Search results

  1. Kiganyi

    Maoni ya Serikali tatu ni ya kishabiki na kinafiki

    Sasa unalilia nini?
  2. Kiganyi

    Kitabu maarufu: 'Kwaheri ukoloni, kwaheri uhuru,' kimewasili Tanzania

    Soft copy iko wapi? Mbona mimi siioni?
  3. Kiganyi

    Kumbe UKAWA walikuwa Wanatupotosha?

    Huyu moderator wa CCM ana vituko sana!
  4. Kiganyi

    DC Avamia Mkutano wa Mkosamali, Amchokoza & Kumtusi

    MKUU wa Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma, Venance Mwamoto, amevamia jukwaa la mkutano wa NCCR-Mageuzi na kisha kumtolea lugha ya matusi Mbunge wa Muhambwe, Felix Mkosamali. Mwamoto alijikaribisha kwenye mkutano huo uliokuwa ukihutubiwa na Katibu Mkuu, Mosena Nyambambe kisha akaketi kiti cha...
  5. Kiganyi

    Kikwete: Walimu wenye digrii kufundisha Shule za Msingi

    Think tank maana yake nini? Watu wanafahamu namna ya kuweponize lugha zao ili majibu yatoke.
  6. Kiganyi

    Boda boda waandamana Arusha.

    Kuna wanasiasa hadi ifike 2015 watakuwa wamefirisika.
  7. Kiganyi

    Jaji Werema adaiwa kumtishia kifo Kafulila bungeni Dodoma

    ukiona watu wakuwa wachungu na kuita wenzo tumbili ni kweli wameiba
  8. Kiganyi

    Hawa ndio viongozi wa ACT-Tanzania waliochaguliwa hadi mwaka 2015

    Kumbe hawa waliokuwa wanajiita wanachadema huku wakifanya kazi ya CCM ndio vigogo wa ACT?? Itafahamika tu.
  9. Kiganyi

    Ridhiwani Jakaya Mrisho Kikwete, Mtetezi wa ajira kwa vijana

    Kwahiyo maneno hayo umeyasikia leo tu kwa huyo kilaza?
  10. Kiganyi

    Unaambiwa hawa ndio watu 10 wenye nguvu Tanzania

    Hii nchi ina watu wajinga kweli!! Huu upuuzi hautaleta afueni yeyote kwa magamba na vibaraka wao.
  11. Kiganyi

    Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Acha kulia, piga kura sepa.
  12. Kiganyi

    Police Brutality in Tanzania: The World has a Right to know!

    http://www.youtube.com/watch?v=kwGnkTqVDhI
  13. Kiganyi

    Maafa Makubwa Tabora! Mheshimiwa PINDA Katiza Likizo Usisubiri Kamati ya Bunge

    Alisema ataongea baada ya sikukuu Mkuu.....
  14. Kiganyi

    Picha: Mrembo wa Kitanzania aliyekamatwa na heroin China

    Hivi vijamaa vinavyovaa madini mazito mazito navyo ni viuza unga tu na kama haviuzi basi vingongwa.
  15. Kiganyi

    Usahihi: Mazungumzo ya January Makamba alipokutana na viongozi wa Dini - Mwanza

    Mkuu, Hawa wajinga ambao hawajawahi wala hawataki siasa za ushindani ndio watakaopeleka nchi hii kwenye shimo... Yani mtu unakuwa kiongozi bila kuchaguliwa au hata kutimiza matakwa ya demokrasia halafu eti mtu wa namna hii bado anapata tuzo ya "demokrasia" huko Amerika, sijui hizi tuzo huwa...
  16. Kiganyi

    Usahihi: Mazungumzo ya January Makamba alipokutana na viongozi wa Dini - Mwanza

    Mtu mjinga kama huyu ambaye hajawahi kupigiwa kura popote pale duniani au mbinguni achilia mbali kuzimu naye anataka kuwa rais wa Tanganyika? Ama kweli tumelogwa,
  17. Kiganyi

    Zitto Kabwe atinga Polisi, aandikisha Statement kufuatia kutishiwa maisha!

    Zitto bingwa wa siasa za FB na Twitter akizidiwa analia eti ipelekwe kwenye vikao vya chama!! Huyu jamaa ni kilaza sana japo kaenda shule!
  18. Kiganyi

    Picha na Matukio; Kinana na Nape wawasili Tandahimba na Masasi

    Mkuu, CCM ikifa na wewe unakufa aisee!
Back
Top Bottom