Search results

  1. D

    Msaada jamani

    Pole hutaki kujulkana nikidume jomba Mimba inamaanisha how u a mature enouph man.Piga mimba jomba upate hata kid.
  2. D

    Ushamba: Simu za Gharama

    haya bna ngoja uibiwe utakuwa na hamu na hyo laptoap yako.
  3. D

    Wasomi v/s wasiosoma.

    NCHI HII MPAKA HAPA TULIKO IMEJENGWA KWA KUTUMIA MAWAZO YA WATU AMBAO HAWAKUA WASOMI NAO WALIWEZA KUWEKA MISINGI IMARA SANA NA TUKAWEZA KUIHESHMU JE? Kwa sabbu katba tuliyo kuwa tunaitumia imeundwa kwa mawazo ambyo ya watu ambao hawakuwa wasomi na kama walkuwepo walkua wachache ila wengi...
  4. D

    Hodi.

    Number is not better than knowledge.
  5. D

    Not for weak heart

    haya bwana ila kama umetoa kwenye mchezo flan wa kwenye tv.
  6. D

    Me ni "Msagaji"

    Siku ya mwisho na ww utasagwa na moto uwe sawa na Unga wa kwenye jiko chini.mean najivu.
  7. D

    Usugu wa tatizo la ATM za benki zetu hapa nchini

    yan mm crdb atm kwa hapa dar ni atm moja tu inakubli kadi yangu hii ya master card zingne zote zinaitema.
  8. D

    unajua IQ ya mtu inatafutwaje?

    vp kuhusiana na vigezo vingne vya IQ kama mazingira haviwezi kuchangia kuongezeka au kupungua.
  9. D

    Free internet on Airtel and Zantel with on Limite and Free of cost

    siku zako arobaini ya 39 utajulkana ya 40 utafungwa.
  10. D

    Tunahitaji mfumo mpya wa kijasusi?

    Hapo kwanza tujue kuwa mtanzania yeyote yule mwenye akili timamo ni usalama wataifa.Nasema hv kwa sabbu vko vtendo vingi vinafanyika vya kuihujumu nchi na vinasabbsha nchi iingie kwenye hasara kubwa sana. Vitendo hv kama wananchi wangejua haki yao ya kutoa taarfa nchi yetu ingekua mbali sana.
  11. D

    Tatizo la foleni dar

    Je? SEREKALI IFANYEJE ILI IWEZE KUPUNGUZA FOLENI DAR BILA KUTUMIA FEDHA YA MWANACHI WAKE YA KODI.
  12. D

    Mikopo elimu ya juu

    Hili tatzo kwa upande wangu lilinisabbisha nisisome Medicine ikabdi niende koz zingne kisa eti serikali haina hela, na huku hela zingne wanafanyia tu matumzi yasiyo ya lazma.
  13. D

    Maana

    Nini maana ya jamii forums.
Back
Top Bottom