Search results

  1. Omari R Nundu

    Tulivyojengwa JKT 1970

    Kila mmoja wetu ana uhuru wa kusema na jambo usilolijuwa ni usiku wa kiza hivyo tahadhari ni muhimu kwani ulimi hauna mfupa. Ni tabia murua ya binadamu kuchunguza kujuwa ukweli, kujiridhisha, kuamini halafu ndio kueneza. Ukifanya vinginevyo unapungukiwa na sifa za ukhalifa duniani. Matokeo...
  2. Omari R Nundu

    Tulivyojengwa JKT 1970

    RUVU JKT HIFADHI YA MAISHA YANGU: (NAKUMBUKA NATAFAKARI SANA, NASONONEKA) 1.1 Ni kwanza kondoka kwetu, napenda hilo mjuwe; 1.2 Niko Ruvu nathubutu, kujenga Taifa liwe, 1.3 Kishapo nirudi kwetu, mengineyo nipangiwe, 1.4 Nimeshakuaga kwetu, lolote Mola naliwe! 2.1 Ninang'arisha viatu...
  3. Omari R Nundu

    Maswali kumi kwa Edward Lowassa na Wafuasi wake

    Tuhuma hizi ni kweli au anapakaziwa? Kama anapakaziwa basi anastahili kugombea Urais lakini kama ni kweli basi hafai kabisa. Mheshimiwa hii ni nafasi ya kusafisha jina lako itumie ukate mzizi wa fitina.
  4. Omari R Nundu

    Makamba: Enzi za ushindi wa kishindo CCM zimepita

    Kauli za kutabiri ni chama gani kitashinda na kwa asilimia ngapi katika uchaguzi ujao wa kushika dola ni kuvurumka na viashiria vya upeo mdogo wa uamuzi unaochangiwa na mapungufu mengi ukiwemo uchu wa uongozi. Ni vizuri tujifunze kubashiri na kutoa kauli zinazogusa hatima ya nchi yetu kutokana...
  5. Omari R Nundu

    Urais rahisi...

    URAIS RAHISI! 1.1 Kuna mambo yanisuta, njia ya kukwepa sina, 1.2 Nguvuze zinanivuta, niwanene hawa wana, 1.3 Cheo wanokitafuta, japo huwezo hawana, 1.4 Nusura wakikipata, mjuwe nchi hatuna, 1.5 Urais si kupeta, kazi rahisi hauna. 2.1 Chonde chonde tutajuta, tukidhihaki amana, 2.2...
  6. Omari R Nundu

    Tahadhari mtanzania

    TAHADHARI MTANZANIA 1.1 Tafakari ni muhimu, kwa mja mwenye busara, 1.2 Kuwaza ya kuhukumu, hoja na mawazo bora, 1.3 Hadi zijiri takwimu, kuziepuka hasara, 1.4 Tumwombe sana Karimu, atwepushe na idhara. 2.1 Umoja si jambo gumu, si kikiri na kakara, 2.2 Kuwaza kwa kinidhamu, itikadi na...
  7. Omari R Nundu

    Napinga dhana ya Tanzania mpya inayohubiriwa sasa

    Tanzania ipo na inahitaji kuendelezwa zaidi kisha kwa kasi kubwa ili izibe mwanya wa maendeleo uliojitokeza. Kwa hiyo mlolongo wa misemo haitosaidia kuwafanya wananchi iwaie ndio kigezo cha Rais ajaye, wamtakaye. Ili tuwapime wagombea ni lazima wapapambanishwe kwenye mdahalo wa wazi waeleze...
  8. Omari R Nundu

    There shall be a day!

    I dream of the day of peace and calmness, The day of prevailing truth and buried lies, The day of flourishing honesty, perfection and openness, A day when an innocent lamb survives slaughter, There will surely come that one day! When man and woman will walk truth, When child and old will sing...
  9. Omari R Nundu

    Omari Nundu: Stand up and be counted!

    Ninawashukuru nyote kwa michango yenu, vyovyote iwavyo - yenye chuki, yenye upendo, yenye kupeana nguvu na matumaini na hata ile inayolenga kunivunja nguvu na kunikatisha tamaa, yote ninaipokea na kuwashukura. Bila Shaka nimewafungulia uwanja. Omari Rashid Nundu
Back
Top Bottom