Search results

  1. T

    Jk amwapisha waziri mwandosya ikulu hii leo

    Hapa Mweshimiwa Rais Dkt.Jakaya akimkabidhi Nyenzo za kazi Waziri Mwandosya. Rais Kikwete akibadilishana Mazungumzo na Waziri Mwandosya mara baada ya kumwapisha hii leo!
  2. T

    Jk amwapisha waziri mwandosya ikulu hii leo

    KUNA WATU WALISEMA AWEZI KUAPISHWA CZ BADO YUPO NJE YA NCHI TENA HOSPITALI.......tembelea issamichuzi.blogspot.com
  3. T

    Jk amwapisha waziri mwandosya ikulu hii leo

    Waziri wa Nchi katika ofisi ya Rais asiye na wizara maalum Profesa Mark James Mwandosya akila kiapo mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dsm leo asubuhi.
  4. T

    Nani Mbunge bora kuliko wote Tanzania. Piga kura yako hapa.

    >January Yusuph Makamba >Deo Filikunjombe >Zitto Kabwe >George Simbachawene
  5. T

    Profesa Mark James Mwandosya hakula kiapo cha utii katika zoezi la kuapa mawaziri pale ikulu?

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.JAKAYA MRISHO KIKWETE amewaapisha Mawazri wapya ambao aliwateua siku ya Ijumaaa katika Baraza Jipya la Mawaziri. Miongoni mwa Mawaziri wapya yupo Mheshimiwa Pro.Mark Jame Mwandosya ambaye alkuwa waziri wa maji lakini safari hii amekuwa ni Waziri asiye...
  6. T

    Spika huapa mbela ya nani?

    Spika anaapa mbele ya Katibu wa Bunge.........Pia Spika ana mamlaka ya Kuwaapisha wabunge wateule kwenye ofc kuu Dodoma,ofc ndogo Dar na Zanzibar!!
  7. T

    Kikwete awateua Prof. Sospeter Muhongo, Janet Mbene na James Mbatia kuwa wabunge

    Mhe.James Mbatia atakaa upande wa Kushoto wa Spika nyuma katika line anayokaa Kafulila,Mrema na Cheyo. Mbona Mhe.Ismail Jussa Radhu alikaa upande wa CUF tena mbele kabsa baada ya kuteuliwa na Mheshimiwa Kikwete?? Kabla ya kupost unatakiwa kupekua mambo kijana!!:glasses-nerdy:
  8. T

    Mtoto mwingine wa kigogo ahangukia pua ndan ya kibaha form six results 2012

    Kama sijakosea sana Baba yake ni Marehemu Captain Jacka Mwambi amabe amewai kuwa mkuu wa wilaya pia Mkoa kwa nyakati mbalimbali na last tym alkuwa Rukwa hadi mauti yanamkuta mwanzoni mwa miaka ya 2000.
  9. T

    David Silinde ashinda kesi yake ya kupinga ushindi wake dhidi ya DR lucas Siame

    Kigoma Mjini aliyekuwa Mgombea wa Jimbo hilo toka Chadema alijitoa kuendelea na kesi hiyo baada ya kuona kama Mahakama aimtendei haki....hivyo kesi ilifutwa.
  10. T

    David Silinde ashinda kesi yake ya kupinga ushindi wake dhidi ya DR lucas Siame

    Unajua leo mawazo yalkuwa kwenye kesi ya Mahanga vs Mpendazoe na ndo maana heading ikawa hivyo bt namshukuru admins wameshafanya marekebisho. Mhe.Davidi Silinde(chadema) ambaye ndiye Mbunge wa sasa huko Mbozi Magharibi ameshinda kesi yake aliyofunguliwa na Mbunge wa zamani wa jimbo hilo...
  11. T

    David Silinde ashinda kesi yake ya kupinga ushindi wake dhidi ya DR lucas Siame

    Yaah leo ndo ilkuwa hukumu yake bt macho na masikio ya wengi yalielekezwa huko Dar kwenye Jimbo la Segerea.
  12. T

    David Silinde ashinda kesi yake ya kupinga ushindi wake dhidi ya DR lucas Siame

    Breaking Newzz:Nako huku Mbeya Makama kuu imetupilia mbali hoja za Dr.Lukas Siame alizofungua kesi ya kupinga Ushindi wa Jimbo la Mbozi Magharibi. Mhe.David Silinde ameshinda kesi hiyo hii leo. Uhuru na Haki katika Utendaji wa Mhakama bado unaendelea katika Kesi za Uchaguzi......!!!
  13. T

    David Silinde ashinda kesi yake ya kupinga ushindi wake dhidi ya DR lucas Siame

    Breaking Newzz:Nako huku Mbeya Makama kuu imetupilia mbali hoja za Dr.Luca Siame alizofungua kesi ya kupinga Ushindi wa Jimbo la Mbozi Magharibi. Mhe.David Silinde ameshinda kesi hiyo hii leo. Uhuru na Haki katika Utendaji wa Mhakama bado unaendelea katika Kesi za Uchaguzi......!!!
  14. T

    JAJI wa MAHANGA hakuwa na jinsi...

    Hivi huyu aliyeandika unaweza kumuita ni GREAT THINKER au ndo ubabaishaji wake baada ya Uhuru wa Mahakama kufanya kazi? Kwanini asingewachunguza majaji waliotoa hukumu SUMBAWANGA,BIHARAMURO,ARUSHA,MBOZI MAGHARIBI,MWIBARA na SINGIDA MASHARIKI??? Kweli nimeamini kuwa Mfa Mji aachi...
  15. T

    Makongoro Mahanga ashinda kesi ya uchaguzi (Jimbo la Segerea)

    Wale wafuasi wa Chadema mtasema Mahakama imewaonea????? Naendelea kusema huu ndio uhuru wa Mahakama kama chombo huru na muhimili unaojitegemea....!!!
  16. T

    Kikwete agonga msumari wa mwisho kwa mawaziri............hii inaashiria nini hasa?

    ASEMA ALIFURAHIA MJADALA MKALI BUNGENI, AJIPANGA KUTEKEKELEZA MAPENDEKEZO................WAKATI akitarajiwa kufanya mabadiliko makubwa katika safu yake ya Baraza la Mawaziri muda wowote kuanza sasa, Rais Jakaya Kikwete amesema amefurahishwa na mjadala mkali ulioibuka bungeni kuhusu kuwajibishwa...
  17. T

    Makongoro Mahanga ashinda kesi ya uchaguzi jimbo la Segerea

    Pia kuna Mhe.Ligola wa Mwibara alishinda kesi yake ya Uchaguzi last month baada ya Mlalamikaji kushindwa kupeleka ushahidi wa Vipengele vyake alivyoahinisha. Watanzania wenzangu tuache ushabiki wa uhuru wa Mahakama cz inatenda haki cku zote na aiko kwa ajili ya CCM au CDM
  18. T

    Hukumu ya Kesi ya Uchaguzi Biharamulo

    Vp huko hukumu bado cz hv sasa ni saa 9 mchana......Pls tupe updated news kwa kinachoendelea huko Biharamulo....!!!
  19. T

    Huu ndo uhuru wa mahakama kwani ni mhimili unaojitegemea katika maamuzi yake...!!!

    Uhuru wa Mahakama ndo huu juzi nilitoka kuzungumzia hili kuwa Mahakama ni muhimili wa Dola unaojitegemea kwa maamuzi yake. Juzi Tundu Lissu(Chadema) alishinda kesi yake ya Uchaguzi bt hii leo HILARY AESHI(CCM) ameshindwa kwenye Kesi yake ya Ubunge wa Sumbawanga Mjini......Je Serikali ya CCM...
  20. T

    Mbunge wa Sumbawanga Mjini (CCM) avuliwa ubunge na mahakama!

    Uhuru wa Mahakama ndo huu juzi nilitoka kuzungumzia hili kuwa Mahakama ni muhimili wa Dola unaojitegemea kwa maamuzi yake. Juzi Tundu Lissu(Chadema) alishinda kesi yake ya Uchaguzi bt hii leo HILARY AESHI(CCM) ameshindwa kwenye Kesi yake ya Ubunge wa Sumbawanga Mjini......Je Serikali ya CCM...
Back
Top Bottom