Search results

  1. I

    Naomba kuelekezwa namna ya kuagiza mzigo kutoka India Kuja Tanzania

    Jamani naona Silent ocean wamefungua ofisi india, vipi hakuna aliyefanya Shopping na kusafirisha alete uzoefu hapa?
  2. I

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nimefanya bado ikagoma, na jamaa hawajaweka namba ya mawasiliano
  3. I

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nataka kujiunga Sportybet naambiwa hivyo, shida ni nini wazee?
  4. I

    Niulize chochote kinachohusu 'clearing' za mizigo bandarini

    Tukipatana na supplier kuleta mzigo kwa terms za CIF natakiwa nimdai document gani ili mzigo usafirishwe na niupokee bila tatizo?
  5. I

    Machimbo mazuri ya kupata bidhaa mbalimbali Kariakoo kwa bei nafuu

    Mimi Natafuta nguo za shule hasa shati za tomato, sweta na viatu. Msaada wa chimbo jamani, asante
  6. I

    Machimbo mazuri ya kupata bidhaa mbalimbali Kariakoo kwa bei nafuu

    Mimi Natafuta nguo za shule hasa shati za tomato, sweta na viatu. Msaada wa chimbo jamani, asante
  7. I

    Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Habari wakuu. Natafuta nguo za shule hasa shati za tomato, sweta na viatu. Msaada wa chimbo jamani, asante
  8. I

    Ujumbe wa aliyejiua kisa penzi la Monica (mke wa Masanja). Chunguzeni wake zenu

    kwa kawaida mwanaume kipaumbele chake ni heshima sio kupendwa au kubembelezwa. Ukiona anaweka mbele kupendwa au kubembelezwa ujue ni tatizo, ana mambo ya kike kike
  9. I

    Kuna mtu anayeweza kuandika juu ya urais wa Magufuli kwa usahihi?

    unaongea kitu gani wewe? Hata Idd Amin, Hitla, Musolin bado wanaishi kwenye mioyo ya watu kwa maana kwamba bado wanakumbukwa. Hatukumbuki waliotenda mema tu, hata waliofanya fyongo tutawakumbuka, so sidhani kama utaweza kujifanya eti usimkumbuke Magufuli. Kwa mazuri or otherwise utamkumbuka tu!
  10. I

    Kuna mtu anayeweza kuandika juu ya urais wa Magufuli kwa usahihi?

    Ataendelea kuishi both +ve & -ve way. Kwa mazuri ya awamu hii tunashukuru. Lakini pia kwa mabaya ya awamu hii tumejifunza mengi kama taifa
  11. I

    Lifahamu zao la Macadamia (Karanga Pori) na jinsi ya kulilima

    Weka contact zake Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
  12. I

    Msaada tafadhali kuhusu Kikuu

    Hawa kikuu siwaelewi kwa kitu kimoja. Kwa nini soko limejaa tu nguo, urembo na vitu vidogo vidogo na hakuna vitu vikubwa kama zana za kilimo na viwanda? Je ni kwa sababu wanaona sisi hatuna uwezo wa kununua? Wanakwepa gharama za usafirishaji? Serikali inawabana au ni nini hasa? Maana na sisi...
  13. I

    Ujue ugonjwa wa Goita Dalili na Tiba yake

    Atengeneze juisi kwa kutumia karoti 4, majani mawili ya seleri, robo ya fungu la mchicha na robo ya fungu la giligilani anywe mara moja kila siku. Hata akinywa mwaka mzima hana hasara ilimradi apone.
  14. I

    Uchaguzi 2020 Kwa mwitikio uliopo kwenye mikutano ya upinzani, bado tunaamini wananchi wanahitaji kuhamasishwa na wasanii?

    Ni kujitekenya na kucheke. Niwakumbushe watakaosombwa na malori kuandaa nauli ya kurudi makwao maana malori hayatawarudisha [emoji16][emoji16][emoji16]
  15. I

    Willy Gamba, Hofu, Njama, na E MUSIBA, Mnakumbuka Enzi Hizo?

    😁😁😁😁😁, Si wewe tu hata Mimi niliamini ni kweli🏃🏃
  16. I

    Nina 10M nahitaji kufuga Samaki naombeni ushauri

    Umenichekesha, hivi migebuka inafugika? Mbona sioni watu wakiitaja Sent using Jamii Forums mobile app
  17. I

    Kumetangazwa hali ya hatari kimya kimya? Huu utoaji taarifa za Corona ni kinyume cha Sheria. Watanzania tuna Haki ya kupata habari za kweli

    Laiti kama ujinga ungekuwa unaondoka kwa maombi, ningeshauri zitangazwe siku tatu za maombi ili kuombea ujinga. Lakini sasa kwa bahati mbaya sana dawa ya ujinga si maombi. Kinachonisikitisha si tu kwamba sisi ni wajinga, bali zaidi sana ni vile ambavyo watu wamechukua ujinga wetu na kuufanya...
  18. I

    Karimjee: Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Aprili 22, 2020 atakuwa mgeni rasmi katika maombi ya kitaifa ya kuombea nchi dhidi ya janga la #COVIDー19

    Si useme tu kale ka "quote" ka mseveni kanako trend mitandaoni? Ha ha ha haaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom