Search results

  1. Z

    Mkoa gani mzuri wa kuanzia life hapa bongo?

    Dogo unachagua mkoa au unachagua kazi? Inabidi ufahamu kuwa hata hiyo mikoa unayoiona ina nafuu ya maisha haina maana kuwa unafuu unajileta wenyewe. Watu wanachakarika, wanajituma na kuwa wabunifu, yote hayo ni katika kukabili na kuyatawala mazingira yawazungukayo. Acha kujidekeza, Ukitaka...
  2. Z

    CHADEMA wanaandamana upinga ushindi wa Makongoro

    Leo asubuhi katika moja ya posti zangu nilieleza jinsi ilivo vigumu kwa chadema kushinda kesi ya ubunge kwa majimbo ya yaliyo katika majiji. Ni kweli kuwa cdm wameshinda majimbo ya rural, hii imetengenezwa makusudi ili kutekeleza mkakati wa ccm kuchukua majimbo ya majiji waliyo yapoteza kwa...
  3. Z

    Makongoro Mahanga ashinda kesi ya uchaguzi jimbo la Segerea

    Nimesikia eti mkakati wa serikali a JK na ccm ni kuhakikisha ccm wanashinda majimbo yotoe ya majiji then chadema wanaachuwa yale ya vijijini kama vile sumbawanga na biharamulo.
  4. Z

    Mshahara wa care international ni shs ngapi kwa fresh graduate ? Nisaidieni wadau

    Kwani kazi na mshahara kipi kinaanza? Dogo acha mbwembwe kama umepata kazi nenda then mshahara utajua hukohuko. ukiona unakufaa piga kazi au ama la piga chini hyo kazi. Ama la waachie wenzio wanaosota vijiweni wakapige kazi.
Back
Top Bottom