Search results

  1. D

    Usafiri wa Train raha tupu!

    Ratiba ya treni ikoje?
  2. D

    Mwanamke: Namna ya kujiondoa kutoka katika hisia za usaliti wa mapenzi…………….!

    Hiyo maada nyengine ndio mpango mzima mara nyingi wengi wetu hujikuta bado tuna hisia na wapenzi ambao tumesha achana nao!! DaAah,naisubiri sana hiyo...
  3. D

    Mvuto kwa mwanamke ni kweli?

    :yawn::yawn::spy::spy:
  4. D

    Swala la Ulimboka kwa TBC sio habari!?

    Serikali mnazidi ku'prove madudu yenu...
  5. D

    Sheikh Ponda yuko sahihi

    Inasikitisha kiukweli maana baada ya sensa kufanyika na hawa jamaa kupata idadi ndogo ya waislamu dhidi ya matarajio yao,lazima walalame kua kitu kitu kimechakachuliwa maana kabla hapa wanajigamba kwa kusema sisi makafiri hatuna lolote kwa kua twaoa mke mmoja na wao waoa hata wake wanne...
  6. D

    Kukodisha Airbus ni mkataba wa kipuuzi - Mwakyembe

    Wakuu,mkuu Babito katia hoja pale..ni bora kuijibu ile hoja kuliko kuendelea kumpondonda mwakyembe kwa hoja ambazo hazina mashiko!!!hata kama ikiwa ni pesa kidogo ila kwa shirika la serikali kufanya manunuzi bila kufata sheria huo ni upuuzi!!!
  7. D

    Kukodisha Airbus ni mkataba wa kipuuzi - Mwakyembe

    Mkuu timbilimu hapo hujajibu hoja za Babito za kumfanya Jamaa yako abaki..
  8. D

    Mwanasiasa bora kijana 2012 Tanzania

    Lema ametisha!
  9. D

    Mwakyembe ageukwa

    Nahisi kua huyu bwana Paul angekua muislamu yani lile picha la muamsho ndio lingezidi utamu kule kwetu kulee
  10. D

    Mnyika (CHADEMA) azungumia kesi inayomkabili

    John mungu yupo nawe na twaamini hukutumia dhuluma kuwepo ulipo na utabaki ulipo mkuu nakumbuka day ulipokuja kutuomba kura pale kimara ukiongozana na Mheshimiwa Zitto!
  11. D

    Mnyika (CHADEMA) azungumia kesi inayomkabili

    Kwa post kama hii sidhani hata kama ulipiga kura mkuu,maana waonyesha kwamba haya mambo huyafahamu kabisa mkuu!
  12. D

    Mnyika (CHADEMA) azungumia kesi inayomkabili

    Mkuu Mvumbuzi,nahakika wewe unaheshima zako nyingi sana ila kwa swala hilo linalo gusa dini kuyaunganisha na siasa sidhani kama utakua sahihi,kwani kwa imani ya dini ya kiislam kanzu na kidani ni vitu vya heshima kiimani na mjinga mmoja usimwazibu pamoja na kukandia dini zetu mkuu!!
  13. D

    TOP TEN ya wasiohitajika kwenye Baraza jipya la mawaziri...

    Nashukuru kaka! Ila hakuna anaeanza na kupata vema,huwa tunaanza na makosa na kuya sahihisha mbeleni.
  14. D

    TOP TEN ya wasiohitajika kwenye Baraza jipya la mawaziri...

    Dizain baba yake Riz alimwekaga huyu kawambwa pale kwenye kile kiti baada ya tuhuma zisizohisha za upande fulani wa kiimani kuwa baadhi ya wanafunzi walioko upande huo wa kiimani kuwa wanafelishwa makusudi na kuwa wanapewa nafasi finyu katika baadhi ya field nyeti za kusomea mf:udaktari na...
  15. D

    Ushauri

    Kaka swala la kuoa ni kitu sensitive sana kama unaona kama huyo mwanamke hayupo moyoni mwako tena ni bora ukamweka pembeni,sababu utakapo chukua uamuzi wa kutangaza ndoa wakati upendo wako kwetu for some percent umeshuka itakuja kua kero kwako pamoja na kwake pia coz hatoyapata aliyo kua...
  16. D

    Ushauri

    Hapo pa adam na eva kaka utakua umeingia chaka maana adam alichukua mda ndio mungu akaona amtafutie mtu wa kufanana nae wa kuweza kukaa nae waweze kuvitawala viumbe vyote vilivyopo ulimwenguni pia case ya mda siku moja ya sasa huwezi kufananisha na mda wa mungu kaka!
  17. D

    Waziri Maige na nyumba ya Sh milioni 656m

    Hawa jamaa watakua na mengi ya kujibu kwa allah kama tutashindwa kuwawajibisha hapahapa duniani!!
Back
Top Bottom