Search results

  1. Kanyunyu

    Wanaotajwa tajwa kumrithi Rehema Sombi kiti cha UVCCM Mkoa wa Singida

    WANAO TAJWA TAJWA KUMRITHI REHEMA SOMBI KITI CHA UVCCM MKOA WA SINGIDA Na Mwananzengo Baada ya Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Singida ndugu Rehema Sombi kufanikiwa kushinda nafasi ya Makamu Mwenyekiti Umoja wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi taifa , inatarajiwa kwamba ataachia nafasi Moja ya...
  2. Kanyunyu

    Wabunge waangushwa kwenye uchaguzi wa CCM Mkoa Singida

    Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wabwagwa kwenye uchaguzi wa CCM Mkoa wa Singida, wabunge hao ni Mbunge wa Jimbo la Singida mjini Musa Sima na Mbunge wa Jimbo la Singida kaskazini bwana Ramadhan Ighondo waliokuwa wakigombea ujumbe wa Halmashauri kuu ya CCM taifa (NEC) kutoka...
  3. Kanyunyu

    Rais Samia safisha wabunge wa CCM 2025

    Mheshimiwa Rais Samia Suluhu tunakuomba usafishe genge la wabunge wa mwendazake aliowajaza Bungeni mwaka 2020 kwa ajili ya kazi ya kubadili katiba Ili aweze kutawala milele. Magufuli aliingiza Bungeni mamluki wengi sana wa idara ya usalama wa taifa kwenda kudhibiti wabunge kuhusu mkakati wa...
  4. Kanyunyu

    DOKEZO Ubunge Afrika Mashariki rushwa tupu ndani ya CCM

    Tayari Chama Cha Mapinduzi kimepitisha majina ya wanachama wake watakaopigiwa kura za maoni na kamati ya wabunge wa CCM kwaajili Ubunge wa Africa mashariki (EALA). Mchakato huu tayari umegubikwa na rushwa za kutisha, ambapo wagombea wa nafasi hiyo wanalazimika kutoa rushwa kubwa kushawishi...
  5. Kanyunyu

    Mzee Sumaye: Niliambiwa mapema ndani ya Chama chetu hakuna Demokrasia, ukigusa uenyekiti wa Mbowe utashughulikiwa

    Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, Frederick Sumaye ameshindwa kutetea kiti chake cha uenyekiti ambapo amepata kura 28 za ndio na 48 za hapana kati ya kura zote katika uchaguzi uliofanyika leo Kibaha mkoani Pwani. Hii ndiyo inaitwa "From Hero To Zero" Siasa za mchangani ni aibu kubwa!
  6. Kanyunyu

    Mbunge Elibariki Kingu atoa waraka wa kuaga Jimboni Singida Magharibi

    Taarifa kwa Jimbo la Singida Magharibi Pamoja na Ikungi Napenda kwa masikitiko makubwa kuwataarifu wananchi wangu wa jimbo la Singida Magharibi na hasa wananchi na wapiga kura wa Minyughe kuwa hatutaweza kutekeleza ndoto ya kujenga chuo cha VETA kama nilivyoahidi wakati wa kampeni zangu za...
  7. Kanyunyu

    How Elephants used as political tool in Botswana

    ELEPHANTS KILLING: For sometime i have been following this issue of elephant hunting ban being lifted and i have realised one big problem of the issue. Politicizing this issue by both Former president and the current. Let me be bold at tell you that the issue here is not about elephants but...
  8. Kanyunyu

    Nyalandu anagawa kadi za CHADEMA misibani Singida

    Inaonekana sasa Lazaro Nyarandu amelikamia jimbo lake la zamani la Singida kaskazini kwakuwa amepiga kambi jimboni wiki tatu sasa anaenda nyumba kwa nyumba, kijiji kwa kijiji na kufanya vikao vya kushtukiza katika maeneo tofauti, wanagawa kadi za Chadema na kuandika majina na namba za simu za...
Back
Top Bottom