Search results

  1. R

    Msaada: Nimesahau Password, nahitaji kutoa file langu la Ms Word

    Nina Document yangu ya word nimesahau Password naomba mnisaidie niitoe. Nifanyeje?
  2. R

    Huu ndio mchezo uliyofanywa TANESCO, UDSM na AKIBA BANK

    Hiii pia ni pamoja na Tanzania posta corporation, ata hao ma HR waliingia hivyohivyo kwa kubebwa ndio maana hii tabia inaendelea na wanashortlist vijana wengi ili kuwapotezea muda na ela zao kwa kuwa hawa-walipii accomodation. Hii tabia siipendi. Tuna wajua kwa majina tutawataja tuuu
  3. R

    Naomba munisaidie software ya photoshine

    Poleni na kazi, naomba munisaidie software ya photoshine yenye key.
  4. R

    Jinsi ya ku-copy hizi dvd za bongo movies

    heri ya mwaka mpya na poleni na kazi za kuerimisha, nilikuwa naitaji ku-copy dvd moja ya bongo movie na computer ina DVD RW, ila nilipo iweka hiyo DVD na kuanza kui-copy kwa program ya shampoo na nero kwa copy dvd iliniletea error message. Nisaidieni maujanja ya kuicopy.
  5. R

    I have something in Mind

    I have something in Mind There should be a way to ensure that these recruitment agents and alike pay whoever appear for interview upon their invitations. Since they have been too unfair; I am not very sure If these HR do do preliminary screaming of the applicants cv's and letters before...
  6. R

    Naomba msaada wa kuweza kupata data kwenye usb drive

    jamani nimeshidwa pata mac je kuna njia ingine?
  7. R

    Nahitaji hizi MOVIE wakuu, msaada please...

    Tupeni hayo basi maujanja ya kutumia 350, elfu 10 kudownload
  8. R

    Naomba msaada wa kuweza kupata data kwenye usb drive

    msaada, nipatieni solution wadau
  9. R

    Naomba msaada wa kuweza kupata data kwenye usb drive

    POLENI NA KAZI ya ku-elimisha jamii, nina USB drive angu ilikuwa na data zangu sasa nikiweka kwenye Computer inakuwa Haionekani. sasa nisadieni je? nifanye nini ilinipate data zangu
  10. R

    Pda/simu ya windows mobile inaitajika

    Hi!..everybody. Nahitaji simu/PDA yeyote yenye spesification zifuatazo: 1. Iwe Windows mobile 5.0 au 6.0 2.Iwe na Infrared port kwa kukodisha kwa two weeks na utapewa simu ya kutumia kwa kipindi hicho.please tuwasiliane kwa No.0713-635095.
  11. R

    Windows mobile au pda inahitajika

    ni beep basi kwenye hiyo namba 0713-635095 ilinikupigie basi now
  12. R

    Windows mobile au pda inahitajika

    Hi!..everybody. Nahitaji simu/PDA yeyote yenye spesification zifuatazo: 1. Iwe Windows mobile 5.0 au 6.0 2.Iwe na Infrared port kwa kukodisha kwa tu week na utapewa simu ya kutumia kwa kipindi hicho.please tuwasiliane kwa No.0713-635095.
Back
Top Bottom