Search results

  1. Franky

    Aliniambia hana hisia na mimi ila sasa hivi hachoki kupiga simu

    Kuna watu huwa wanajiona special utasikia hivi kwann unatumia Facebook au Instagram. Wanasahau kwamba the most usable social network ni fb na the like.
  2. Franky

    Una Miaka 30+ unafata nini night club?

    Ni ushamba wa vijana mkuu, majuu huko watu wanatoka ofisini na suits wanaacha makoti lounge wanapata vinywaji wakiwa mkanda nje na kudance, huku wapori pori wanavaa masneaker meupe na matshirt meupe ili mataa ya club yareflect mwanga ule awe anang'aa kama taa, pisi nazo zinapaka rangi za kucha...
  3. Franky

    Una Miaka 30+ unafata nini night club?

    Hahaha I'm 35 huwa nikiwa club sielewi kabisaaa naona madogo wa siku hizi wanavaa ma t-shirt marefu meupe ili wawake sijui, ndio shida ya huku vijijini ila town unakunywa vinywaji vyako hotels, pubs na pisi unadaka you feel comfortable.
  4. Franky

    Una Miaka 30+ unafata nini night club?

    Miaka 30+ ndio mwanaume anaanza kujipata Pata na pesa ya kutanua na kula starehe inaanza kupatikana. Ndio muda sahihi wa kuwatumia hawa watoto na wenyewe wanapenda watu wa kuanzia umri huo uhakika wa vinywaji, chakula na pesa nzuri asubuhi ni uhakika.
  5. Franky

    Mawazo Huru

    Mawazo yako yangekuwa yamefanyiwa kazi tangu zamani nchi hii ingekuwa donor country, trust me wewe sio wa kwanza kuwaza hivyo.
  6. Franky

    Hii nchi kuna Watumishi wa Umma wanakula raha nyie

    Acha wanga mkuu, philosophy sio kuwafanya Malaika waishi kama mashetani Bali ni kuwafanya mashetani nao waishi kama Malaika. Kwanini hujafikiria hiyo serikali makini ikiingia madarakani isiongeze posho kwa watumishi ambao hawana posho? Baada ya jiwe kukick the bucket, mama alituanzishia kaposho...
  7. Franky

    Bei ya Mahindi 2024 itamnyanyua au itamnyanyasa Mkulima?

    Mkulima hafaidiki na kilimo nchi hii.
  8. Franky

    Tumbaku Ina Pesa

    Namimi ngoja nikalime tumbaku chunya 😅😅
  9. Franky

    Ulitumiaje nafasi yako ya ku-revenge kwa Ex aliyekufanyia Makusudi?

    Huyo mama hujamzoea jukwaani hapa anavyoishadadia dini yake? Usipoteze muda wako wa thamani mkuu
  10. Franky

    Ulitumiaje nafasi yako ya ku-revenge kwa Ex aliyekufanyia Makusudi?

    Move on get married/ marry her/his best friend
  11. Franky

    Nimepigwa na kufungiwa ndani ya nyumba na mke wangu

    A very good question indeed
  12. Franky

    Mlikaa muda gani baada ya kuoana kabla ya kupata mtoto?

    Baada ya kuona sister yangu nnaemfata akichoropoa mimba kama mbili hivi na mimi kipindi hiko msuli wa Biology umekolea nikajisemea ntatembea na principles 2 tu maishani mwangu. Mosi kama mwanamke ntaekutana nae kipindi niko tayari kuoa ni bikira nitaoa huyo bila assurance ya mtoto. Pili, kama...
  13. Franky

    Dodoma ni kutamu jamani

    Unamshauri nani mm ni mgeni watu nyomi? Au ningemshauri barmaid aliyekuwa ananihudumia maji ya uzima?
  14. Franky

    Fahamu zaidi kuhusu Afrika

    Mleta thread ka fall into naija boys trap ndio maana katafsiri uzi wao kwa kiswahili ili kuirusha Nigeria kama ambavyo wanataka waonekane wako vyema kila nyanja.
  15. Franky

    Dodoma ni kutamu jamani

    Mbu walioning'ata raibow na royal wafanye jambo, wapige fumigation otherwise dom pako mukide
  16. Franky

    Kilimo cha vitunguu kilivyonitia hasara

    Mkuu kapotea kwenye majaluba ya vitunguu
  17. Franky

    Mo Dewji kuanzisha shamba la ekari laki moja

    Food security ndio key issue kwa watu wanaokadiria kufikia billion 8 duniani. Hawajakurupuka Hao economic giant individuals kujiingiza kwenye kulima na kufuga, mark Zuckerberg ameanzisha largest farm where he feeds his dairy cattle macadamia plants and drinks his cattle beers 🍻 😀
  18. Franky

    Wanaume, heshimuni urafiki hii sio Sawa

    Dah sijakuelewa mkuu baba mdogo wake mamaake?
Back
Top Bottom