Search results

  1. Man Ngosha

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    ha ha ha hahaaaaa...kila la kheri mdau
  2. Man Ngosha

    Suluhisho la majitaka kutoka manyumbani na viwandani

    Salama mkuu? Mimi Niko Misungwi nahitaji hii huduma, japo nitaomba tuyajenge vizuri kwenye bei
  3. Man Ngosha

    Mikopo ya Benki na Matumizi Sahihi kwa Watumishi

    Asante sana mtoa hoja; Suala la kukopa sio baya, cha msingi ni kujiuliza unakopa ili ufanye nini?? kwa mishahara ya Kitanzania na aina ya maisha ya utegemezi uliopo ni ngumu sana kuweka akiba kutoka ktk mshahara kwa kiwango cha kupata kiasi cha kufanya jambo kubwa kwa muda mfupi. Hivyo ukitaka...
  4. Man Ngosha

    Jinsi nilivyotumia Tsh. Milioni 1 kuzalisha faida ya Tsh. Milioni 10 ndani ya miezi kumi

    Hongera sana mdau. kweli ulijipanga vizuri na kuweka malengo. Ninatamani kupata abc ya biashara ya uwakala wa bank.. mfano mtaji unaohitajika, na namna mtu anaweza kupata faida.
  5. Man Ngosha

    Wale ambao Mama zetu wametangulia mbele ya haki

    Pumzika kwa amani mama yangu, uliniacha nikiwa darasa la 5. Natamani ungekuwepo leo ili uone matunda ya malezi yako kwangu
  6. Man Ngosha

    TANZIA Mkurugenzi wa Uwanja wa Ndege Kilimanjaro, Mhandisi Christopher Mukoma afariki dunia

    Rip Eng. Mukoma. Pole sana kwa familia na jamii ya KIA kwa ujumla.
  7. Man Ngosha

    Mungu nisamehe kwa nilichotaka kufanya

    Pole sana ndg, usifanye tena hayo maamuzi ya kutaka kujiua. Endelea kupambana hata biashara ndogondogo Mungu atakushika mkono.
  8. Man Ngosha

    Riwaya: Scolastica Temu

    Duh.. ni stori nzuri sana na inafundisha. Tunangoja kujua nini kitatokea zaidi
  9. Man Ngosha

    Mambo unayoweza kuyafanya kwa fedha kiasi cha Laki tano

    Ukweli mtupu, kilimo kinalipa ili mradi tu uwe tayari kukabiliana na changamoto zake.
  10. Man Ngosha

    Hodiiiii mimi mgeni

    Karibu sana, Free at home
  11. Man Ngosha

    Nishauri: Mke wangu kanijibu yeye ni mrembo, anatongozwa kila siku na kunambia maisha anayaweza sio lazima kuwa na mimi

    Pole sana mdau, Cha kushukuru amekuachia mtoto ambaye unayo nafasi ya kumlea kwa maadili mazuri kadiri utakavyo. Kwa sasa tuliza akili yako, weka juhudi katika kazi na kumtunza mwanao. Jipe muda kabla ya kuingia ktk mahusiano mengine.
  12. Man Ngosha

    Naitwa Analyse, na hii ndio safari yangu ya maisha...

    Simulizi nzuri sana na yenye kufundisha, asante sana Analyse.Nadhan kwa sasa mambo yako yapo vizuri
  13. Man Ngosha

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Hello wadau, mimi ni mwalimu, elimu ya msingi ktk wilaya ya Chemba mkoani Dodoma. Natafuta mwalimu mwenzangu ili tubadilishe vituo vya kazi, yeye aje nilipo namimi niende eneo lake! Nahitaji zaidi kubadilisha niende mikoa ya kanda ya ziwa. Asanteni sana.
  14. Man Ngosha

    Jinsi baba yangu alivyofariki na kuacha kiasi kikubwa cha Fedha Benki bila Familia kujua

    Hakika, kuna umuhimu wa kushirikisha familia, hata kama sio familia nzima ila walau mmoja wa wana familia.
Back
Top Bottom