Jana tulishinda vizuri sana, Yule kijana wa KiKorea alinifurahisha sana baada ya kuweka bichwa wavuni, yaani ukitaka kuwabagua vijana hawa ili umsifu mmoja kuliko mwengine, hilo naona kama haliwezekani kwa Man U. Vijana wote wanasakata kabumbu maridadi sana, Owen alinifurahisha sana baada ya...
Magoli yote yawe thalathini, lakini ilikuwa bahati kwa upande wa Arsenal kufungwa manne!
Mzalendohalisi nakusalimu!
Troure tumemuona karudi! tulimsubiri kwa hamu, yaani leo tunawafundisha kandanda!
Senator huu mchezo wa wrestling, huwa wanapigana kwa mtindo wa kutoumizana, na wanapoumizana na kutoka damu ni mmoja katika accident za mchezo huo ambao, inategemea kama mchezaji huyo kama anaweza kuendelea. Na hawa wachezaji huwa wanalipwa hela nyingi sana kutokana na vipaji vyao vya stamina na...
Hizi ni kasumba za kibaguzi, baada ya kushindwa kujua tatizo liko wapi, hawa ndugu zetu wa kiafrika(Egyptian) kiwango chao cha mpira kiukweli kiko juu kabisa. Lakini usishangae fainali unaweza ukafurahi kuwakuta Cameroun kushinda kutokana na uzoefu wao
Japokuwa statistic ya kiwango cha mpira ya...
Mamaparoko! ujue kuwa Babaparoko tayari yuko ktk JF kwa hivyo taratibu kama unataka kusifia bora uweke rohoni mwako! usije ukachwa ukasema hatujakuambia!
Anyway Inaonekana kama Essien.
Yaani wewe unaipenda hio Arsenali jitimu la kizungu kuliko timu la Kiaafrica Ivory Coast. anyway Man U, tunaweza tukairespond hiyo mechi ya Arsenal mpaka wachezaji wote wa Arsenal warudi ili kusiwe na Excuse tukishakuwapiga mabao, lakini taabu yenyewe Arsenal mkifungwa huwa mwasema "kufungwa...
Hii itakuwa ndoto ya mchana au kama sio hivyo basi Bukassa utakuwa na asili ya kimakonde. Angola ikichukuwa Africa cup na South Korea itachukuwa World Cup.
Liverpool wamejitahidi kwa kuonyesha mpira maridadi juu ya ushindi wake kuichapa timu maridadi Havant and W. Na hawa Newcastle nao! mimi nadhani wanahitaji mganga kutoka Tanganyika ili timu yao iweze kushinda.
Ningemuomba Rais Kikwete asiruhusu mtoto anayezaliwa TZ kupewa jina la kijapani! ama si hivyo utamuduni,mila na desturi zetu zitatuwacha mkono! Na kama hicho ni kijapani basi nikienda Japani nitajifanya bubu ili niepukane kuwaita majina yao!
Nimewahi kuona walevi wengi, Lakini huyu Ali Karume si mlevi tu ni "mlevi mbwa" nilimuona kule Z'bar katika Hoteli ya Bwawani akichungulia harusi ya rafiki yangu mmoja, harusi hiyo ilikuwa karibu pembeni ya bar iitwayo "Pemba Bar" katika ukumbi wa Bwawani, Jitu hili lilikuwa limelewa...
Eh bwana lile sakata la leo ni kali sana! nimependa bao, alilopiga Muntari wa Ghana, yule kijana hatari sana, lakini FIFA wanahitaji extra assitants ili kuwe na uamuzi wa haki kuhusu penalty. sababu huu ni ulimwengu wa technolojia. uamuzi wa refa unaweza kuhatarisha maisha ya watu, kutokana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.