Search results

  1. M

    Chadema Karatu- kufanya mikutano ya Jumamosi na Jumapili

    Makamanda wa Chadema ninawaarifu kuwa chama katika Wilaya ya Karatu watafanya Mikutano Mikubwa katika Tarafa ya Endabassh, Karatu na Eyasi. Mikutano hiyo itahudhuriwa na Mhe. Israel Natse Mbunge Mwenyeji Jimbo la Karatu, Mhe. Zito Zuberi Kabwe na Tundu Lissu. Pamoja na Wabunge wa Viti Maalum...
  2. M

    Chadema chama changu kwanini ni madiwani tu?

    Hongera Kamati kuu ya CDM maamuzi mliyofanya ni ya maana sana. Hapa Karatu kuna baadhi ya madiwani wamekuwa miungu watu, kazi yao ni kwenda kufanya vikao na watu wa Chama cha Mapinduzi ili kuvuruga CHADEMA hapa Karatu. Mara nyingi Uongozi wa CDM wilaya ya Karatu imetoa taarifa kwa Kamati kuu...
  3. M

    Mwigulu Nchemba ana kesi ya kujibu kabisa

    Hawana kazi ni uelewa wako mfupi tu.
  4. M

    Kusimamishwa kwa viongozi wa chadema- karatu

    Viongozi wa Chadema wasimamishwa Wilayani Karatu. Viongozi hao ni Katibu wa Wilaya Bw. Laureti Malkio Botha, Mwenyekiti wa BAVICHA Wilaya Bw. Joseph Samwel Mtui na Katibu wa BAWACHA Wilaya Bw. Melkiori D. Mao
  5. M

    Mbunge wa Bahi (CCM) ashikiliwa na polisi kwa kuomba rushwa

    Mimi binafsi nimesikitishwa sana Kwa Mhe. Huyo Mbunge wa CCM - Bahi kupokea rushwa ili kupindisha ukweli kuwa uwongo. Hivi kweli kama hospitali haikujengwa hakuna madawa, barabara mbovu nk. kwa stahili hiyo nani atakuwa mtetezi wa Wananchi? Hawa magamba! tumekwisha.
  6. M

    Mbunge wa Jimbo la Karatu awavua gamba mabalozi wa CCM - kambi ya Simba

    Loe tarehe 20 May, 2012 Mbunge wa Karatu Mhe. Mchg. Israel Y. Natse katika Kampeni ya Kuvua gamba na kuvaa magwanda ameavua gamba mabalozi 20 wa CCM na kuwa ingiza katika Chadema wanachama wapya zaidi ya 620. Kadi ziligawiwa hadi giza kwa ajili msururu ya watu kuwa wengi. Makamanda wa maeneo...
  7. M

    Maandamano ya kumpokea mbunge viti maalum - Karatu

    Wewe kweli akili ndio huna kabisa kweli nafasi ya kupeana kishikaji kweli unatamba nalo. Wewe ni Gamba nadhani
  8. M

    Maandamano ya kumpokea mbunge viti maalum - Karatu

    Wapendwa wana JF habari za muda. Ni kweli maandamao yamefanyika katika Jimbo la Karatu ili kumpokea Mb Viti maalum Cecilia Daniel Paresso. Mimi ninapata shaka katika hilo lililofanyika, Hivi maandamano ni ya nini? Kulipia Pango la Chama hadi utangaze hadharani? kuwasomesha watoto 100 kwa Tsh...
  9. M

    Tutarusha mkutano live toka Arusha

    Mkutano wa Chadema Arusha ni lini na saa ngapi Uwanja umesema ni NMC
  10. M

    Uteuzi wa baraza jipya la mawaziri

    ndugu wana JF na Watanzania kwa ujumla wenu, tutegemee nini kwa baraza hili jipya la Mawaziri. Mimi ninaona ni Themos tu lilibadilishwa lakini chai ni ile ile. Mimi binasfi nilitegemea kuwa Wale wabunge machachari kama wa Ludewa angestahili kuwa Waziri kwani anatetea wananchi wa hali ya chini...
  11. M

    Aliyevaa kiatu cha Dr. Slaa Karatu yupo fiti

    Makamanda wa Chadema na Watanzania kwa Ujumla aliyevaa kiatu cha Dr. Slaa Katibu Mkuu wa Chadema, aliyegombea Urais 2010 amefanya mambo mengi sana katika Bunge la Tanzania. Huyu si mwingine bali ni Mhe. Mch. Israel Yohana Natse. People's Power.
  12. M

    Mapokezi ya mbunge wa viti maalum Karatu

    Ndugu zangu niwauliza ninyi Vijana wa Chadema Karatu, mliokomaa kisiasa mnafanya maandalizi ya maandamano ya kumpokea Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Cecilia D. Paresso hasa kwa kitu gani? 1. Wabunge wa Viti maalum wapo sehemu nyingine hilo limefsnyika? 2. Mnafanya maandamano hasa kwa kipi...
  13. M

    Mnaonaje Baraza hili jipya la Mawaziri linalotarajiwa?

    Hivi wanaposema Baraza jipya la mawaziri maana yake ni nini?. Kama ni hao nane si kiasi cha kuwateua wapya nane? au atavuruga hata wizara zisizo na shida. Naomba mnihabarishe
  14. M

    Tundu Lissu ashinda kesi ya kupinga ubunge wake

    Tunashukuru kwa Habari hizo usiondoke kando ya mahakama Kamanda! People's Power halafu utujulishe kila hatua
  15. M

    Chadema na maandamano

    Ndugu nisaidieni kwa unadani zaidi bila ushabiki bila hila. Tufanye nini ili Serikali iwe sikivu kwa kuwaondoa mawaziri wasiojali wananchi? Je maandamo ya nguvu ya uma peke yake itatosha? au itafutwe mbinu mbadala wote tuende kuishi Ikuli watulishe walishindwa kutulisha Serikali yote itajiuzulu.
Back
Top Bottom