Search results

  1. A

    Kwaheri utumishi wa Umma

    Hata ukae miezi mitatu bado wadau watakuita watakusaka tu almradi wakurudishe mstarini.....Yupo mtumiahi alifungwa jela na bado karudi kazini
  2. A

    Nakabwa usiku na kitu nisichokiona

    Mara nyingi sio shida Bali ni namna mwili unavyokuamsha pale unapokuwa umelala vibaya, vilevile hata ulaji nao unachangia...wataalamu wa afya ya mwili wanaweza ongezea sana hapo...ukiangalia kwa upande wa Imani yako ni kukupa ujasiri.
  3. A

    TANZIA Dar: Pacha Rehema aliyebaki baada ya kutenganishwa naye afariki dunia

    Kimsingi hawa walikuwa case study.....sema kwa vile hawakuwa panya ni binadamu.....
  4. A

    Naidai Serikali milioni 65 tangu 2018

    Ikishinda Kesi Mahakamani ya kuidai Serikali basi hesabu Umedhulumiwa...Mzee wangu ameidai Serikali hadi umauti umemkuta.
  5. A

    Tigo wamenikatisha tamaa kwenye Kasi ya mtandao

    Hivi hawa watoa huduma mbona haeliwi nini maana ya speed ya Internet? Tigo mmenikatisha tamaa kwa kweli nipo katika harakati za kuhama huduma zenu for Good.
  6. A

    TRA, ucheleweshaji huu wa leseni za udereva hauingii akilini

    Nimeikubali hii.......yangu ina miaka minne since 2014.
  7. A

    Kakobe: Ninaposema mimi ni Tajiri namaanisha tajiri wa Kiroho

    Huwa nawaambia watu siasa ni mtoto wa Dini
  8. A

    Mishahara mipya Novemba 2017 kuna ongezeko?

    Kuna mabadililiko? Au ndo mwendo ule ule wa sound
  9. A

    Mama aliyejifungua anaweza fanya Mapenzi?

    Yes. Kila mwanamke ana maumbile yake na kuna sababu nyingi sana juu ya hilo. Embu chungulia google......utapata material nyingi sana juu ya hilo
  10. A

    Mishahara mipya Novemba 2017 kuna ongezeko?

    Hujasoma masharti yao au? Riba inakatwa upfront....kwamaana hiyo ukichukua laki wanatoa kabisa riba yao.
  11. A

    BIKO inapiga goli la mkono, ni mchezo wa kamari na utapeli tupu

    Mzee hukujua kuwa washindi hupangwa? Mtu akupe hela bure bure bila kazi tena boxi 50 na usawa huu?
  12. A

    Hivi mke wa Rais analipwa mshahara?

    Kwa Mujibu wa Sheria zetu...Mke wa Raisi anpata nusu ya Mshahara wa mumewe. Na hii nikutokana na kazi kubwa ya kulinda afya ya Raisi wetu. Kumbuka kuwa ndio mtu pekee anayeweza kuwa faraga na Raisi kwa muda mrefu zaidi. Na mambo mengine mengi tu. Wajuzi wa mambo watakupa uelewa.
  13. A

    Wanaume wengi siku hizi hawatongozi muda mrefu

    Hatutaki mchezo kwenye serious isues......[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Sent using Jamii Forums mobile app
  14. A

    Matundu 19 ya Risasi Katika Gari ya Tundu Lissu.. Hao wahalifu hawana mafunzo ya kitaalamu ya silaha!

    Ndugu hawa jamaa ni wajuzi sana......tumia akili ndogo tu ya kwanini wewe umewaza hivi? Bila shaka ni western movie zimekueleka Sent using Jamii Forums mobile app
  15. A

    Risasi za Lissu na majasusi wa Urusi nchini Montenegro

    Mbaya zaidi hawa Wazungu hutumia watu wetu ambao sio wazalendo na ambao pengine ni watumishi wa umma na wanaaminika Sent using Jamii Forums mobile app
  16. A

    Hata kama siyo wao, watu wataamini ni wao tu!!

    Serikali ikiamua huwa haikoseagi.........ila hawa wa Tundu wamekosea sanaaaaaa hivyo sio Serikali yangu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom