Search results

  1. N

    Hivi ni kwa nini ndoa za siku hizi migogoro ni mingi kuliko furaha?

    Tunapambana sana na sababu za nje kuliko za ndani. Pili, katika kutafutana hakuna tena ile kanuni ya kupimana kwanza ndio makubaliano. Tatu, maisha ya ndoa ni kama "biashara" sina maana watu wazingatie faida tu au kununua na kuuza, la hasha! Maana yake hapa ni kwamba usipojifunza njia mbali...
  2. N

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nani ayashepu mazingira huko vijijini kama kila msomi anataka kukaa mjini? Tumeumbwa kuyashepu mazingira jamani. Wala sio mbaya kuhama.
  3. N

    Kuna lawama kwa walimu siku hizi kuwa walifeli mitihani, na hawafundishi

    Anayekosolewa hahitaji kulalamika kwa kuwa anajua anachokifanya kina mantiki gani. Cha msingi ni kukaa kimya maana kusema sana ni kuonekana busara finyu. Aliyemlaumu mwalimu chanzo ni mwalimu kumfundisha sana.
  4. N

    Nini kifanyike ili kukuza uchumi tz?

    What i think is personal effort as the only way to become financially fat.However,i advice those who think that the country will do something worthwhile for anyone or politicians will make it,should stop from dreaming and start living.This country needs people who will sucrifice their life and...
  5. N

    Wazo langu naomba ushauri wadau kuhusu biashara

    sha na huo ulionao,wala huhitaji kulipia pango ya jengo au kuwa na jengo lako,huhitaji kuwa na uzoefu wa kibiashara na mingine mengi lakini unapata kipato kisicho na kikomo na cha kurithisha hata kama hautokuwepo hapa duniani.Unaonaje huu ushauri?kama unahitaji maelezo zaidi juu ya hii...
  6. N

    Wazo langu naomba ushauri wadau kuhusu biashara

    Safi!lakin umefanya utafiti kabla mtu mzima? Mimi ushauri wangu,kwa nini usifanye biashara ambayo ni nzuri zaidi kwani haikuhitaji kuwa na ofisi,kulipia kodi ya mapato,kuajiri mtu au watu,mtaji ni mdogo ukilingani
  7. N

    Very inspiring and practical!!!!

    Sucessful people,in every walk of life,think and talk about what they want most of the time.They think and talk about the future and how they can make it a reality.They are continually thinking and talking about where they are going and how to get there the very fastest way possible. As a...
  8. N

    Stop punching the clock!

    Set your own hours,call your own shots,run your own business and see what freedom feel like. I can help. Call me: +255762395110 or +255657117377. Email address:21century.bussiness@gmail.com Website: www.cretiveminds.or.tz
  9. N

    Dawa na njia mbadala za Kupunguza unene/uzito | Weight Loss techniques and advice

    nimevutiwa na hizi hoja hapa ila natoa angalizo,mwenzetu anaomba ushauri kwa tatizo alilonalo na sio kupondana. mimi nakushauri mazoezi hayapunguzi unene bali hupunguza uzito na sometime inakuwa hivyo kulingana na aina za vyakula. kunatabia ya kudharau sna mambo ya msingi kuliko yasiyo,nimeona...
  10. N

    tufanye nini tupate maendeleo tanzania?

    kwa hali ilivyo sasa inaonesha baada ya miaka kumi mbele watanzania tutakuwa kama wanaijeria,matapeli kwa sababu ya kutojishughulisha. mfumo wetu wa maisha ni mzuri sana kiasi kwamba kama unajishughulisha kweli na unanidhamu na shughuli unazozifanya basi kwa muda mchache tu unakuwa katika...
  11. N

    A&A Computers

    Wanajamii habari za leo! Nina tatizo kuhusu hawa jamaa wanaojiita "A&A computers" wanahusika na uuzaji wa computer na utengenezaji wa vifaa mbalimbali kama photocopier,computer na vingine vingi.Hawa jamaa nilipeleka laptop yangu mpya wanibadilishie program lakini hawa jamaa wakaifungua na...
  12. N

    Nasty nasty HABIT

    we can do whatever it take to do BUT this is not the way we suppose to live as long as life itself educate us to always change our mind.
  13. N

    Ushauri wa kibiashara,mtaji wa tsh. Million 30

    Hi As you start the new thinking, you might as well be opening your mind for new ideas. One of the fastest growing new idea in the world of business today in the NETWORK MARKETING BUSINESS. This might be an alternative business for you or for your friends and relatives...
  14. N

    Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

    "IF A STUDENT IS READY THE TEACHER WILL SHOW UP" Inavyoonekana uamini yatendekayo kwamba vipofu wanaona,viziwi wanasikia na viwete wanatembea.foleverliving products hawauzi dawa aliyekwambia kakudanganya.zile ni bidhaa ambazo zinaongeza virutubisho mwilini kwa maana ya vitamini,madini na amino...
  15. N

    Msaada: Sijui huu ni ugonjwa gani?

    Pole dada sana.Unatatizo la fungus na sio kitu kingine.hata kama u msafi kiasi gani haliwezi kisha mapema kama ujagundua njia mbadala ya kuondokana na hilo tatizo na kwa vile wewe ni wa kike basi nahisi utakuwa unajisikia vibaya sana.Kuna dawa za asili z kupambana na bacteria kama hao moja kwa...
  16. N

    Ushauri wa kibiashara,mtaji wa tsh. Million 30

    Katika karne hii kuna biashara mtu waweza fanya na ukatengeneza faida kubwa kuliko matarajio ila tu hii biashara wengi hatuifahamu jinsi ya kuifanya na wala haiitaji kupata eneo mahali ili uifanye,ua kulipa koi kwa wingi bila hata ya kuona faida kwanza na mtaji wa biashara hii ni mdogo kiasi...
  17. N

    Mwenye kujua mishahara ya graduate kwenye mabank

    some time we need to change our mind and our perception of what we see,because the economic model we used to have is broken is no longer working that is why many youth who are still looking for job(security)are suffering.What aim trying to say is,"21century will be known as the age of...
  18. N

    Bint yangu anaugonjwa wa ajabu

    Kuna mawili hapo kama wasemavyo wengi yawezekana ni pepo au kuna tatizo lingine katika mfumo wa damu hili tatizo huwa linawapata watu wengi sana siku hizi hasa wakike na kama halitachukuliwa kwa umakini basi mtu anaweza kupata ukichaa.Mara nyingi huwa damu haifiki kichwani(blood circulation in...
Back
Top Bottom