Search results

  1. B

    Je, Mhe. Zitto Akamatwe na Kushtakiwa Kwa Kuidhalilisha Taasisi ya Urais Kwa Kudai Fedha za Leo Sio Gawio ni Maduhuli?

    Kwenye political science kuna kitu kinaitwa "Constructive Ambiguity". Yes Rais anajua vizuri kwamba lile "gawio" pengine siyo dividend kama inavyotakiwa lakini kama mwanasiasa lazima atoe taswira chanya kwenye jamii. It is an income regardless of semantics! Kwa maneno mengine Rais yuko sawa na...
  2. B

    Lazaro Nyalandu, kinyongo cha Uwaziri kitakuponza

    Mkapa aliwaita watu kama huyu mtoa hoja wenye akiri uchwara!
  3. B

    Profesa Muhongo alivyoshiriki kupandisha bei ya umeme

    Ni bahati mbaya wachangiaji wengi hawajui nani hasa mmiliki wa Mwananch na The Citizen. Kwa taarifa haya magazeti mmiliki wake mkuu ni The Aga Khan Foundation na baadhi ya Watanzania akiwamo Rostam Aziz. Kenya haina hisa zozote ila tu ni Makao makuu ya the Nation Group ambayo ni mali ya Aga Khan.
  4. B

    Barua ya TANESCO hii Hapa kwenda EWURA na Wizara ya Muhongo; Muhongo na Bosi Wako Muogopeni Mungu!

    Eng. Mramba aliomba nyongeza kwa EWURA akapewa. Kosa lake liko wapi? Pili hatua kama hizi zinafanya mamlaka kama EWURA, SUMATRA, TCCA etc kutokuwa na meno au umuhimu wowote. Kama ni hivyo basi kila kitu kirudi serikali kuu la sivyo zitabaki kuwa lame duck institutions!
  5. B

    Kwa Hotuba ya Kagera, ni bora angekaa kimya

    Hivi serikali ya Uhuru Kenyata iliyotoa chakula na tents kwa wahanga Kagera ina shamba na kiwanda? Kuna jinsi ya kufikisha ujumbe kwa wananchi bila ya kuwakatisha tamaa. Tunapoenda misibani na kutoa pole ahimaanishi tunaenda kurudisha uhai wa mpenzi wao. Ni kuwafariji tu wafiwa. Kwa hili sioni...
  6. B

    Ukweli kuhusu fedha za Kagera

    Issue siyo kujenga au kutojenga miundo mbinu. Issue ni jinsi serikali ilivyojipatia pesa kwa kutumia maafa ya tetemeko hili. Kilio cha kuchangisha pesa ilikuwa ni kusaidia waathirika wa tetemeko. Nia ya wachangiaji ilikuwa ni kuwasaidia waathirika kwa kuwanunulia chakula na tents (sio kujenga...
  7. B

    Lipumba: Mimi bado ni Mwenyekiti wa CUF, sitambui kikao cha Zanzibar

    Pamoja na kumuheshimu sana Prof. Lipumba kama mwalimu wangu kwa hili limenisikitisha sana na mbele ya macho yangu amepoteza heshima. Alilofanya wakati huo (2015) ni kama kumpa talaka mke wake akiwa labor ward na sasa mtoto anatambaa na hivyo sasa anataka kumrudia mke wake!! Hakuna watu wenye...
  8. B

    Kitwanga aponda ndege mpya za ATCL mwanzo mwisho

    Ni vizuri Kitwanga angeuliza wataalam wa mambo ya ndege akafundishwa. Kwanza Q400 ni ndege ya kisasa kabisa ambayo ni derivative ya Dash 300 ambayo inatumiwa na ATCL kwa sasa. Ni rahisi sana ku-google na kupata maelezo juu ya ndege hii bila mabishano mengi. Pili Q400 ina speed sawa na Jet...
  9. B

    Josephine Mshumbushi: CHADEMA ni mali ya Mtei, kimejengwa kwa misingi ya unafiki na nidhamu ya woga

    Kama ni Josephine Mushumbusi kaandika haya kweli ni jambo la kusikitisha sana. Josephine hana moral authority ya kuandika haya. Yeye ni intrested party kwenye hatma ya Chadema namba moja kwa maana alitaka kuukwaa u-first lady lakini ukaota mbawa. Hivyo kwa akili ya kaiwaida hatutegemei aseme...
  10. B

    Tamko la UKAWA baada ya Naibu Spika kutangaza kukata posho

    Zitto kabwe hachukui posho na haijamzuia kufanya kazi za kibunge kwa uzalendo wa juu. Kama mbunge una msimamo thabiti huwezi kuuacha kwa sababu ya posho. Mshahara wa mbunge unatosha kumweka Dodoma bila athari zozote. Hakuna Mbunge anakaa guest kusema itamsumbua. Mageuzi katika mfumo wowote yana...
  11. B

    Museveni appoints wife Janet Education Minister

    Kampala. It is not the first time. It happened with his first cabinet when he appointed people such as Democratic Party’s Kawanga Ssemwogerere. In the Cabinet released yesterday evening, President Museveni appointed Uganda People’s Congress’ Beti Amongi and Uganda Federal Alliance’s Betty Kamya...
  12. B

    Lowassa apokwa mali zake, Ana hali mbaya sana ameuza nyumba Masaki

    Mwalimu Nyerere alisema hivi: Mtu akikwambia kitu cha kijinga huku akitambua kwamba anakwambia ujinga na wewe ukaukubali kuwa ni ukweli anakudharau sana. Kataeni kuambiwa na kukubali ujinga.
  13. B

    Makonda Aongoza Viongozi wa Serikali Kuhani Msiba wa W. Kabwe, atoa hotuba

    Hivi familia ya Kabwe inafurahia uwepo wa Makonda pale msibani au basi tu wafanyeje? Ki-Afrika RC angemtuma mtu mwingine. Kilichotokea Darajani Kigamboni kwa familia ya Kabwe hakiwezi saulika. Uwepo wa Makonda ni kuongeza uchungu kwa familia husio wa lazima. As a human being he should have been...
  14. B

    Museveni defends Shs5m gift to MPs

    PARLIAMENT-President Museveni has said he did nothing wrong by giving each NRM MP Shs5 million ahead of the voting for the Speaker and Deputy Speaker of Parliament. According to Mr Museveni, the money was not a bribe but he was only trying to “rescue” the National Resistance Movement (NRM)...
  15. B

    FASTJET: Mhe. Heche & Sakaya Someni hii mpate mwanga

    Kuna Video inazunguka kwenye whatsapp ikionyesha wabunge Heche na Magdalena Sakaya wakiishutumu Fastjet kwa "kuwaibia" wateja kwa kutoza gharama za maji na mizigo, n.k kwa bei kubwa. Nimeona niweke makala yangu niliyoandika kwenye Business Times wakati Fastjet inaaza. Kwa vile najua wanaweza...
  16. B

    Agnes Marwa ang'aka, adai wanaomzushia wanampa 'Kick'

    Tusimjadili huyu dada hapa. Hana sifa hizo kabisa.
  17. B

    Uzalendo wa Magufuli na utata wa sukari...

    Namuomba mtoa mada afanye uchunguzi wa makini kuhusu sekta ya sukari arudi jamvini na facts. Hakuna facts katika mada hii
  18. B

    Rais Magufuli anaelekea kumpoteza mtumishi makini Augustine Mahiga

    Sikubaliani na waziri Mahiga kumtetea mke wake eti kutokana na kusikiliza ile clip! Tukubumbuke aliye record ile clip sio askari aliyetukanwa. Aliye record ile clip ni boss wake askari baada ya askari kumpigia simu kulalamikia kile kitendo cha Mama Mahiga kutukana askari. Tendo la kutukana...
  19. B

    Wasomi wahoji ububu wa UKAWA bungeni

    Hivi niwaulize wadau. Mnawaonaje kwamba Ukawa hawaongei? Kupitia Media gani? Ungo? Bunge lipo gizani nyie mnawaonaje?
Back
Top Bottom