Search results

  1. N

    Sijui lengo lake nini

    Nina miezi 3 tangu nimejifungua. Mzazi mwenzangu tulipanga kuona baada ya ujauzito akaniambia nitoe nikakataa basi tukarumbana tukawa tumekosana. Nimekaa nyumbani na ujauzito nyumbani nikaambiwa niende kwa alienipa huo ujauzito nikaenda kwa nguvu japo jamaa hakutaka alinipikea tumekaa. Simu...
  2. N

    Nimekata tamaa ya kuolewa

    sio mimi ndugu ni story ya rfk yangu ila kama upo serious nimfikishie ujumbe
  3. N

    Nimekata tamaa ya kuolewa

    Aisee huyu mtu anaitaji ushauri Nimekata tamaa ya kuolewa kabisa kwani niliedhan kuwa ndo mume wangu kanigeuka vibaya sana. Umri wangu miaka 28 nimejitunza siku zote nikiamini na kumuomba mungu anipe mme mwema nimekua katika maadili ya kidini nimepoteza wachumba wengi baada ya kutofautiana...
  4. N

    Ushauri wa haraka jamani

    nashukuru mungu naendelea kuimprove ilikua haipiti wiki sasa nina miez 2 cjafanya hicho kitu
  5. N

    JamiiForums Shinyanga wing: Ingia humu tujuane

    naleho nkoi bugweto bihe na mhumbu ng'wabheja sana bhadogo bhane
  6. N

    Eti hii inawezekana?

    Habari zenu wana JF, kuna rafiki yangu aliomba nafasi ya kujiunga na jeshi la polisi hakuitwa kwenye interview kuna rafiki yake kamuunganishs na mwalimu wa CCP, kamwambia baada ya kuanza mafunzo atampa nafasi ila aandae laki 7 eti hii inawezekana watu wameanza mafunzo ikapatikana nafasi au...
  7. N

    msaada jamani

    jamani naomba msaada napoteza hela ndani tena hata nikifunga mlango ndani sizikuti nisaidieni jaman
  8. N

    Ushauri wa haraka jamani

    imefikia hatua nachukia sana
  9. N

    Ushauri wa haraka jamani

    nasoma na chuo kimoja sasa nashindwa kumkwepa ghafla, boyfriend wangu sio muelewa kabisa na amekamata msg nyingi kutoka kwa mpenzi wangu huyo na kuhisi kuna mwanaume anapitia kwake kuwasiliana na mimi nikimshirikisha atanitoa kizazi
  10. N

    Ushauri wa haraka jamani

    girls ni mbaya sana jaman, mnafanya usiku na siku ukilala kwa kijembe wako au darling watu wanajua kabisa fulani kavusha hivyo lispect na mnazipa mashuka pembeni mwa kitanda kama kuna redio kunakua na mziki laini hivyo kwakua nikawwaida hata kwa wengine hawaoni kama ni kitu cha ajabu
  11. N

    Ushauri wa haraka jamani

    naenjoy zaidi napokua na gf wangu kuliko napokua na bf na nampenda sana bf wangu lakini kimapenzi naridhhika zaidi na gf wangu
  12. N

    Ushauri wa haraka jamani

    binafsi kwa sasa nachukia sana na nikijaribu kuacha yule rafiki angu wakike hataki na akiwa karibbu yangu basi nakua weak
  13. N

    Ushauri wa haraka jamani

    nilikua nasoma Bwiru girls sasa kulikua na mambo ya kijembe, best, sweet, na ukifika lazima upate best, sweet, darling waliokutangulia vidato ndo wanaokuomba nikama mtu kukuaproach ukikubali ndo mnakuwa mnafanya hivyo so nilianza nikiwa form onne jaman mpaka wakati mwingine nachukia basi tu
  14. N

    Ushauri wa haraka jamani

    mimi nimsichana mwenye miaka 22. jamani sijui ninamatatizo ninampenzi wangu wa kike 1 na ninampenzi wa kiume cha ajabu na furahi sanna pindi napofanya romance na mwanamke mwenzangu kuliko boyfriend wangu nimejaribu kuacha nashindwa nimiaka 6 sasa nitumie dawa ganni jamaan au ndio nimeshaaribika...
  15. N

    Biashara

    nachomaanisha ni computer games kwa watoto
  16. N

    Biashara

    habari zenu wana JF naombeni msaada kwa mnaojua kuhusu hili. ninamtaji wa laki saba nataka kufungua biashara ya gems kwa watoto huku arusha nimeona niombe msaada wa mawazo hum kwanza kwa wenye ujuzi au kwa waelewa inalipaje? jamani maisha ni magumu mtaani naombeni ushauri na msaada kwa moyo...
  17. N

    Nafazi za kazi tulawaka

    asante mkuu ila tunaomba utusaidie email ya hapo mgodini kwani hiyo ulioitoa ni ya makao makuu yao na email hiyo ni ngum sana kupata kazi kwani maombi hayo yanapitia dar mimi naifaham ni email ya migodi karibu 4. najua unatujali tusaidie email ya hapo mgodini au ya mhusika kabisa tutashukuru...
Back
Top Bottom