Search results

  1. D

    Pombe ilisababisha nikaambukizwa ukimwi nami nimewaambukiza maelfu

    Yawezekana, Imagine wanaume 1500 kwa miaka 3, kwa mwaka ni 500, kwa siku ni wastani wa wanaume 1.3689, du! chiboko. Tuwe makini.
  2. D

    Dokta please usicheke!

    Duuh, hiyo kali, ikiwa orijino ni dizaini ya 'tuspik' nini?
  3. D

    Mama Terry yuko wapi?

    mama terry yupo dar. Anakamilisha taratibu za mwisho za kuanzisha kipindi chake chini ya kampuni yake inayoitwa Brightlight Reality Show Company. Kipindi kitaitwa Ndoto yako reality show na kitaanza kurushwa kwenye television ya TBC1 hivi karibuni.
  4. D

    Njemba zinapotwangana kwa penzi la baamedi!

    Kaka, huyo mbulu yupo bar gani nije kumtembelea?
  5. D

    Yona na Mramba: Mashtaka na yatokanayo

    Ni kweli, wameshafikishwa mahakamani na wanasheria wao wanahangaikia dhamana. wamekutwa na makosa zaidi ya 10.
  6. D

    Masoud Kipanya na Fina Mango wa Clouds FM

    Poleni na majukumu ya kazi wana JF. Mie nina swali nataka mnisaidie kujibu, wale ndugu zetu watangazaji wa kipindi cha power breakfast cha clouds fm, masoud kipanya na fina mango wapo wapi siku hizi maana hatuwasikii ati? Naomba kujua walipo.
Back
Top Bottom