Search results

  1. M

    Msaada plz

    Nashukuru sana kwa wana jf waliotuwekea link ya matokeo ya interview tar 8/12. Naomba kujua hiyo oral interview ya tar 13/12/2012 ya Land Officer itaanza saa ngapi na wapi? Nimejaribu kufungua website yao inaaandika Account suspended. Na link mliyotuwekea humu jamvini inaonyesha tarehe ya...
  2. M

    Matokeo ya mtihani wa mchujo utmishi wa */12/2012

    Nashukuru sana kwa kutujuza hayo matokeo. Naomba kujua hiyo oral interview ya tar 13/12/2012 ya Land Officer itaanza saa ngapi na wapi? Nimejaribu kufungua website yao inaaandika Account suspended. Na link mliyotuwekea hapo juu inaonyesha tarehe ya interview tu, vipi kuhusu muda na venue? Msaada...
  3. M

    Majina ya walioitwa utumishi interview tar 8/12/2012 haya hapa

    1 JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA Kumb. Na. EA.7/96/01/C/70 4 Desemba, 2012 KUITWA KWENYE USAILI Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawatangazia waombaji wa fursa za ajira kwa tangazo lililotolewa tarehe...
  4. M

    Utumishi wameita Interview.

    Utumishi wameita kada mbalimbali kwenye interview tarehe 6,7,na 8 December 2012. Tembelea website yao. Hongereni kwa walioitwa Mungu awasaidie mkafanye vema, na wale ambao hajaitwa hakuna sababu ya kukata tamaa wakati utafika tu.
  5. M

    Tra ihamishiwe utumishi

    TRA hata waliosoma pale chuo cha kodi (TRA_ITA) kupata ajira pale ni shughuli pamoja na kwamba wanakuwa wamewafundisha na kufanya nao kazi kama field kwa kipindi chote walichosoma hiyo postgradute diploma ni taxation kwa miezi 18 na jamaa unakuta wana either upper or lower second class. Mi...
  6. M

    Pamoja sana

    Hello wana jf sasa tupo pamoja!
Back
Top Bottom