Search results

  1. M

    Novel gani ilikuvutia enzi uko secondary?

    This is for real- James H. Chase An ace up my sleeve, Joker in the park, and Now i hold four aces- the by James H. Chase Harold Robins nae alikuwa na kali hizi: 1. Never Love A Stranger 2. The Carpetbeggers 3. The Adventurers, which has chapters zinazoanza na violence na kumalizikia na...
  2. M

    Tujikumbushe Marefa wa zamani

    Mussa Bakari - Zanzibar Iddi Mchata Omari Bendera- Tanga
  3. M

    Get Well Soon Dena Amsi...

    Pole sana DA I wish a speedy recovery. Mwanangu
  4. M

    Tanzia

    Pole Mwenyezi Mungu akupe kilicho bora zaidi ya alichokichukua.
  5. M

    Mnawakumbuka watuma salamu maarufu redioni wa enzi hizo? Tujikumbushe kwa kuwataja...

    Walikuwa wakijiita Mabingwa wa Salamu miaka hiyo ya 70 na 80 na sijui waliishia wapi Nawakumbuka- Zakaria Ndemfoo wa Lake Babati salamu Club, Rashidi Nguruwe wa Sokoni Korogwe, Ezekiel Greyson Mbaga wa Namanga Border Control(maarufu kwa salamu za mpira wa Simba na Yanga), na wengineo.
  6. M

    Muziki wa taarabu....!!

    I used to love one song by Babloom Modern Taarab- HAWARA HANA TALAKA
  7. M

    Idhaa za kimataifa za kiswahili

    India nako ilikuwepo sijui kama inaendelea
  8. M

    Misamiati mipya ya Kiswahili sanifu

    Taftishi - Public Inquiry
  9. M

    Shairi: Nimeachiwa machela...

    Sungurampole Na mimi niliwahi kusimuliwa ila nimesahau jina na mtunzi lakini nakumbuka jibu la kitendawili chenyewe. Nitajaribu kuulizia zaidi. Ni muda mrefu sijafuatilia habari za washairi lakini nadhani kina Koja Kuu, Sauti ya Kiza, Udogo si Hoja, Yoba kama bado wapo wanaweza kutusaidia...
  10. M

    Je Ni Avatar Gani unayoipenda JF?

    Ya Dena Amsi ndio inanivutia
  11. M

    Natafuta vitabu vya Mohammed Said Abdulla

    Kingine ni: Mwana wa Yungi Hulewa
  12. M

    Taarifa ya Msiba...!

    Pole sana Freetown Mwenyezi Mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu. Amen Mwanangu
  13. M

    Nikiwa Tz nitumie mtandao gani wa mawasiliano?

    Wana JF mnao mshauri Ndevu Mbili mshaurini kwa makini na ufasaha wa hoja msije mkamchanganya. Kwa mtazamo wangu kama kuna mtu wa Canada au US ambaye amekuja huku karibuni anaweza kumpa picha nzuri zaidi ya huku kuhusu vitu gani vya kubeba kumsaidia. Sisi tuliopo huku tunakuwa na mtazamo tofauti...
  14. M

    Nimefiwa na BABA Yangu Mzazi

    Pole sana X- Paster Mwenyezi Mungu amrehemu na kumpa wepesi siku ya hisabu. Tuko pamoja.
  15. M

    The Longest Married Couple in the World!

    Wakuu, ngumu sana kufika hapo walipofikia hao wazee, Mungu atusaidie. Inatia moyo kupata habari kama hizo.
  16. M

    Hi

    Salamu kwa wote. Tuko pamoja jamvini.
Back
Top Bottom