Search results

  1. M

    Mfanyakazi asimamishwa Clouds kwa kutangaza habari ya Paul Makonda, TEF yaitaka mitandao iunge mkono

    Kuna mtu kapoteza uwaziri wake sababu ya huyo bwana. Lazma kuwepo na heshima mahala pa kazi. Yeye ni nani mpaka awe juu ya boss wake.
  2. M

    Shamba la Sumaye kufutiwa hati

    Tatizo la kufanya mambo kwa ushabiki. Tz kuendelea bado sana. Tuna umaskini wa fikra.
  3. M

    Waziri Mkuu: Makao Makuu ya makanisa kujengwa Dodoma

    Waarabu walidumaza sana akili za watu. Inatia huruma.
  4. M

    UTEUZI: Rais Magufuli amemteua Hebert Mlango kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya TBC

    Ni Mwenyekiti wa Bodi ya ushauri TEMESA mpaka sasa. Hana jipya.
  5. M

    Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Salum Mwalimu achukua fomu ya Ubunge Kikwajuni

    Inaonekana atakuwa tishio. Niliona Mbunge aliyepo anatema mapovu bungeni last week.
  6. M

    Mbatia agomea uteuzi wa Pinda,atao sababu tatu,ufaulu wa shuka toka asilimia 89 mpaka 43

    Mbatia yupo sahihi kukataa uteuzi huo, haiwezekani utafiti wake wa miaka na miaka ukataliwe na serikali then leo wampe wiki sita kupata majawabu ambayo anayo tayari. Huu ni utumiaji mbaya wa fedha za umma, wacha wenye njaa wakachakachue majibu yao. Kama wako fair Waziri awajibike kwanza then...
  7. M

    Tundu Lissu, Terezya Huvisa ndani ya EATV

    Tundu Lisu ni mwana mazingira na ndio maana wamemwita, anamiliki NGO' ya maswala ya mazingira inayoitwa Lawyer's Environmental Action Team (LEAT) so tutegemee mjadala mzuri kuhusu shera za mazingira na mamlaka ya Waziri wa Mazingira na NEMC.
  8. M

    Hisia za wananchi wa Jimbo la Arusha (M), muda mfupi baada ya Lema kushinda rufaa

    Wale tushawazoea ni watu wa kujipendekeza na wajuaji wa kila kitu!
  9. M

    Kikao cha Kamati Kuu ya CHADEMA: Maazimio na picha za matukio

    Vyama vyote vya siasa haviwezi kukwepa muundo huo, ni lazima iwe hivyo ili pawepo na Democrasia zaidi kuliko kutegemea organ moja kufanya maamuzi kwa kisingizio cha gharama. Nadhani umenipata!
  10. M

    Maneno ya Busara!

    Haya chacha; wanaosema Mnyika kakosea kuthema dhaifu waseme ndiooooooooooooooo!!!!!!
  11. M

    Akili ndogo inaongoza akili kubwa - Msigwa

    "mimi kama mchungaji tunaombea wazinzi, wanaofumaniwa na wake za watu ndo tunawaombea, mimi kama mchungaji tunaombea wenye pepo......"
  12. M

    Ujumbe Kwa CloudsFM na Gerald Hando

    Kazi yao ni kujipendekeza kwa rais kwa kwenda kumfanyia birthday Ikulu. Clouds kila mtu pale ni mjuaji!!!!
  13. M

    Bungeni Live, June 21: Maswali kwa Waziri Mkuu

    Ile chenji ya Rada ndo ingelipa deni la walimu na si kutudanganya wamepeleka kununulia pembejeo ambazo hazionekani huko vijijini; swala la madaktari haliwezi kutibiwa kwa kwenda mahakamani, yaani kwa wenye akili tushajua mahakama itatoa uamuzi gani. Kamati ya bunge ya afya ilishauri swala hili...
  14. M

    Pendekezo heading ya kesho tz daima/mwananchi-Udhaifu wa kikwete wazua balaa bungeni.

    PENDEKEZO HEADING YA GAZETI LA UHURU KESHO: Lusinde awachachafya CHADEMA; Ahoji Mbowe kutumia shangingi alilolikataa, aifananisha bajeti yao na ndoto za mchana! Mnyika atolewa kwa aibu bungeni! Wabunge wengi waiunga mkono bajeti, serikali yasema bajeti hii ni ya kuigwa Africa!!!!!!!
  15. M

    Kutolewa Nje ya Bunge Mh. Mnyika - Haki iko wapi?

    Refa wao, uwanja wao, mashabiki wao, wakusanya viingilio wao, then unategemea nini?
  16. M

    John Mnyika amuita Rais kikwete Dhaifu, atolewa nje ya Ukumbi wa Bunge!

    We hijawahi kuona refa anatoa kadi nyekundu kwa mchezaji wa timu mojawapo uwanjani then akijishtukia aliboronga anasawazisha kwa kutoa penati kwa timu pinzani? Kwa kifupi hakuwa fair kwa kuwaacha Lusinde na Nchemba waliotukana jana na leo bila ya kuwaadhibu; Hii siyo mara ya kwanza Spika...
  17. M

    Maandamano bila kibali-kwanini mbunge wa nzega hakukamatwa na polisi

    Kwenye kofia wanazotumia polisi kuna nembo ya shoka na jembe ambayo inalandana na ile ya ccm, so kwa maana nyingine hawa ni washirika! Ipo siku yao!
  18. M

    Sekretarieti ya Ajira ichunguzwe, kuna dalili za rushwa!

    Wale waleeeee!!! Mkikosa mkubali kushindwa na siyo kuulizia dini yao au kabila zao! Haya ndo mambo nisiyotaka kabsaa! Jipange sawa sawa, mwombe mungu pia na kama una vigezo utapata; me nilishaitwa pale mara mbili na nikakosa na niliridhika na kutopata. Haya mambo bana!!!!
  19. M

    Wizi fedha za safari za JK kuchunguzwa

    Yaani kama kila safari inagharimu bilioni mbili au zinazokaribia ni kwanini cdm wasilalamike? Coz kama anatumia bilioni 2 kutafuta bilioni moja na nusu tena za kuahidiwa kwa masharti hiyo si ni biashara kichaa? Mambo mengine si mpaka cdm waseme; huu ni uhujumu uchumi kabsaaa!
  20. M

    Watanzania MSIDANGANYIKE, kuweni na MSIMAMO

    Wangegomea Uchaguzi mkuu mambo yangekuwa powa sana coz hawa jamaa ndo mtaji mkubwa wa magamba!
Back
Top Bottom