Search results

  1. D

    Kwanini wananchi wa Nyatwali hawajalipwa fidia zao na sasa mwaka umepita tangu wafanyiwe tathmini?.

    Sio kila mtu lay man wa sheria kama wewe kaka .we kaka hivyo hivyo,anyway nipe kifunga cha sheria kinachosema hivyo tuazie hapo kwanza kwa mtumishi wa Umma.
  2. D

    Kwanini wananchi wa Nyatwali hawajalipwa fidia zao na sasa mwaka umepita tangu wafanyiwe tathmini?.

    Jibu lipo nimeweka barua ya DED wa Bunda post yangu imefutwa [emoji23][emoji23]
  3. D

    Fidia ya ardhi Nyatwali Bunda

    Ujui wewe unachoongea brother Anyway acha nikuache hivyo kila la kheri.
  4. D

    Fidia ya ardhi Nyatwali Bunda

    Njoo Nyatwali beach resort ujione uwekezaji wa mamiilon ya pesa.
  5. D

    Fidia ya ardhi Nyatwali Bunda

    Sawa mzee Endelea kuwa hivyo,ila karibu liitle ocavango camp ,huo ukabila ni wenu wengine tunawekeza hela zetu tu mzee.
  6. D

    Fidia ya ardhi Nyatwali Bunda

    Huna taarifa kuna hotel tiyari zipo za kitalii wanafukuzwa,sasa unafukuza mzawa mwenye hotel ili mgeni ajenge hotel?
  7. D

    Fidia ya ardhi Nyatwali Bunda

    Sawa mkuu endelea kunemeka na UTAWALA
  8. D

    Fidia ya ardhi Nyatwali Bunda

    Tembo wamua wangapi?nipe Takwimu mzee,Pia DED kikatiba ana haki ya kuzuia watu kukusanyika,sasa na sheria inasemaje kuhusu nalipo ya fidia?
  9. D

    Fidia ya ardhi Nyatwali Bunda

    Kijiji cha Nyatwali wilayani Bunda kimetwaliwa kwa Mujibu ya Katiba wananchi hao waligoma kuhama lkn Serekali ikasema ni lazima wahame kwa manufaa ya Umma na kupita kila Nyumba na kuweka number za kuwahamisha,na kuwafanyia tathimi kwa nguvu,sasa imepita Mwaka mzima hakuna cha fidia wala nini,na...
  10. D

    Fidia ya Kipunguni A mbona danadana nyingi, TAA tuambieni ukweli

    Sio huko tu kuna kijiji cha Nyatwali huko Bunda wamefanyiwa tathimin lkn malipo ni hadith,wananchi maisha yao yamekua ya ovyo maana hawajui kesho yao.Serekali hawajali kabisa maisha ya watu.
  11. D

    Fidia ya Kipunguni A mbona danadana nyingi, TAA tuambieni ukweli

    Sio hao tu ,kuna kijiji kinaitwa Nyatwali Bunda wao sasa ni mwaka wemefanyiwa Tathimini kulipwa ni hadithi Serekali inanyanyasa sana watu.
  12. D

    Fidia ya Kipunguni A mbona danadana nyingi, TAA tuambieni ukweli

    https://youtu.be/DWPNOsvb1S4?si=Seb3-_PvMev_xzta
  13. D

    Fidia ya Kipunguni A mbona danadana nyingi, TAA tuambieni ukweli

    https://youtu.be/DWPNOsvb1S4?si=Seb3-_PvMev_xzta
  14. D

    Sheria ya Ardhi Na. 5 ya mwaka 1999 inasemaje juu ya fidia?

    Hawana hela ya kulipa Watu hao,serekali inanyanyasa watu bure,wanakijiji wa nyatwali wanateseka saana wemevuiwa shughuli zote za mawndeleo hawana chakula njaa kali pale nyatwali.
  15. D

    Dkt. Slaa akamatwa na watu waliojitambulisha kama Polisi

    Dunia nzima itajua huu uonevu,Dr slaa ni mwamba
  16. D

    Dkt. Slaa akamatwa na watu waliojitambulisha kama Polisi

    DP W wanaitesa Tanzania kwa rushwa
  17. D

    Dkt. Slaa akamatwa na watu waliojitambulisha kama Polisi

    Ni kweli alikua anaongea live Clubhouse
  18. D

    Jeshi la Polisi liendelee kuwakamata wote wenye kuleta maneno ya Uchochezi na kuwatupa Ndani kwa mahojiano

    Dr slaa wamemkamata sasa hivi,hii serekali ya CCM ni janga.
  19. D

    Mgogoro wa Ardhi katika vijiji vya Nyatwali na Utegi mkoani Mara

    Hiyo hela wamelipwa?unajua tabu wanayopitia watu hao?hawalimi hakuna kitu wanaruhisiwa kufanya kama sio unyanyasaji ni nini?
  20. D

    Mgogoro wa Ardhi katika vijiji vya Nyatwali na Utegi mkoani Mara

    Hata hiyo hela mpaka sasa hawajalipwa Serekali inanyanyasa saana watu na hakuna dalili yoyote ya kulipa watu watu maisha yamekua magumu saana
Back
Top Bottom