Pole kwa majukumu ya kila siku Mheshimiwa Rais. Mimi na watanzania wenzangu tunaoishi katika Mkoa wa Mtwara na viunga vyake tunaomba utusaidie kupata ng'ombe wetu ambazo tunawadai kutoka Ranchi ya Taifa ya Nangaramo iliyopo Nanyumbu Mkoani Mtwara.
Wananchi tunadai ng'ombe wa maziwa kutoka...
Ninaomba serikali chini ya uongozi wa Mh. Rais John Magufuli kulipa madeni ya watumishi wa umma kama ilivyoahidi. Madeni hayo kwa kiasi kikubwa hayajalipwa hadi sasa licha ya Rais kuwaahidi watumishi kuwa atafanya hivyo baada ya kukamilika kwa zoezi la uhakiki wa madeni hayo. Tunavisihi vyama...
Hivi ni nani anastahili kubeba lawama juu ya hizi rangi katika Bendera ya Taifa? Kama rangi ya Njano haipo basi serikali ibadilishe haraka bendera ya Taifa kwa kuondoa rangi ya Njano na kuiweka hiyo ya dhahabu. Pia Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia ishirikiana na Taasisi ya Elimu Tanzania...
Binafsi huwa ninawachukia sana wabunge wa CCM kwa tabia yao ya kuitetea serikali badala ya kuwatete wananchi wao. Hili la mafao ya wastaafu hawazezi kukwepa lawama. Na hivi vyama vya wafanyakazi navyo vimekuwa sehemu ya kuwakandamiza na kuwanyonya watumishi.
Nchi imefikia hapa ilipofikia kwasababu ya ujinga unaofanywa na wabunge wa CCM. Kazi yao kwa sasa ni kuitetea serikali badala ya kuisimamia. Walaaniwe woteeee!
Ndalichako ameshindwa kabisa kuisimamia Elimu ya watoto wetu. Suala la vitabu ni kashifa kubwa sana kwa Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia. Asilimia 40 ya fedha za Elimu bila Malipo zinabaki serikalini kwa ajili ya kununua vitabu,lakini hadi sasa mashuleni vitabu havipo.
Ndalichako ameshindwa kabisa kuisimamia Elimu ya watoto wetu. Suala la vitabu ni kashifa kubwa sana kwa Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia. Asilimia 40 ya fedha za Elimu bila Malipo zinabaki serikalini kwa ajili ya kununua vitabu,lakini hadi sasa mashuleni vitabu havipo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.