Hicho kiburi anakipata wapi? Tatizo letu wa TZ huwa tunasahau shida mapema ndiyo maana mbali na mateso tunayopa ya kunyimwa huduma za msingi angali tukuwaona wachache wakivuna na kuneemeka na rasilimali za nchi hii, bado tumekuwa tunajisahau na kuridhika kirahisi ya vipande vya kanga, nusu mche...

Ndugu ya Tanaganyikajeki, ZANZIBAR ni sehemu ndogo sana ambayo haiwezi kuwa na ugumu wa kuwabadilisha nawazo ikaiunga mkono CHADEMA.
Mathalani wanatambua sana uwezo walionao CHADEMA na ndiyo maana kama utakumbuka uchaguzi mdogo wa ubunge mapema mwaka huu, CHADEMA walishika nafasi ya pili tena...
Wewe hautakuwa mzima katika kufikiri. Kadi ya CHADEMA uluchukua mwenyewe hivyo unavyoita ije kuchukuliwa ni nani aje kuchukua? CHADEMA ni nani hata umwitie kadi?
Nakusikitikia kama umo miongoni mwa wanaoendelea kuitakasa CCM na maovu yao. Kijana wa leo unaeendelea kupuuza harakati za kulikomboa...
Nafasi zilishatoka kitambo na watu walishaitwa kazini. Kati ya watu 5 watano walioiwa, ni mmoja tu ameripoti kwan watu wanakasumba kuwa kusini hakufai kuishi.
Hi all? nimekuja kufanya mabadiliko kwenye hili. Nimebanwa sana na kazi za hapa na pale kutafuta kipato cha kuniwezesha kujikimu kwa kuwa ajira kwa vijna hapa Tz ni nipe nikupe. Wanao heri wale wenye wajomba, mashangazi, baba wakubwa na wadogo na hali kadhalika wazazi au kaka na dada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.