Na hapo hyo jamaa alikuwa anaitwa Human Resources Superintendent, kwa hyo alikuwa sio mtu mdogo.
  17. Z

    Best paying company in tanzania

    Umemdanganya, unao ushahidi, maana sio kusema, mie kuna mtu ninamfahamu alikuwa Barrick alikuwa analipwa si zaidi ya 2.5 take home, na kwamba wanafanya kazi wiki 6 wanapumzika wiki 3, endelea kumsaidia, hujamsaidia bado
  18. Z

    Anayefahamu Tiba hii, Anisaidie.

    Madam utaumia, kipi bora kuendelea kujamiana au kuacha mpaka pale utakapopata aliye sahihi, jiangalie usije ukaanguka, na si mara zote ukianguka unaweza kusimama, unaweza kuanguka na usisimame.
  19. Z

    General Kiaro anaagwa na mkuu wa mkoa; Kanumba, Rais!

    Ndivyo tulivyo, kama Kiaro angeagwa DSM wangapi wangeenda kumuaga? Ongea na Watanzania wote waliofika mahali pale, Leaders, Kinondoni makaburini, au chukua vichwa vyao uwachunguze, kisha uwaulize, na hapo utapata picha kamili. Kwani walio werevu wameenda wapi??, Hatunao tena Tanzania, hawayoni haya?
  20. Z

    Changia CHADEMA Kupitia No 15710, Kuwa Sehemu ya Ukombozi

    Nazani tuwe na utaratibu wa kuzifanyia kazi tuhuma, sio kutoka nazo kama zilvyo, na kuziacha zikielea bila ukweli.
Back
Top Bottom