Search results

  1. C

    Arab Spring in Syria: 6,000 Dead in a Single Month...

    hizo takwimu zinaonekana kwa wengne tu mbona takwimu za watu walouawa iraq na afghanistani hamzitaji.
  2. C

    Serikali ya Central African Republic yapinduliwa na waasi

    umeshajaza form za kurudia mitihani ya form 4,maana kwahyo akili yako lazima utakuwa ulipata 0
  3. C

    Ninavyomfahamu Ludovick Joseph Rwezaura (kilio cha usaliti)

    badala ya kujibu hoja unamtukana mtoa hoja na kwa akili hyo mnataka kutuongoza hii nchi basi afadhali waendelee ccm km akili zenyewe ndo hzo.
  4. C

    msaada kituo kizuri cha kurudia mitihani chenye hostel mikoa ya morogoro na dsm

    naomba kufahamu kituo kizuri kwa wanaorudia mitihani chenye hostel kati ya morogoro na dsm naomba tusaidiane maana kijana wangu kaharibu vibaya yaani hata ngazi ya cheti hapati.
  5. C

    Naomba kufundishwa namna ya Kutongoza Mwanamke

    kweli bro hiyo kitu ina madhara sana inaondoa hamu ya kuwa na mwanamke ww demu ukimpenda unampigia nyeto tu unavuta image yake.
  6. C

    Nimehangaika kutafuta kazi nimeipata bahati mbaya...

    ndugu yangu bado nnaendelea kutafuta maana kule nnafikia guest na sijui gharama ya maisha ipo vipi,hla kwenda kwa uwezo wa mungu ntae
  7. C

    Nimehangaika kutafuta kazi nimeipata bahati mbaya...

    nimehangaika muda mrefu kutafuta kazi nilipga interview nyingi mpaka nikawa nikipigiwa simu ya interview hata sina wasiwasi ikawa ndo kama maisha yangu kupga interview daily,mwaka jana nikaomba utumishi nikafanya interview duce halafu library matokeo yakawa hola nikaitwa tena mwl nyerere...
  8. C

    Timbulo Akamatwa Na Madawa Ya Kulevya Burundi Cheki Picha Za Tukio Hapa

    wewe mwenyewe unauwezo gani wa ku analyze unaropoka tu kutafuta sifa na humu hakuna hata mtu aliyekusuport kwa kauli yako huyo nikijana mwenzetu hata kama kafanya kosa anatakiwa apewe adhabu ambayo itamfanya ajirekebishe sasa unavyotaka anyongwe atarekebisha vp makosa yake?usichotaka kikufike ww...
  9. C

    ILE NDEGE GHALI KABISA YA KIJESHI NI BOMU (Ilitaka kuua Mapilot wake kwa kukosa Oxygen).

    hizo ndege kabla hazijakamilika israel ameshatuma maombi na yeye apewe angalau moja tu zitakapokamilika wala hana mpango wa kuumiza kichwa na hatoi hata mia anasubiri mzee akishakamilisha apewe msaada.
  10. C

    Timbulo Akamatwa Na Madawa Ya Kulevya Burundi Cheki Picha Za Tukio Hapa

    hao vijana kwani huo unga wanalishwa kinguvu,wenyewe wamekata tamaa ya maisha na sisi tunawaletea tu,eti ungekua karibu ungemlima risasi hao walomzunguka wote wanazo risasi mbona hawajampga sababu wana akili timamu.
  11. C

    Timbulo Akamatwa Na Madawa Ya Kulevya Burundi Cheki Picha Za Tukio Hapa

    na wewe pia great thinker?hauna akili hata punje,mtu mwenye akili timamu hawezi kumuombea binaadamu mwenzake mabaya kiasi hicho.
  12. C

    Dr Lwaitama: CCM wakimsimamisha Dr. Salim A. Salim watashinda Urais

    sasa ukiama unamkomoa nani?ondoka hata leo
  13. C

    Juliana Shonza amlipua Mbowe

    zito pia ana shahada ameitafutia kazi?ukijibu hilo na wewe utakuwa umepata jibu lako.
  14. C

    Polisi Z'bar yamjibu Pengo kuhusu Uamsho na Vurugu za kidini Zanzibar

    wewe sindiye uliyetaja sema ipo wapi?
  15. C

    Kuongeza size ya machine

    hyo dawa ipo kuna jamaa yangu anatoka handeni kuna sehemu inaitwa chanika anakuja tarehe 28/2/2013 anakuja dsm kwa shughuli hyo tu kuna mabosi wenye vibamia wamemtumia nauli aje tena ukimpata hapa dsm utapunguza gharama kwanza umeletewa huku dsm tofauti na wengne wanaenda tanga kuzifuata.uzuri...
  16. C

    Hivi kweli tunahitaji wapelelezi toka nje? Je kweli mauaji Zanzibar ni ujambazi au uhaini?

    huna lolote uchochezi tu umekujaa hiyo radio wapo umeickia peke yako hyo ripoti ya acha uongo kwanza hata hiyo radio yenyewe hauna.
  17. C

    Dr. Nchimbi: Kuuwawa kwa Padri huko Zanzibar si Ujambazi bali ni Ugaidi!

    me sifurahii hata kidogo kuuwawa kwa huyu kiongozi wa kidini sababu wa znz madai yao makubwa nikutaka kuvunjika kwa muungano na huyu padri wala siyo kiongozi wa kiserikali kusema yy ndo anawakwamisha,hila kifo hk kitakua funzo kwa wakristo wote waone jinsi gani waislamu wanavyouawa ndugu zao...
  18. C

    Dr Lwaitama: CCM wakimsimamisha Dr. Salim A. Salim watashinda Urais

    mambo aliyoyakataza nyerere ndo haya mtu anasifa zote za kugombea hila haumtaki 7bu muislam kwahyo unataka mchungaji ndo awe rais,hv katika akili yako watu wanaoongoza kwa ukabila na udini ni akina nani km cyo wachaga kama hauamini nenda tra mpaka wanaongea kilugha ofisi na wote waliingia...
  19. C

    Iranian People Fear a War with Israel

    ndio maana nakwambia israel anaogopa kuishambulia iran,mbona kuishambulia syria na sudan ameenda mwenyewe hila iran anataka apewe support na us,france,nato na uk anajua akienda mwenyewe nini kitamtokea nyinyi mpeni kichwa apeleke ndege kama alivyopeleka syria na sudan.
  20. C

    Iran wazindua dege la kivita lenye uwezo wa kupenya rada za adui bila kuonenkana

    kama hyo top ten ndo iko hivyo basi iran yupo fit sana maana kama huyo israel anapata misaada ya kila aina kutoka us anasifiwa ana wanasayansi bora duniani amekuwa 10,iran haruhusiwi kununua silaha zaidi ya miaka 20 sasa pia yupo kwenye vikwazo lakini amekuwa 18 amepitwa na france nafasi 1,je...
Back
Top Bottom