Search results

  1. NORTHERN ROCK

    Majibu yangu kwa Baba Askofu Stephen Munga kuhusu Bandiko lenye kichwa cha habari kisemacho "CHADEMA JITAFAKARINI"

    Re post from Stephen Munga: Majibu mazuri. Nilitaka kuandika juu ya jambo rahisi kwa lugha rahisi. Nadhani wanasiasa wanapenda sana kupata "to win public opinion". Sababu kubwa hasa ni kwa sababu hao ndio wapiga kura. Hupiga kura kulingana na uelewa wa mambo ulivyo. Mambo yanayotokea...
  2. NORTHERN ROCK

    Maelezo ya Bernard K. Membe, Kuhusu Fedha za Deni la Libya

    1.0. Libya ni moja kati ya nchi wafadhili wa Tanzania ambapo, kama ilivyo wafadhili wengineimekuwa ikiipa nchi yetu misaada na mikopo yenye masharti nafuu. Serikali yetu imekuwa ikifanya taratibu mbalimbali kulipa madeni ya nchi wafadhili kwa njia mbalimbali ikiwa ni pamoja na utaratibu wa...
  3. NORTHERN ROCK

    Yericko Nyerere azindua Kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi

    Nimekisoma kitabu chake, mwandishi amefuata kanuni zote, ameitambua jamiiforums na Habibu Anga kama Reference au marejeo yake. Hizi zingine ni potojo za wivu tu.
  4. NORTHERN ROCK

    Yericko Nyerere azindua Kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi

    Kwenye kitabu cha Ujasusi mwandishi ametoa credit kwa @jamiifurums na kwa Habibu Anga,
  5. NORTHERN ROCK

    Yericko Nyerere ni nani?

    BIOGRAPHY FOR YERICKO NYERERE Yericko Yohanesy Nyerere was born on 04 April 1983 in the village of Maduma, Mufindi district, Iringa-Tanzania. Nyerere is the author of the ground breaking books "Strategy: The Road to Power" and “State and Economic Competitive Intelligence”. He is also a famed...
  6. NORTHERN ROCK

    Mahojiano kesi ya Yericko Nyerere mahakamani,chini ya wakili msomi

    Jana 23/5/2018 kesi namba 188/2017 inayomkabili mfanyabiashara na kada wa Chadema Yericko Nyerere iliendelea kusikilizwa mbele ya Hakimu Mwambapa, upande wa Jamhuri ulileta mashahidi wawili ambao ni Inspekta Hamza na Assistant inspector Mboka. Baada ya karani wa mahakama kuisoma kesi hiyo...
  7. NORTHERN ROCK

    VIDEO: Mahojiano maalumu na Yericko Nyerere

    Amezungumza juu ya elimu, siasa, vitabu vyake na maisha yake.
  8. NORTHERN ROCK

    Mh Mbowe aunga mkono kitabu cha Yericko na kushauri vijana kuonyesha uthubutu kupitia vipaji vyao

    Katika ukurasa wa Yericko amelipoti kwamba: "Leo nimekutana na kaka mkubwa kamanda wa Anga, Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Kiongozi wa Upinzani Bunge Mh Freeman Mbowe. Tumezungumza mengi kwa mapana yake, lakini kubwa yakigusa mambo ya kiusalama, siasa na mengineyo... Mh Mwenyekiti ameunga...
  9. NORTHERN ROCK

    Makada wa CCM Patrobas Katambi, David Kafulila na Heri James wamkimbia Yericko Nyerere Star Tv

    Leo asubuhi kulikuwa na kipindi cha Tuongee asubuhi ambapo awali tulitangaziwa kuwa wageni watakuwa ni Yericko Nyerere kutoka Chadema na makada wa CCM ambao ni Patrobas Katambi, David Kafulila na Heri James... Mpaka kipindi kinamalizika uwanja ulikuwa ni wa Yericko Nyerere tu kwanzi makada wa...
  10. NORTHERN ROCK

    Yericko Nyerere: Miezi 24, Rais Magufuli amefeli katika Uchumi

    Mijitu mingine ni ya kuipuza tu mkuu
  11. NORTHERN ROCK

    Yericko Nyerere: Miezi 24, Rais Magufuli amefeli katika Uchumi

    Kuna tofauti kati ya kukua kwa uchumi (Economic Growth) na Maendeleo ya kiuchumi (Economic Development). Ukuaji Wa UCHUMI (Quantitative part) unamaanisha ukuaji na upanukaji Wa uzalishaji Wa bidhaa na au huduma za jamii ama kwa sababu ya kuongezeka kwa ubora Wa rasilimali (Elimu), wingi Wa...
  12. NORTHERN ROCK

    Yericko Nyerere: Si kila mamlaka inatoka kwa Mungu, Wananchi wa Kimara wanalijua hilo.

    ______________________________________ "Historia ya siasa duniani haitengani na historia ya dini. Vitu hivi vimekuwa sambamba na vyenye mafaa kwa jamii yoyote ile duniani, lakini vikileta matatizo makubwa sana katika baadhi ya nchi duniani, matharani ubaguzi wa kiimani umeleta machafuko na...
  13. NORTHERN ROCK

    Yericko: The Basic & Advanced Principles of Criminal Investigations similar to Lissu's Assassination Attempt

    Unaonyesha una chuki binafsi na mleta mada, uliyoaongea ni out of logic kabisa, unasema upo ughaibuni lakini unaongea kwa wivu kama upo manzese na buguruni... Jenga hoja kulingana na hoja iliyopo.
  14. NORTHERN ROCK

    Nadharia ya Usalama wa Taifa (TISS) ibadilike kuanzia sasa, Taifa lipo hatarini

    Asante sana kwa mkuu Yericko, kwapamoja tutajenga idara imara na kisha kuwa shirikisho
  15. NORTHERN ROCK

    Tamko la UVCCM Mkoa wa Geita kupinga kusimamishwa ziara za Mwigulu

    TAMKO KWA WANAHABARI UVCCM MKOA WA GEITA. 23/01/2015 Ndugu wanahabari, kwa masikitiko makubwa tumetoa taarifa hii kutokana na hali ya mambo ndani ya chama chetu, Tunatumia fursa hii ili tuweze kuzungumzia...
Back
Top Bottom