Search results

  1. Z

    Hivi kweli Magufuli amempuuza huyu CCM kindakindaki

    Huna la kuongea?
  2. Z

    Baraza jipya la Mawaziri: Tanzania Mpya tuliyoitegemea imeanza kuyeyuka..!

    Unaota bado upo usingizini kwani usipomuunga mkono kazi hazifanyiki Hapa Kazi Tu
  3. Z

    Rungu la TRA lafika BAKWATA, yapewa siku saba kuwasilisha nyaraka

    Walizitumia taasisi za dini vibaya
  4. Z

    Rais Magufuli awatimua Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mwenyekiti wa Bodi na Katibu Mkuu Uchukuzi

    Badala ya kufikiri nchi ilipo kuwa inapelekwa na tulipo wewe unawaza uchaguzi ujao ama kweli kupata maendeleo kwa style hii ni shiida
  5. Z

    Hatudanganyiki, huyu mfanyabiashara alikuchangia mapesa Magufuli

    Wape elimu bado wana homa ya kupigwa mweleka lkn baada ya muda wataelewa
  6. Z

    Wafanyakazi wa TRA Geti no. 5 waswekwa ndani mchana huu

    Aongeze na valium alale kabisa
  7. Z

    Magufuli bado hajanishawishi

    Utajijua kwani umelazimishwa kushawishika pumzika huko uliko
  8. Z

    Bado Magufuli anahangaika na visamaki, Manyangumi yanalala kwa raha kabisa

    Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza
  9. Z

    Makontena kukamatwa inamsaidia nini mwananchi?

    Hahaha unanivunja mbavu
  10. Z

    Mwanamikakati wa Lowassa ahusishwa na wizi mkubwa Stanbic

    Kwani kukamuliwa jipu kunaangalia chama?
  11. Z

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Nani kakwambia anafaa wala asithubutu
  12. Z

    Blandina Nyoni mhusika mkuu ufisadi Muhimbili

    Una kaushahidi? Funguka
  13. Z

    Rais Magufuli acha kumdhalilisha Kikwete

    Kamdhalilisha? Bado hujaona kwamba wananchi ndo wanadhalilika kulala chini na miguu iliyowekwa vyuma??
  14. Z

    Hii ni kweli ya Magufuli au ni safisha UKAWA na visasi?

    Wewe kweli hamna kitu majipu yanatumbuliwa wewe unaongelea vyama ama kweli watanzania wengine ni wagumu kuelewa kwani ubadhilifu na uzembe una uchama?
  15. Z

    Zitto Kabwe: Magufuli ameanza na hatua nzuri lakini adhibitiwe

    Bora mchawi kuliko mnafiki
  16. Z

    Tutafakari kwa pamoja,tatizo letu ni safari za nje au mikataba mibovu...

    Hivi wewe umeelewa kinacho ongelewa ama unakurupuka? Safari za nje, Ufisadi, Madawa ya kuleva na mengineyo yote yameongelewa sasa unauliza jibu?
  17. Z

    Magufuli, acha kujitafutia sifa kwa mfumo huu

    Wanashangaza sana hawa
  18. Z

    Ufafanuzi: Safari za nje za ofisi ya CAG

    Sana lakini na wafanyabiashara wakubwa viti vimekuwa vya moto
Back
Top Bottom