Search results

  1. banambavu

    Kwanini wanawake wengi hawapendi kutumia condom?

    Asiyetaka kondom Si mkapime case solved !.... Kuti la mazoea ndio lililomuangusha mgema
  2. banambavu

    Mwigulu Nchemba ateuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Tizeba apelekwa Kilimo na Mifugo

    kila kheri ...napendaga zile bendera za Tanzania anazo jitupiaga kila mahali ....Wabongo hawapendagi hata ramani ya inchi yao... kuivaa shida
  3. banambavu

    Pale unapozamia kwenye Dinner Party ya Jumuiya Fulani

    teh... ila kutoa ni moyo...hata kama hauna ..usimtazame mwanadamu
  4. banambavu

    Nisaidieni, nina tatizo la kutokujali ndugu, marafiki na wapenzi

    jipendekeze mkuu....hekima huita watu
  5. banambavu

    What is time?

    No ...go to ur bible readings you will get to know the time o use ur clock for counting down
  6. banambavu

    Web Browser ipi unaipenda na kwa nini?

    mozilla firefox plus vlc
  7. banambavu

    Hoja ya dharura wanachuo 7,000 UDOM: N/Spika aahirisha Bunge baada ya wabunge kwa pamoja kutoka nje

    lakini si juzi tu JPM alikutana na JMK..... jiongeze!
  8. banambavu

    Matangazo ya makampuni ni anasa katika nchi yetu masikini!

    jero halotel mb 700 kuna mtandao jero mb 100 na kibubu! bango la kibubu linakuja,,
  9. banambavu

    English learning thread

    hahahaaa,,,,ur perfect crazy
  10. banambavu

    Download Speed: Shkamoo Halotel

    MPbs ni megabytes na mpbs ni megabits hapo tujulishane...
  11. banambavu

    Download Speed: Shkamoo Halotel

    Tofauti ya calculation ni uwezo wa mtandao unaotumia na idadi ya users na network waves distance pamoja na uwezo wa kifaa chako! Ukijipanga hapo utapata 100MPps kumbuka hiyo ni speed at some Moments within 3g+
  12. banambavu

    Call ya house girl kwa mume wangu

    Kaka hapo hauko sahii nikmaana mtu na mwenziwe kuachiana simu ndio kupekuana! Mke wako akiwa anakuomba simu kumpgia mtu mwingine ushindwe kumpa kisa atakupekua so far likewise..
  13. banambavu

    Download Speed: Shkamoo Halotel

    Talia tatizo wewe hujaipata na njia nzuri ya kusaidia kunielewa ukishindwa hapo jiongezze ukifika umeshindwa kujiongezza subir tu utaona! Sasa kuna zile applications za kucopy file zinaonyesha speed ya kucopy utaona speed yake! Then utajua nn naongelea kaa wewe na kifaa chako!
  14. banambavu

    Download Speed: Shkamoo Halotel

    Kama Upo dar na arusha mwanza Town dom mbeya mjini na pembezoni network ya maeneo hayo sio 3G ni 3G+ sasa kama alikuwa anapata pungufu ya hapo acheck bandwidth ya simu yake ama kifaa chake
  15. banambavu

    Download Speed: Shkamoo Halotel

    Na mimi nimekwambia sasa hivi tanzania hiyo Tech ya 2g na 3g inapatikana vijijini mjini ni 3G+ na sasa kuna LTE ya kizushi! I na unaposikia Tech ya 3g+ ujue unaelekea kwenye 4g! Mfano halotel wameanza na Tech ya 3g hamna 2g wewe umeelewje afu tuendele! Am hujui maana ya 2g ama 3g ama 4g?
Back
Top Bottom