Search results

  1. I

    Tanzania imeshauzwa, watanzania tukimbilie wapi?

    Kumekua na vitendo vya uuzaji holela wa ardhi ya TANZANIA kwa wanaojiita WAWEKEZAJI wa KIGENI unaofanywa na viongozi wa chama (CCM) na serikali mfano simanjiro, Iringa raia wa ugiriki wamepola ardhi, Arumeru, Songea, hazaba bagamoyo-waswiden, dar- waanajiita wawekezaji wa kichina, Magofu ya...
  2. I

    Wakazi wa jimbo la Kinondoni

    Wakazi wa jimbo la kinondoni hatujapata mbunge makini toka mfumo wa vyama vingi uanzishe tulikua na Peter Kabisa, na sasa IDD AZAN wote hawaonesha kujali na kutatua matatizo ya wananchi kikamirifu kama, kufukia mifereji ya maji macha kule kinondoni shamba, kuondoa uchafu katika masoko ya Tndale...
Back
Top Bottom