Search results

  1. Optic Density

    Maisha ya ukapela sitaki tena

    Usisahau kwenda na tembo card. Utapokelewa vizuri.
  2. Optic Density

    Sheikh Ponda: Lazima tupambane na Yusufu Manji arejeshe Mali zote za Waislamu alizoiba!

    Bro, Mie naona sio busara kuchoma hayo makanisa. Mtu anayekojolea kitabu chako kwanini na wewe usimjibu kwa kunyea kitabu chake? badala ya ubabe huo usio na maana.
  3. Optic Density

    Mzee wa TSC vipi?

    Yanga ndio mdudu gani?. Hivi huwezi kupata habari za yanga mpaka ziandikwe na Shaffih?. Mwambie Kitenge nae aanzishe blog ili asiwe anakupepesea macho kwenye habari za Yanga.
  4. Optic Density

    Vijana Simba wapigwa danadana zawadi zao

    Alifanya kosa pale igunga kwenye kampeni, upepo ulipeperusha shati lake hadi bastola ikaonekana hadharani. Alihukumiwa jela lakini alikuwa huru kwa msamaha wa JK.
  5. Optic Density

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Du!, Naona hao City wametuharibia sherehe yetu. Bora mwakani tuiharike Lipuri ya Iringa.
  6. Optic Density

    Je CCM ikiondolewa madarakani 2015 magazeti ya Uhuru na Mzalendo yataendelea kuwepo?

    Magazeti ya Uhuru na Mzalendo yataendelea kuwepo tu, mbona kwa sasa Mwananchi,Mwanahalisi na Tanzania daima yapo?
  7. Optic Density

    Jina lina mahusiano yoyote na mahusiano ya Wapenzi?

    Yapo majina yanayoendana na maisha ya mtu. Mfano watu wanaopewa majina ya (Shida, Matatizo, Tabu, Masumbuko) hawa waangalie kwenye maisha yao utawakuta wana vipindi vichache sana vya kuwa na furaha kwani maisha yao huwa yanaendana na maana ya majina yao. hivyo wazazi tuwe makini na majina...
  8. Optic Density

    Hivi hili ni kosa?

    Kuwa na mpenzi anayesoma chuo yahitaji uvumilivu, Mimi nakumbuka nilipokuwa chuo kulikuwa na wasichana kama 8 ambao walikuwa wanasomeshwa na waume zao wa ndoa. Lakini ni dada mmoja tu mwenye asili ya kiarabu ndiye aliyekuwa mwaminifu. Wengine wote watu walikuwa wanajisevia, ilikuwa tukimaliza...
  9. Optic Density

    Hivi hili ni kosa?

    Keshapata msomi mwenzake wa kumuoa huyo. Wewe amekugeuza ATM kaka. Kama ulishajitambulisha kwa wazazi wake, unaweza ukawaheshimu wazazi wake kwa kuwapa taarifa za kuachana nae. Pia huyo demu piga chini mapema, akufai, waachie wenye magari wachukue mzigo.
  10. Optic Density

    Tatizo kwenye ndoa yangu naomba msaada

    Pole sana. Tatizo kama hili ni vizuri uwashirikishe wale waliosimamia ndoa yenu, wazazi wa pande zote na hata ikibidi wachungaji wenu. Linaweza kukuweka huru kwenye nafsi yako. Usikae nalo tatizo hili wewe mwenyewe, litakukondesha mno. Japo unapaswa pia kutambua kuwa 80% ya wanaume huwa na...
  11. Optic Density

    Kumbe wanawake wote duniani walifundishwa style 1!!

    Kweli bro, Hata mimi kwenye ndoa yangu huu mwaka wa 10 sasa huwa staili ni hiyo tu, Lakini maisha yanaenda, upendo kwa sana tu. Ila siku ninazoibia nje ya ndoa staili huwa tofauti kabisa na kifo cha mende!. Ni madoido ya kila namna. Ninapoyafanya haya manjonjo home, mwenzangu wala hayapendi...
  12. Optic Density

    Nipo kwenye ndoa kwa maiak 25 lakini sijawahi kumpenda mke wangu

    Wana JF nimekutana na hii kitu kwenye blog ya Dina marious. Huyu jamaa mwenye umri wa miaka 48 anaomba ushauri; Anasema tatizo lake kubwa linalomsumbua.Anasema yeye na mkewe wamekuwa pamoja kwa miaka 25 ya ndoa lakini amegundua hajawahi KUMPENDA MKEWE. Anasema alikutana na mkewe wakiwa...
  13. Optic Density

    Nimefarijika sana....Asante sana Dr.Slaa...

    Huyu tena ukimwambia "MAMBO" anaweza kukujibu. Lakini muda mwingi anakuwa na mawazo, hivyo anaweza asikusikie.
  14. Optic Density

    Mkuu wa Wilaya ya Mbozi atangaza kujiuzulu!

    Mbali na JK kutangaza marekebisho ya mawaziri wake leo, Mkuu wa Wilaya ya Mbozi mkoani Mbeya Gabriel Kimolo amejiuzulu wadhifa wake wa Ukuu wa Wilaya ya Mbozi kwa kile alichosema kukosa ushirikiano na Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika ikiwa ni pamoja na kuchelewesha kupewa uteuzi mpya...
  15. Optic Density

    Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

    Profesa maji marefu atakuwa Waziri wa Afya?. nasikia nyumbani kwake wanafuraha kuliko kawaida.
  16. Optic Density

    KIBAHA wanaitaka CHADEMA, hawamtaki MCHANGE...

    Una akili wewe. Upo sahihi 100% Hata yule Jaji wa segerea analijua hili.
  17. Optic Density

    KIBAHA wanaitaka CHADEMA, hawamtaki MCHANGE...

    Duu!. Hawa Chadema naona sasa wamefuzu kwa kutoa rushwa ndio zao. halafu kwa kupigia kelele wengine nao ndio zao. Kaaaaazi kweli.
  18. Optic Density

    JK amewapata wapi 'WASAFI'?

    Subiri safu mpya ya ukweli ya Mawaziri sikivu na wenye kufanya kazi kwa umoja kama mchwa. Hii miaka miwili iliyobaki wote mtaanza kuipenda CCM kwa mambo mazuri yatakayokuja kama upepo wa kimbunga. Shaka ondoa kaka.
  19. Optic Density

    JK amewapata wapi 'WASAFI'?

    Majembe yapo mengi tu. Kama Filikunjombe, Mwakyembe, Magufuli na wengine rundo tu hadi raha. Hivi nyie wapinzani hamjui kuwa CCM ndio baba yenu tena imewalea hadi mmeota masharubu?.
  20. Optic Density

    JK, Unaunda Bomu Ndani ya Nyumba

    Poleni na maumivu. Kweni JK ndiye aliyesoma hukumu?. Mmelizwa na jaji baada ya kuona kahushahidi hakatoshi. Nawashauri mjipange upya kukata rufaa. Hongera waziri mkuu mtarajiwa makongoro kwa ushindi.
Back
Top Bottom