Search results

  1. Songambele

    Biashara ya Sukari imekuwa mateso kwa Wafanyabiashara

    Hatua iwachukulie mabwanyenye yenye viwanda, hizi zote ni Siasa za kiafrika na wewe ukoloni mambo Leo umekufanya ukose kujitambua. Hivi unawajua wenye viwanda vya sukari??? Au wenye wako katika out grower schemes??? Serikali inalinda mabwanyenye kwa kafara ya wachuuzi tu, we kada akili hizi huna...
  2. Songambele

    Bodi ya Sukari acheni sinema, wajibikeni sasa

    Kama ilivyo desturi hatuwezi kukaa kimya kuacha sinema za karne iliyopita ziendelee tena kila uchaguzi unapokaribia. Sukari adimu kwa maelezo Yao wenyewe uzalishaji ni mdogo kuliko mahitaji. Hili sio jipya zipo hatua hata mwenda ZAKE alichukua kupambana na uhaba wa sukari. Wafanyabiashara...
  3. Songambele

    Waziri Masauni tupunguzie Traffic Polisi barabarani

    Duh! Waongezeeni maarifa Hawa mlio nao kwanza wajitambue na waache rushwa. Wapeni technolojia makondoo ni Hao traffic wanasimamisha gari moja na wanauliza maswali hayo hayo katika vitu zaidi ya 20 ndani ya km 200. Hii nchi ni ya kwetu sote na tunajua hamtaki mawazo tofauti na yenu lakini lazima...
  4. Songambele

    Waziri Masauni tupunguzie Traffic Polisi barabarani

    Wanaondesha magari vibaya ni madereva wenu wa serikali na majeshi yenu wao hata afisa akiwa anaenda nyumba ndogo ni misafara na kutanua. Miundo mbinu yenu ni wizi mwendazake kajenga barabara njia 8 na bado Polisi wenu wanadangia humo humo
  5. Songambele

    Waziri Masauni tupunguzie Traffic Polisi barabarani

    Tunataka tufanye BIASHARA na tushindane na nchi Jirani huku tupunguze gharama za uendeshaji. Huu mradi wenu wa kukusanya fine bila kufanya kazi ni mwizi kuibia raia na makampuni na tunapinga rushwa. Hatutaki watoto wakue wakute rushwa ni halal sie tumefundishwa rushwa ni adui wa haki
  6. Songambele

    Waziri Masauni tupunguzie Traffic Polisi barabarani

    Nchi hii kila mtu ni muhalifu mpaka mahakamani iamue vinginevyo. Kwa taarifa JF ndio mawazo bora kabisa yanapotoka na toka 2007 tunatupia humu kujenga hili Taifa.
  7. Songambele

    Waziri Masauni tupunguzie Traffic Polisi barabarani

    Miaka ya 2010 World Bank walitoa ripoti ya kufanya biashara nchini Tanzania na kwa viwango vya wakati ule tulishika nafasi kama ya 121 kama sijakosea. Raisi wa wakati ule Mh. Jakaya hakuridhishwa na hiyo ranking na kuchukua hatua at least tufikie 2 digits yaani tuwe chini ya 100. Majirani zetu...
  8. Songambele

    Emmanuel Nchimbi anafaa kuwa Katibu Mkuu wa CCM, anaweza kujenga chama, kudhibiti nidhamu ya chama, akiwemo yule bwana mdogo

    Da nyie watu wa propaganda mnazingua sana mkishachukua posho zenu tayari mko radhi hata kuuza utu wenu. Hii si kusema chama chenu mmekirudisha kule kule tu kwani Nchimbi ni waleo CCM na kundi lake si ndio limeshika hatamu sasa. Onyesheni records zake zilizotukuka katika kuwaondolea wanachi shida...
  9. Songambele

    Uteuzi: Kanali Simbakalia ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ranchi za Taifa (NARCO)

    Kwa teuzi za namna hii Mama hatomaliza kupanga serikali, manake kama vile lipo kundi ambalo lazima wawe katika uongozi ije jua au mvua. Kama kuna vitu CCM wana feli ni hili kundi waliloliandaa ambalo lazima liwemo katika kuongoza hata kama mtaa. NARCO ilitaka mtu kama ASAS ambaye anazo records...
  10. Songambele

    Tetesi: Kama hili ni kweli, basi nakubaliana na Lissu kuhusu Dkt. Slaa

    Tunaijua hiyo Slaa CCM wanataka kumtumia tena kuua upinzani, huko anatakiwa kustaafu tu
  11. Songambele

    Naibu Waziri Mkuu Dkt. Biteko: Nimeambiwa majukumu yangu ni Kufanya Coordination nami naahidi nitamsaidia Waziri mkuu kwa Uaminifu mkubwa!

    Dr. Biteko wasichokuambia wewe ndio unatakiwa kuwa PM ajaye na hiyo ndio pasi ya mwisho, wewe tu ndio unatakiwa kupasia nyavu. Manake ingekuwa sie tungenyoosha Majaliwa kachoka na mawazo mapya na ubunifu zaidi ndio Mama anataka. Weka weledi na toka nje ya box kupata watendaji wazuri achana na...
  12. Songambele

    Rais ajaye Tanzania atokane na mmojawapo wa viongozi wafuatao

    Huyu mjinga propaganda zimemwingia mpaka hajitambui na hatumii tena akili zake, Tanzania inataka viongozi wapya kabisa na sio hawa uliotaja wengine umri umeshawatupa mkono, tunataka raisi aliyezaliwa miaka ya 90 yaani kwa muda huo anagombea awe hajazidi 35. Hao wazee wameshaumizwa na ukoloni na...
  13. Songambele

    Hongera na pole Balozi Siwa. Je, utaiweza TISS au TISS itakuweza?

    Mikwara hii na ndio kichaka cha kujifichia hawa watu, kiukweli katika idara zilizotufelisha katika nchi hii hawa jamaa wamo mbele na wanatumika sana na wanasiasa kutimiza matakwa ya kisiasa zaidi kuliko maendeleo. Hizi ndio taasisi mkoloni aliziunda kujihalalishia ufedhuli wao, na CCM wanapita...
  14. Songambele

    Wizara ya katiba na sheria imejizindulia utaratibu wa kula pesa za walipa kodi kwa kampeni ya elimu ya katiba mpya 2024/2026; waanza kuandaa mikutano

    Paskal hili hapana ni matumizi mabaya ya muda miaka mitatu ni mingi sana, kuna social media zinafikia watu wengi sana na kama sensa imesema nusu ya watanzania ni vijana na watoto sasa miaka mitatu ya nini nyie watu, mmeshakaa miaka zaidi ya 60 mmeshindwa kufundisha katiba hiyo miaka 3 ndio...
  15. Songambele

    Mikopo Kausha Damu ya Kimtandao

    200000+ installment 3, leo ya pili moja last week
  16. Songambele

    Mikopo Kausha Damu ya Kimtandao

    Dunia tambara bovu na vituko haviishi na kila kukicha ni vuta nikuvute. Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wakopeshaji wa kidigital ambao si haba wanaongezeka kila kukicha. Mie natoleo mfano mkopo wako, hawa jamaa ni nouma sana nikiwalinganisha na wengine hawa wabunifu zaidi wameajiri wadada...
  17. Songambele

    Mkataba na DP World siyo miaka 100, bali ni MILELE

    Mwamba umesoma kwa hamaki kubwa sana hapa, ebu shusha pumzi basi na angalia kama wewe ndio unawekeza kwa nchi hizi zetu maslahi yako yanalindwaje na kweli jamani tuna watu viazi wa kiasi hiko cha kuingia mkataba infinity!!!! Tusome tena na kiglass pembeni ndio tunaweza elewa.
  18. Songambele

    Suala la Bandari tukubali tunahitaji msaada

    Wabongo hapa haki ya mungu unatuonea, sie wabongo hatuteui wala kuajiri hao watu, walioko juu wenyewe kwa wenyewe ndio wanazingua. Hasira zinakuja wamejichagua wenyewe na mikono yao michafu sasa wanapambana wenyewe kwa wenyewe ndio ugomvi wenu ulipo. Mpo nyie na wale sasa nyie mmeamua tukose...
  19. Songambele

    Kila Mtanzania mwenye umri wa miaka 18 na kuendelea ni lazima awe na TIN ifikapo Desemba 31, 2023

    Yaani hapa wamatumbi nyie ninapokosa hamu na nyie. Mazuri ya US yakihusu kodi aaah mnadesa vipi yahusuyo haki za watu wenu. Wasio na kazi huko US serikali yao inafanya nini na kwanini isiwe lazima serikali ya Jamhuri kulipa watu wake wasio na kazi. Swala sio kukimbia kodi ni serikali na yenyewe...
  20. Songambele

    Huyu Geofrey Moses Nauye ni ndugu na Nape Nnauye?

    Unaona mkia wa mbuzi na bado unauliza??????
Back
Top Bottom