Mimi nafikiri kuwepo na changes za kiungozi katika chama cha CHADEMA ili kiweze kuimarika na kwenda mbele. Nafikiri kungekuwepo na switching ya Katibu na Mwenyekiti, mimi naona Dr. Slaa akiwa mwenyekiti na Mbowe akachukua ukatibu, mambo yatasonga, maana kumeishakuwa na dalili ya matumizi mabaya...
Binafsi, ninafikiri Mpendazoe amefanya jambo la maana ambalo ni vigumu kuufikia uamuzi wa namna hiyo kulingana na kwamba unapoteza mafao yako, na cheo chako kwa kukataa kushirikiana na watafunaji nchi.
Sidhani kama anakwenda kuwa nyuma kimaisha eti kwasababu kaacha ubunge, ni mtu ambaye...
Nilifikiria tu kwamba tujadili yale yalijadiliwa na hiyo NEC hapo Ikulu kuliko kupoteza muda wa kujadili kwamba CCM imefanya makosa kufanyia hicho kikao hapo Ikulu.
Jamani sikilizeni; Kuna protocol za raisi na ofcourse za chama tawala. Na hasa kwa nchi yetu ambapo CCM mwenyekit wake ndio raisi...
Kwanza mtu mwenyewe anayefanya kazi hiyo ya uchunguzi wa mawaziri tena wa siri eti ni"mkandara" wote tunajua mkandara ni mshikaji wa kikwete, vile vile mkandara ana ushikaji fulani na mawaziri wengi. Hivyo sidhani kama report atakayotoa either ya kumlinda au kumlima waziri fulani hata kama ina...
Wan JF.
Msipoamini habari nilizoandika kuhusu poision aliopewa huyu bwana balali hiyo ni shauri yenu. Lakini ukweli uko pale pale na ndio hicho kilichotokea.Aliyenipa hizi habari ni mwanafamilia wa Balali na unajua tena hawezi wenda indeep more that that maana naye hajui kama mimi nilikuwa...
Habari za weekend wana JF.
Habari za kuaminika kutokana na mtu ambaye yuko karibu na balali na anaishi hapa US zinasema kuwa mzee huyo alipewa sumu huko Tanzania. Pmoja na utata uliopo juu ya ugonjwa wake ambayo ni kweli anaweza kuwa amukwa ugonjwa mkuu, lakini kwa hali hasa iliyomleta hosptali...
Habari za weekend wana JF.
Habari za kuaminika kutokana na mtu ambaye yuko karibu na balali na anaishi hapa US zinasema kuwa mzee huyo alipewa sumu huko Tanzania. Pmoja na utata uliopo juu ya ugonjwa wake ambayo ni kweli anaweza kuwa amukwa ugonjwa mkuu, lakini kwa hali hasa iliyomleta hosptali...
Ndugu Bubu~
Nafikiri una data nyingi lakini naomba ziambatane na topic zinazozungumzwa. Mra nyingi ninakuwa na imani na infor zako, maana nyingi zina fact. Lakini hii ya kumtetea Zitto kila kukicha nafikiri tupunguzer speed. Zitto naye ni mtu kama wewe hivyo kuna mahali atateleza na kuna mahali...
Vitu vingine mnarudishsa mijadala nyuma. Ebu liachceni hili suala lijadiliwe huko bungeni tusikie mwisho wake. Zitto wote tunampenda lakini hatuwezi kuwa "yes" people kwa kila atakachofanya. Hii ni kumpa big head huyu kijana. Kuna mazuri mengi anayafanya lakini yasitupe kiburi sana, ebu tusikie...
Mchuano ulikuwa mzito. kwa upande wangu bado Obama ni tishio kwa Clinton. Lets next...... Edward kwa nini anaharibu nguvu zake!!!!angeishia tu hapa au akaungana na Obama kwenye campaign bus. Lakini Clinton wacha ashinde maana jana chozi lilimtoka kwa hiyo nafikiri wazawa wamelifikiria hilo.
Lakini hata kama Mkapa amelitia taifa hasara lakini bado alimaintain status ya amani. Kwa hilo ni bora tumuache na tumheshimu aliendeleze Kenya. Ufisadi kwa vurugu za kenya unasamehewa kidogo. Jamaa BM alikabishi nchi ikiwa na amani na wacha atoe some kwa majirani as long as asitoe some la ufisadi;
Huyu Mzee Kibaki...mbona kila kitu anakwenda kasi kasi!!!!!!!!? Naona Odinga sasa atapata njia safi ya kumkandamiza....kwa sababu yeye keshaanza kuunda bara la mawaziri wakati wataalamu wa mabo ya siasa wamemshauri asubiri mpaka suluhu ipatikane. Jamani Mkikuyu mbishi......huenda mambo yakawa...
Je hii itasaidia kuleta amani na kuwakutanisha hawa madumu wawili? Naona Kibaki anakuja kasi na anakwenda kinyume na ushauri unaotolewa na wanadiplomasia....sasa ebu tuone hawa maex-pres kama watasaidia kumshsuri mzee wa kikuyu kutuliza ball.
Kalonzo VP in Kibakis new Cabinet
Published on January 9, 2008, 12:00 am
By Peter Murigi
ODM-Kenya leader Mr Stephen Kalonzo Musyoka is the Vice-President, in a new-look coalition government announced by President Kibaki.
But violence broke out in Kisumu and some parts of Nairobi...
Ex-presidents visit victims
Published on January 9, 2008, 12:00 am
By Stephen Makabila
Four former African Presidents visited displaced victims of post-election violence in Eldoret, on Tuesday, and appealed to Kenyans to stop fighting and unite to save the country from collapse.
The...
Ndugu wana JF.
Upande mwingine tuache tu kumsakama Kikwete kuhusu yanayoendelea sasa hivi kwa kutumia tu rungu tu la siasa zetu za ndani. Mkae mkijua kuwa kuna sheria za kimataifa na taifa baina ya nchi na nchi. Sisi tulipokuwa na tatizo la Zanzibar katika uchaguzi mlimsikia Kibaki au Mseveni...
Mimi sioni hata haja kuwahoji mara ya pili wale watumishi wa serikali, maana hapo ni kuwapa chance ya ku-edit story zao. Akina Mwakyembe wangekaa na hizo taarifa za uongo walizopewa na watumishi, wakaendelea kusaka ukweli hali, ili pindi wanamalizia research yao, hawa watumishi wanabambwa vizuri...
Wanasema :Tunashehekea uhuru wa chi yetu" au "Tunashekea uhuru wa Tanzania au "Tanzania independent day"
Hakuna sababu ya kulitumia jina la la zamani (tanganyika) eti kwasababu tulilpota uhuru tulikuwa bado hatujaungana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.