Search results

  1. T

    Majumuisho mkutano wa nmc arusha 05/05 vua gamba vaa gwanda ulioongozwa na kamanda mbowe

    Umenena mkuu. Hawa magamba na mafisadi wapende wasipende lazima cku moja watavua magamba na kuvaa magwanda. Kwani itafika mahali kila wanapopita ni gwanda tupu akiwa ndani ni gwanda, akiwa nje ni gwanda, kwenye gari ni gwanda yaani popote anapokuwa ni gwanda kwani kila mmoja anapigania haki na...
  2. T

    Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

    Mh. Rais kikwete ateua baraza la mawazi jipya baada ya malumbano ya muda mrefu. Lakini je, kumbadilisha mtu wizara ndio suluisha ya ufisadi na ubatilifu wa mali za serikali? Ndugu za hili mm naona hawa magamba wanataka waendelee kutesa raia na kumalizia walichobakisha. Cjui waheshimiwa...
  3. T

    Tangazo la ajira jeshi la polisi

    umenena mkuu kwani hata sasa jeshi la polisi haliko kwa ajili ya kulinda na kutetea haki za raia bali kupokonya na kunyang'anya raia haki zao. Naweza kusema na nadhini wengi watakubaliana nami kwamba jeshi la polisi liko kwa ajili ya maslahi ya chama cha magamba(chukua chako mapema£ccm).
  4. T

    Vijana na siasa ya Tanzania

    Vjana ni taifa la leo.ila aina ya vjana kama january makamba ni janga la kitaifa
  5. T

    Baraza la mawaziri kutangazwa wakati wowote-Ikulu!!

    una akili,tatizo lako we ni Gamba la kwapa
  6. T

    Nampenda sana waziri Magufuli, ni waziri ambaye hana mfano

    Anakata sana bahasha kwa makanjanja
  7. T

    Rais wangu JK usimchague Makongoro kwenye baraza jipya, atakuchafua

    Akimteua Mahanga na Aibu ya mhimili wa mahakama leo atajishushia hadhi..mwizi wa masanduku ya kura yule.
  8. T

    M4c kuitenga kanda ya magharibi, chadema kunani?!

    Dr slaa na Kamanda lema wamekusikia,watakufikia.
Back
Top Bottom