Search results

  1. M

    Nampenda lakini hataki tuongozane pamoja

    inawezakana kwa kuwa uzuri n kwa anayeona..si mbaya kujihesabu ila siko maarufu au much knoo..avarage
  2. M

    Nampenda lakini hataki tuongozane pamoja

    da maongez yake yanasidikisha ndio ila kwa vitendo vyake unaweza kuona hivyo dah..
  3. M

    Nampenda lakini hataki tuongozane pamoja

    nimefanya uchunguz wa kina sana hili nalikata kwa kuwa mwanzano nlihisi hivyo n th fact was th first
  4. M

    Nampenda lakini hataki tuongozane pamoja

    mi mwenyele nimezimika sana sio ndugu tu hata majirani wanamjua mm kwao n yy tu ndo anayenijua
  5. M

    Nampenda lakini hataki tuongozane pamoja

    sio secondary hyku...na gpa zinasoma vema mbona...
  6. M

    Nampenda lakini hataki tuongozane pamoja

    asante sana..n vitu vingi navikosa na kwa kweli kuna wakati naweka hisia zingine ila anipa moyo na kuangalia mazingira ya livyo kimaadili..tunasubiri mda mchache kuapishwa na alhaji mw...ili tuanze utaratibu wa ndoa ndo nkawa nahitaji udheefu
  7. M

    Nampenda lakini hataki tuongozane pamoja

    kwa sura hapana n zaidi ya hilo maana mwewnyewe anajivunia..ila tatizo distance hapa
  8. M

    Nampenda lakini hataki tuongozane pamoja

    dah ninavumilia ila natamani awe rafik na sio mpenzi tu..nakosa hilo
  9. M

    Nampenda lakini hataki tuongozane pamoja

    nina mpenz wangu huu n mwaka wa tano sasa hataki kunitambulisha kwao wala kunizungumzia kwa marafiki zake.na ikitokea tuenda sehemu anataka tukutane huko huko.kibaya zaidi tupo hostel moja kwa miaka yote hiyo kuja chumban n usiku sana au kuonana sehemu za giza tu.hatujawah kula pamoja kantini...
  10. M

    Uhusiano wa Intelijensia na watu kama kina James Bond

    si kama movie inaitwa THE DEBT
  11. M

    Dua na Tamko la Waislamu/wananchi kuhusu Gas Mtwara!!

    sio sasa haya toka zamani...toka uhuru tumeleta ss hatutak kama waislumu tufaidike ila kutambuliwa tu kwenu mnaona kazi...
  12. M

    Miaka 5 ya mwisho ya Kikwete na ukandamizaji kwa jamii ya Kiislam

    nimependa sana..hii inadhihirisha raisi sio mdini kama anavyojadiliwaga hapa
  13. M

    Tujikumbushe ya Vijijini Kwetu

    gidagamondi..maskaroda..endasaki.gendi
  14. M

    Zamani nilivyokuwa Mjinga!

    m nakumbuka mtihan wa kwanza darasa la kwanza..mwalimu akatuelekeza huku akitoa mfano sehemu ya jina kama ni jina lako ni fimbo andika fimbo.. kama ako anaitwa simba andika simba..sehemu unayoish kama n mtoni andika mtoni karibia maswali yote akayotolea mfano..m nkajibu vile alivyokuwa...
  15. M

    Majina ya vituo vya daladala sehemu mbalimbali

    pale kituo cha uwanja wa ndege....utaskia njia panda ya ulayaa...
Back
Top Bottom