Search results

  1. Mulongo

    Kazi Kweli Kweli: Nani Amebadilika - Lowassa, Mimi au Wewe?

    Naomba unambie ndani ya CCM tangu 1961 kiongozi gani aliebadilika. Lowasa katoka Ccm kwenye mfumo mchafu tutamchagua ili aje na mfumo mpya
  2. Mulongo

    Mkutano wa Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA, Edward Lowassa kutoka Kigoma

    hivi ninyi ni akina nani mpaka muitakie mema ukawa
  3. Mulongo

    TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

    rip kepten komba
  4. Mulongo

    Itv,Star tv Chanell ten tusaidiane kwa hili

    Nilikua nafatilia mkutano wa bunge la katiba alivoanza kuongea Tundu lissu tbc wamekata matangazo na kuweka hotuba ya JK kitu ambacho sioni kama kina faida chonde chonde other media jitahidi kuonyesha mikutano hii live mbona wenzetu wakenya waliweza
  5. Mulongo

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Ijumaa Tarehe 21 Machi 2014 - Hotuba ya Rais, Uzinduzi wa Bunge Maalum

    aaah tanesco yaani JK anamaliza tu kuongea na umeme mmechukua
  6. Mulongo

    Microsoft yainunua Nokia

    Kampuni ya microsoft imeinunua kampuni ya simu ya nokia na haki zote za kampuni hiyo. Zaidi ya wafanyakazi 32,000 wa nokia wote wataajiriwa na kampuni ya microsoft. ----------------------------------- My Take sisi na vinokia vyetu vya tochi itakuaje
  7. Mulongo

    CHADEMA yasambaratika mkoani Kigoma

    inaonekana huna kazi ya kufanya kazi yako ni kuzunguka vijiwe vyote vya kigoma
  8. Mulongo

    Bungeni: Mwigulu achafua upepo, Lissu atolewa nje ya bunge, agoma! Bunge lakatishwa kabla ya muda...

    Ni kufuatia kuomba muongozo wakat mwigulu anaongea
  9. Mulongo

    Waziri Nchimbi alaaniwa na Wazanzibari! Maalim Seif amjia juu...

    Mwema anza na huyu! Anajua mengi kumbe
  10. Mulongo

    Mwanza: Pinda aagiza waislam kuendelea kuchinja...

    Inaonekana hujui maana ya ukristo na chimbuko lake, kama uelewi kaa kimya si lazima uandike
  11. Mulongo

    Nani Mkweli Juu ya Mauaji ya Polisi Ngara?

    Wao wakiua hata kama ni kwa makusudi watapindisha mambo kwel, lakin kwan nn sisi tukiwaua wanatukamata, nani anaejua kuwa sheria ipo mikononi mwa police mnatua silaha kutuangamiza wakati mnalipwa mshahara kwa kujumu la kutulinda sisi na mali zetu
  12. Mulongo

    UHURU 51: Baadhi ya yanayojiri uwanja wa Uhuru

    Nimefurahishwa sana na wimbo ulioimbwa na alaiki ya watoto zaidi ya 200 wameisifia Tanzania kwa kila hali kwa umakini na ukakamavu mkubwa naimani hii haitafutika katika kumbukumbu zao. Na hakika hakuna mtoto hata mmoja wa skul bus pale.
  13. Mulongo

    TANZIA Sharo Millionea afariki dunia

    To The Homie That We Lost! RIP homie
  14. Mulongo

    Hodi Hodi Waungwana

    hapana hakuna simfaham namsikia tu kama ni mzee wa "sleep of tongue"
  15. Mulongo

    Principle wa IAA (MONYO) apigwa chini na Bwana ATHANAS CHALE kwenye kesi kati yao wawili

    Tangu Juzi yaani tar 6 Mwl Chale yupo Mbeya nimekutana nae sana pale Mbeya Carnival sasa huo ushahidi aliutoa siku gani?
  16. Mulongo

    Waziri wa Habari, Michezo na Utamaduni apata Ajali

    Nimepita mahali gari ilipopata ajali inaonyesha gari lilipinduka upside down lakin sasa limeinuliwa sababu limegeuka lilipokuwa linatoka na limeumia sana upande wa mbele, platenumber hazipo sasa sifaham maofisa wa usalama barabarani wamezitoa au la! bahati mbaya sikuweza kupiga picha nipo kwenye...
  17. Mulongo

    Mbinu chafu za serikali kuficha ukweli juu ya Dr. Ulimboka

    Kamanda Kova nakuheshimu sana lakini kwa kuunda tume inayomshirikisha mtu anayehusika ni ukosefu wa uzalendo kwa nchi yenye serikali dhaifu kama hii
  18. Mulongo

    Foleni Morogoro Road

    Nipo natoka kibaha naenda mjini, folen ya kwenda kibaha ni kubwa sana inaanzia temboni mpaka kibaha
  19. Mulongo

    M4C: Lema kuunguruma leo..

    Tumuamini nani sasa waungwana, wekeni picha mliopo huko itasaidia kuondoa huu utatanishi
  20. Mulongo

    Ni Kweli Kibonde ndo kasababisha watu wasisikilize Clouds Fm

    Kila mahali au kijiwe ninachokaa hasa mida ya asubuh na jioni nasikia watu wakimsema huyu bwana kwamba siku hizi hawataki kusikiliza kipindi cha Jahazi eti kwa sababu Kibonde amekua akitetea mambo ambayo dhahili yanaonyesha si ya kuungwa mkono, juzi kuna mtu kaweka thread hapa kuhusu tangazo...
Back
Top Bottom